Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

huko ni kuweweseka na bila shaka umekunywa viroba vya kinondoni. Kwa vile mumeumbuka ndo mnamkana ludovick eti alikuwa anatumika na ccm. Mbona dr slaa hatuelezi alikuwa anamtumia vipi ludovick wakati anavolunteer

Walioleta mada wameelewa hilo ndilo la msingi! Wewe endelea kuelewa unavyoelewa na kuamini unavyoamini! Mwisho wa siku ni serikali yetu tuliyoweka madarakani kupita Lipumba ndiyo inaoneka kupata kigugumizi cha kuchukua hatua kwa kila tukio! Sasa hapo wenye akili wanaelewa! Nafurahi wewe si mmoja wa hao wanaoelewa!
 
Mwigulu kala bati kila kona hachangii kabisa kwenye hii mijadala, kulikoni????
 
Tungeanzia na viongozi wote waliotamka nchi haitatawalika waunganishwe kwny hii kesi makubwa yatajulikana zaidi ya aliyosema kibanda hv polisi wanasubiri nini ushahidi upo tuwataje humu kwa rejea
 
Ccm(chukua chako mapema).......kibanda tayari
 
Hii nadhani inamkalia vibaya mwigulu, kwa mazingira ya ukaribu wa mwigulu na ludo na namna mwigulu alivyoanza kumtumia ludo kuna uwezekano wa karibu sana kwamba mwigulu na ccm yake wanajua yote yaliyomfika kibanda, iko wazi tu
 
Issue si imekwenda mahakamani na wataalamu wa sheria na uchunguzi wameona hii siyo kesi ya msingi ya kigaidi? Mbona unatokwa na povu namnahii kwakutaka kujiridhisha mwenyewe na vitu ambavyo havipo? Mbona hatusikii huyo Ludovick kubakizwa na gesi ya UGAIDI mwenyewe? Mbona analindwalindwa na vyombo vya usalama? Inakuwaje mtu yupo mahabusu lakini anaendesha maisha na madeal yake kama kawaida? MKUBALI TU KUWA HILI ZOEZI MMESHINDWA, NENDENI MKAJIPANGE TENA MJE MUUMBUKE KAMA HILI LA ARUSHA.

Lymo, wa kujipanga hapa sio CCM ni CHADEMA, kWANI WAO NDIO WANA HAHA KUTWAA DOLA BILA KUWA NA MBINU.
 
Kwa hiyo TISS ndio walionekana kwenye video wakipanga mauaji na Ludovic?

Sikutegemea swali kama hili kutokwa kwako...

Uliwahi kusoma vitabu vya MI5 au KGB na FIB/CIA?

Hivi TISS huwa ina agents kwenye vyama vya siasa? Hebu tupe data zaidi mkuu inaonekana unajua mambo mazito na ya siri.

Unajua maana ya TISS?

Nakuunga mkono 100%, kwani watz inabidi tuelewe haya mambo yanavyo kwenda. Bila kuwaza vyakutosha tutajikuta tunagombana wenyewe kwa wenyewe.

Kweli mkuu,

Kuna vitu ukisoma unatamani uhame nchi....

Huwezi kuamini kwamba njaa inaweza kuwafikisha watu katika hali kamaa hii tunayoshuhudia...

No matter what, yote haya yana mwisho na hauko mbali!
 
Hamy-D ni sikio la kufa. Kujibu anayosema sawa na kuongeza maji baharini wakati maji yamekupwa ili yajae. He is a child thinker please bear with him
 
tunasikitikia vitendo vya kigagaidi vinavyoendelea, lakini God is fair, Kibanda aliandika makala ya nyodo kuwaponda chadema, mabwana zake wapya anaowapapatikia na wamsaidie sasa si ndo wenye dola (polisi jwtz, tiss, jkt, magerereza) kama hawawezi kumsaidia sasa, akaisome tena makala yake ajitafakari upya, njaa zake zimemponza, aliandika makala akiwasifu mabwana zake kama vile haikumbuki historia yao, wasomaji wake tulisikitika sana, nini kimebadlika hadi awazodoe cdm awasifie ccm, Kibanda anajing'atang'ata tu. anona aibu kukiri,.kuwa waliomfanyizia ni miongoni mabwana zake wapya.sisi hatuna cha kumsaidia mpaka akiri mapungufu yake
 
tunasikitikia vitendo vya kigagaidi vinavyoendelea, lakini God is fair, Kibanda aliandika makala ya nyodo kuwaponda chadema, mabwana zake wapya anaowapapatikia na wamsaidie sasa si ndo wenye dola (polisi jwtz, tiss, jkt, magerereza) kama hawawezi kumsaidia sasa, akaisome tena makala yake ajitafakari upya, njaa zake zimemponza, aliandika makala akiwasifu mabwana zake kama vile haikumbuki historia yao, wasomaji wake tulisikitika sana, nini kimebadlika hadi awazodoe cdm awasifie ccm, Kibanda anajing'atang'ata tu. anona aibu kukiri,.kuwa waliomfanyizia ni miongoni mabwana zake wapya.sisi hatuna cha kumsaidia mpaka akiri mapungufu yake

Acha kumshupalia bwana Kibanda wewe, ile makala haikuwa ya kishabiki kama unavyo taka kuaminisha watu humu jamvini.

Ile makala ilikuwa ya kweli na ya moyoni kutoka kwa Kibanda, kama wewe ulichukizwa basi ilo ni tatizo lako, ila wenzako tuliipenda na kuifurahia.
 
Wakati mwingine tunajikuta tunalazimika kuyasema hata yale ambayo hatukupanga wala kufikiria kuyasema.,nimekuwa nikipigiwa simu na ndugu zangu na rafiki zangu ambao bado wako chadema wakiniuliza kwanini nimeamua kuyasema ninayoyasema, tena kwa lugha kama hii (inayobainisha), nami nimekuwa nikiwajibu kuwa "hivi haiwi faraja kwenu kuwa yupo mmoja aliyewahi kuwa mfano wenu anayetaka kuwaokoa na hatari yenye kuangamiza..?


Mwampamba Bado uko Arusha BRO!!!... Ndugu zako bado wanakuuliza ujinga ulioufanya?
 
user-online.png
ifweero

Today 08:49
#53
MemberArray


Join Date : 12th June 2013
Posts : 55
Rep Power : 313
Likes Received6
Likes Given7






MTELA MWAMPAMBA pokea simu basi!!!
 
DIRA YA MTANZANIA NI GAZETI LA MSAMA ILA WENYE HISA NI BWANA MEMBE, SITA NA MWAKYEMBE.

...MEMBE NDIYE MTUHUMIWA NAMBA MOJA KATIKA UTEKAJI NA UTESAJI WA KBANDA ALTAKA KMTUMIA KBANDA KUWACHAFUA WANASIASA WENGNE i.e LOWASSA LAKINI KIBANDA NA KUBENEA WAKAKATAA NDIO JBU LA NENO LA MEMBE KUWA ANA MAADUI WAWILI WAANDSHI WA HABARI NA ATAWASHUGHULIKIA MWENYEWE ALIWATUMIA AGENTS WA TISS WALIOFANYA UNYAMA WA ULMBOKA NA KMUNG'OA MENO NA KUCHA PLUS KUMJERUHI ABSALOM KBANDA

...HAMY-D TUNAKUJUA NI NAPE AND MEMBE GROUP MESEGE SENT...MHUSKA MKUU WA TUKIO LA KBANDA NI BERNAD MEMBE(JOKA LA MDMU a.k.a MZEE WA KUNG'OA KUCHA NA MENO

Aisee!noted!
 
Back
Top Bottom