Hivi nyie watetezi wa mwigulu mbona hamtaki kujibu ela zilitumwa kwa ludovick kutoka kwa mwigulu za nini? Na kwa nn alipiga simu nyingi kuliko mkewe kabla ya tukio?
Somerhing is to be revealed here.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kumbe source ni Dira ya Alex Msama!? Hakuna habari mpya hapa, ni marudio tu kama walivyoandika Jamhuri.
2. Sikuwahi kumwambia Msama amfukuze kazi. Msama mwenyewe ndiye alikuja Ofisini kwangu kuomba radhi kwa niaba ya Mulinda, kuhusu stori iliyokuwa imeandikwa kwenye gazeti la Dira kuhusu Free Media kuchelewesha mishahara, ikidai Mbowe ndiye amechota pesa na kuelekea Club Bilicanas. Msama alisema anashangaa stori hiyo kwani hata yeye alikuwa hajalipa mishahara, na Mulinda hajapokea wa kwake. Akasema Mulinda amekuwa anamgombanisha na watu anaofahamiana nao. Akaazimia kwenda kumfukuza kazi.
Mkuu, haya matukio bado ni sintofahamu, sasa unaposema sio hot cake sijui wewe unawajua wahusika wa vitendo vya kigaidi na utekaji hapa nchini ama vipi?
Ukiwa kwenye upelelezi, hata habari zikiwa za karne iliyopita kama zina mahusiano na upelelezi, basi zinakuwa ni hot cake.
hayo yalikuwa maandalizi ya ugaidi wa chadema. walimtumia ludovick amwombe mwigulu fedha ili taarifa hizo wazitumie kama ushahidi. bahati nzuri mwigulu hakukanusha na badala yake alisema kuwa anawatumiaga vijana wengi wakiwemo vijana wa chadema
mwampamba alishawaeleza kitambo kuwa ni mwendelezo wa usaliti. nini sasa hujui?
Hivi Mkuu unayaamini maneno ya Mwampamba??? Kama unamwamini Mwampamba basi unaamini Kinana hajihusishi na usafirishaji wa meno ya tembo kupitia kampuni yake.
kibanda akienda ongea haya mahakamani dhidi ya CDM....atakuwa kaisadia sana CDM...
kibanda akienda ongea haya mahakamani dhidi ya CDM....atakuwa kaisadia sana CDM...
bora kibaanda umeandika mwenyewe na ni wazi huna uhakika kabisa na uliye muona kama ni ludovick na katika hali hii ni vigumu kumtia hatiani kwenye hili na kushauri uendelee kufanya uchunguzi wa kina kabisa.
Na ukimsoma vizuri Kibanda utagundua ni kama ana feel guilt kumtaja ludo kuwa alimfananisha na mtesi wake.
Na ni wazi kuna mambo mengi alikuwa haja yakamilisha kabla ya kumsuspect ludo maana ni wazi bado ana doubt alicho kisema na anaamini kama alikosea kusema mapema hili jambo kwa ni wazi hata wahusika sasa wataanza kujipanga.
Amefanya mapema kusema na ndio maana hajui pakusimamia huyu ndugu Kibanda.
Sasa hapo ni KUIUMBUA CCM na Mwigulu, Maana hadi matukio yanatokea alikuwa kwenye Pay Roll ya Mwigulu. Kwa mwenye akili anaelewa sasa ni nani muuaji wa Kibanda.
mkuu Kibanda bado hana uhakika na alicho kiona na ndio maana anasema kama alimfananisha na ana sisitiza duniani ni wawili wawili.licha ya kuwa hana uhakika na anayemwona, anasema kuwa ni ludo na bado anatafakari mahusiano yake na ansbert ngurumo ambaye ndiye chanzo cha kibanda kuondoka free media
Na ukimsoma vizuri Kibanda utagundua ni kama ana feel guilt kumtaja ludo kuwa alimfananisha na mtesi wake.
Na ni wazi kuna mambo mengi alikuwa haja yakamilisha kabla ya kumsuspect ludo maana ni wazi bado ana doubt alicho kisema na anaamini kama alikosea kusema mapema hili jambo kwa ni wazi hata wahusika sasa wataanza kujipanga.
Amefanya mapema kusema na ndio maana hajui pakusimamia huyu ndugu Kibanda.
wewe ni mshirika wa huu ugaidi ndio mana unajitahidi kupindisha, kukwepesha na kuumauma maneno ili uupotoshe ukweli...jifanye wewe ni kibanda halafu imagine yale maumivu aliyoyapata wakati anatendwa na kutendewa ule ugaidi.hebu kuweni na chembe ya ubinadamu wakuu. kama huna la kuandika soma comments za wenzakoNa ukimsoma vizuri Kibanda utagundua ni kama ana feel guilt kumtaja ludo kuwa alimfananisha na mtesi wake.