Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

Wewe inaonekana taarifa zinakupitia pembeni. Mbona hili jambo lipo wazi kabisa siku nyingi. Tena watu walileta na evidence za Ludovick mwenyewe akijitetea kwamba siku Kibanda amepigwa yeye Ludovick alikuwa ametekwa?

Mkuu, Kibanda aliwakosea nini CCM?
 
Shida siyo viongozi wa chadema, shida ni kwamba; hakuna vitanda vya kutosha kwa wajawazito hata kwenye hospitali ya taifa mhimbili; kenya wananunua kompyuta pakato kwa shule za msingi ilihali tanzania shule hazina madawati na vitabu, maisha ni magumu si kwa sababu ya chadema!

Miaka ya 1980 tulikuwa tunawasha vipande vya magurudumu wakati chadema hawakuwepo! wafugaji wa tanzania wamekuwa wakimbizi ndani ya nchi si kwa sababu ya chadema wakati nyie wapenzi wa kijinga wa ccm mnakula nyama choma kila siku > Dhambi hii itawatafuna hadi jehanamu msipotubu
 
Watanzania tumekosa muelekeo na kuendelea kuwakumbatia mafisadi kwa sababu ya kuendekeza njaa, ufinywu wa fikra na woga au kutokujiamini. hivi kwa mtu mwenye akili timamu anawezaje kuitetea serikali hii na vyombo vyake vya ulinzi kuwa haihusiki na yote yanayotokea kwa sasa, mfano mauaji ya raia morogoro, iringa, arusha na kwingineko, utekaji, utesaji na ulipuaji wa mabomu.

MIMI NAAMINI KUWA baada ya serikali hii kutuletea matatizo mengi kama vile kuingia mikataba isiyo na tija, ufisadi, rushwa, ubaguzi ktk kupata huduma za jamii mf elimu, afya, mahakama, polisi nk sasa inatumia njia hii kutuvuruga ili tusipate muda wa kudai au kuhoji mambo hayo, hasa kwa kuzingatia kwamba kwa sasa CHADEMA ndio chombo pekee kinachoweza kutuuanganisha ktk hayo niliwahi kusema miaka kadhaa iliyopita na leo narudia tena kwa kuendekeza njaa, uvivu wa kufikiri na woga mafisadi watatutumi sana na tutasalitiana sana.
 
Wewe inaonekana taarifa zinakupitia pembeni. Mbona hili jambo lipo wazi kabisa siku nyingi. Tena watu walileta na evidence za Ludovick mwenyewe akijitetea kwamba siku Kibanda amepigwa yeye Ludovick alikuwa ametekwa?

Sasa story ipo hivi:
Baada ya Nchemba kumtuma Ludovick akamrecord Lwakatare, na kupeleka ile video polisi, halafu akaona polisi hawachukui hatua, ndipo alimtuma Ludovick akamshambulie Kibanda ili ionekana mipango ya Lwakatare ndiyo imetimia.

Ndiyo maana mara tu baada ya Kibanda kushambuliwa, video ya Lwakatare iliwekwa kwenye mitandao.

Kwani kisa cha CHADEMA kumtosa Ludovick ni nini? Ni baada ya kugundua kwamba Ludovick ni mmafia. Hilo lipo wazi mkuu, kama hukuwa na taarifa basi uipate saa hivi.

Mwigulu Nchemba ndiye aliyemtuma Ludovick akamdhulu Kibanda ili apate cha kusema kuhusu video ya Lwakatare ambayo waliitengeneza na Ludovick.
Na huu nd'o ukweli wa mambo.

Nilichotaka kumjibu huyu HAMY-D kinashabiiana na hii response,kuongeza tu ni kwamba hili la Ludovick kuwa karibu na wahariri wengine kama kina Majid Mjengwa na wengineo linaweza kuwa ndivyo/sivyo.

Nikianza na ndivyo kwa maana kwamba wahariri wanaweza wakawa wamehusika linawezekana lakini siafikiani nalo kwa sasa.

Nikija na sivyo ni kwamba inawezekana hawa mafia i.e. Lameck na Ludo wametumia ukaribu wa Ludo na wahariri kupoteza malengo, wanatuchanganyia picha,hawa watu wana akili pia,unahitaji akili kali zaidi yao kuweza kuwang'amua kitu ambacho kinakosekana kwenye jeshi la polisi hivi sasa.Lengo lilikuwa ni namna kuitoa video yao kwenye public. Na wamefanikiwa kwa kiasi fulani.
 
Last edited by a moderator:
Dola inaongonzwa na ccm au cdm?polisi wanafuata amri ya chama gani?ccm imeshindwa kulinda usalama wa rais tanzania sii mahali salama
 
"Acha niliseme hili jamani pengine moyo wangu utatulia. Mmoja wa watu walio nishambulia ana fanana kwa sura na umbile la Ludovick Rwezaura yule kada wa CHADEMA aliyewekwa ndani na Lwakatare ambae nimemuona kupitia magazeti na mitandao ya kijamii. Nimeshangazwa sana mtu huyu yupo karibu na baadhi ya wahariri wenzangu na hata msaidizi wangu bwana Ansbert Ngurumo, bado napata shaka ni kuwa watu wana fanana au?"

Huyu Kibanda bado hajapona vizuri.....asiwe na haraka wakati wa kufunguka ukifika atafunguka tu....mbona Ulimboka bado tunamsubiri afunguke?
 
Kama walivyo volunteers wengi, Kumbukumbuku ya Makao Makuu ni kuwa Ludovick alikuwa Volunteer, lakini si mwajiriwa Kama unavyotaka kuaminisha jamii.

Dr Slaa, kwa kauli yako kuwa Ludovick ni volunteer wa chadema unatuthibitishia kuwa ni mfanyakazi wa chama chenu. Kwa hali hiyo kama alijitolea kufanya kazi za chama na wakati huo huo amehusishwa na rukio la Kibanda, ni wazi kuwa chadema hamwezi kukwepa uhusika wenu katika hilo.

Ingekuwa busara tu kwako na chama chako kukubali katika hilo na kumwomba radhi Kibanda. Mara zote mnasisitiza kuwa collective responsibility ndiyo demokrasia ya kweli. Na mara zote mmekuwa mkishinikiza viongozi wa ngazi zajuu wa serikali kujiuzulu kwa makosa waliyofanya watu wa chini yao.

Kama ludovick alikuwa anafanya kazi za chadema mpaka anakamatwa, ni jukumu lako wewe binafsi ukiwa ndiye unayeratibu kazi za volunteers wote wa chadema kujitathmini juu ya uhalali wako wa kuendelea katika wadhifa huo. Vinginevyo tutakubaliana kuwa alichokifanya Ludovick dhidi ya Kibanda ni kutekeleza maagizo yako na ya chama chako.

Over
 
kama kuna mtu hapa anaamini ludovick afanye mpango wa kurekodi mkanda na malipo eti 50000 huyo ni mgonjwa.

malipo ya mkanda kama huo hayawezi kuwa 50000.

ludovick alikuwa anaishi kiujanja ujanja mjini na kuomba watu 50000. kuna wanasiasa wengi na waandishi habari walimpa hizo hamsini hamsini.

hii ya kibanda kuamini ludo mmoja wa waliomteka ni jambo baya kwa chadema.

hata ulimboka hawa hawa huenda walimteka na kumsingizia jamaa wa usalama wa taifa.
 
Baada ya serikali hii kutuletea matatizo mengi kama vile kuingia mikataba isiyo na tija, ufisadi, rushwa, ubaguzi ktk kupata huduma za jamii mf elimu, afya, mahakama, polisi nk sasa inatumia njia hii kutuvuruga ili tusipate muda wa kudai au kuhoji mambo hayo, hasa kwa kuzingatia kwamba kwa sasa CHADEMA ndio chombo pekee kinachoweza kutuuanganisha ktk hayo niliwahi kusema miaka kadhaa iliyopita na leo narudia tena kwa kuendekeza njaa, uvivu wa kufikiri na woga mafisadi watatutumi sana na tutasalitiana sana.
acheni kukumbatia waovu, wauwaji, watembea na sumu, warusha mabomu na watishia watu kwa bastola
 
Kwani mtu akifanya kazi kwenye chama cha upinzani hawezi kuwa agent wa TISS??

Hebu kamuulize Mrema, Bagenda na wenzao...!!

Ma-Agent wa TISS wapo wengi sana kwenye vyama vya "upinzani" na nadhani hii "CASE" ya Ludovick inaweza kuwafungua macho "wapinzani" wa kweli...!
 
Hivi wewe na akili zako timamu ulikubaliana na maelezo ya Marando na zile kauli za wabunge kuhusu hizo pesa alizotuma Mwigulu?

Mbona mnaichukulia hii ishu kirahisi rahisi hivyo? sikiliza mkuu, intelijensia yangu sina shaka nayo, haya yote unayoyaweka hapa usidhani unanishangaza, yote yamekuwa yakisemwa na kuaminiwa na watu wenye maono mafupi kama wewe, mimi nachimba na kutafuta kiini zaidi cha huu mkasa.

Sasa wewe unatetea nini wakati m.nchemba amekubali kuwa alimuingizia hela kwa mpesa ludovic au hujui?
 
Tangia umeingia hapa jamvini umekuwa mzushi na maneno ya maajabu ajabu kama jina lako .Hakika your pay should be handsome one .
 
Nyie chadema ni watu makatili sana.kamwe hamuwezi kukubalika kwa watu waungwana ambao ndio wengi.mtakubalika kwa watu makatili kama nyie ambao ni wachache
 
Sasa wewe unatetea nini wakati m.nchemba amekubali kuwa alimuingizia hela kwa mpesa ludovic au hujui?

Hela hizo hizo pia alimuingizia Nassari, au hujui? Sasa na Nassari nae ni msaliti?
 
Tangia umeingia hapa jamvini umekuwa mzushi na maneno ya maajabu ajabu kama jina lako .Hakika your pay should be handsome one .

jibu hoja mkuu. aliyesema ni Kibanda na yeye amenukuu tu kilichoandikwa kwenye gazeri la dira ya mtanzania. mbona mmekuwa watumwa wa dr slaa nyie?
 
Kwani mtu akifanya kazi kwenye chama cha upinzani hawezi kuwa agent wa TISS??

Hebu kamuulize Mrema, Bagenda na wenzao...!!
Kwa hiyo TISS ndio walionekana kwenye video wakipanga mauaji na Ludovic?
 
Sasa majibu yanaanza kujitokeza kwa yale yaliyokuwa yakiongelewa uchochoroni juu ya CHADEMA.

Kwa vyovyote vile picha si nzuri.
 
Ndo madhara ya kung'olewa MAJICHO. anaona watu wawiliwawili. Alivomvua nguo MKULU kwenye gazeti alifikiri hatalipiziwa? Mkulu mtu wa fitna, na ashukuru Mungu hata anapumuwa.

Makala ipi hiuo ilimvua nguo mkulu? Sikuiona.
 
Back
Top Bottom