Kiba kuja na tour ya dunia nzima

Nina uhakika sababu ata Dodoma alifanya kwenye bar na haikujaa akanusurika kichapo.

Ile Uganda haikuwa show ya Kiba ile ni festival iliyojumuisha vitu vingi mpaka mpira wa miguu ni kama matamasha ya shigongo.

Hivi kama amekosa watu Mombasa tena kwenye show yenye jina lake funga mwaka na kiba ambapo yeye anadai anapendwa kuliko yoyote, unategemea ajaze kumbi kumbi yoyote ya maana South Africa? subirini aibu nyingine.
Ni swala la muda tu.

Ila usisahau Baba ako Dimond alivyogoma kufanya show ya uwanjani Mayotte baada ya ile ya kwanza ukumbuni kubuma.

Na usisahau alivyotumbuiza maji kule Jangwani sea breeze baada ya mbwembwe kibao.
 
Hakuna kitu hapo
Kiba hajawahi kuanzisha kitu akamaliza,angeenda kumalizia show ya Dodoma kwanza.
Katangaza February atakuwa South Africa,halafu wapi??
Wenzake huwa wanatoa confirmed ratiba nzima,yeye kafanya kama kutest zali kaweka na contacts za meneja ili watu wamtafute.
Wakati Kiba anakwenda South mwezi wa pili,Diamond atakuwa kishakwenda Nigeria na Gabon!
unatamani sana afail ila dua lako la kuku halitamkuta mwewe
 
Nyongeza asisahau ile Tour yao ya Uingereza walivotudanganya watafanya december na ne-yo zikaishia kuwa mbwembwe tuu
Ni swala la muda tu.

Ila usisahau Baba ako Dimond alivyogoma kufanya show ya uwanjani Mayotte baada ya ile ya kwanza ukumbuni kubuma.

Na usisahau alivyotumbuiza maji kule Jangwani sea breeze baada ya mbwembwe kibao.
 
watu mna dharau,ningekuwa kiba ningelia
changamoto duniani hazikosi, mtu akiwa hater ata ufanye nn hatobadilika. kama huyo anauliza Kiba ananyimbo gani waweza kadilia akili zake ziko ngapi
 
Huna uhakika gani show za kiba south Africa zitakuwa kwenye mabar?!

unazijua bar za south Africa zilivyo?!

Ulishuhudia show yake ya funga mwaka Uganda ilivyoshona lini baba ako Dimond alijaza watu Uganda pamoja na kujiweka kwa Zari ili apenye Uganda na bado amedunda.

Ile show kwa uganda ni kama fiesta bongo, kwa ulichoandika ni sawa na kusema tecno alijaza fiesta dar.
 
unatamani sana afail ila dua lako la kuku halitamkuta mwewe
Kiba ameshafeli kabla ya kuanza.kutangaza utakwenda sehemu fula bila ya kuweka tarehe ni alama ya kufeli.
Magharibi watu wanastarehe kwa mipango,ukiwastukiza yatakuwa mambo ya Dodoma kuimbia viti
 
tarehe za show usijali zitatolewa soon ila huko zinakofanyika mabango ya show ya huko tayari yanaonyesha tarehe mkuu na venue
 
Ziko wapi mie nipo huku sijaona bango.
Kiba anacheza na akili za Watu,ziara iliokuwa confirmed ni hiyo ya Afrika kusini,hizo zingine ndio anazicchuuza kama machinga anavyopiga kelele kuuza suruali,ndio maana ameweka contacts ili mtu akitamani awasiliane na hao mameneja.
Tour unatengeneza ukishapata mialiko ambayo ni confirmed na deposit au malipo yote umepata.
Kiba bado sana,na hizo tour atafuta tu,atasingizia kahujumiwa,mara kanyimwa viza tupo hapa
 
Huyu alisema yeye kwake tuzo sio muhimu ila sasa naona hadi kwenye bango kaanza kuandika kuhusu tuzo. Angalia hata hilo bango kaandika "Multi award winner" na kazitaja na hizo tuzo. Sasa sijui ilikuwa sizitaki mbivu hizi.

watu wenye roho mbaya...wanakumbuka kila kitu kwa wanayemchukia
 
Ziko wapi mie nipo huku sijaona bango.
Kiba anacheza na akili za Watu,ziara iliokuwa confirmed ni hiyo ya Afrika kusini,hizo zingine ndio anazicchuuza kama machinga anavyopiga kelele kuuza suruali,ndio maana ameweka contacts ili mtu akitamani awasiliane na hao mameneja.
Tour unatengeneza ukishapata mialiko ambayo ni confirmed na deposit au malipo yote umepata.
Kiba bado sana,na hizo tour atafuta tu,atasingizia kahujumiwa,mara kanyimwa viza tupo hapa
kwan ya Afrika Kusini katika tangazo lake umeona tarehe? au ww uliisikia wapi hadi hizo za USA, Britain(UK) to come and so on usiamini kama ni kwel zipo
 
Mkuu lipo tangazo lina tarehe,february 7-13 kama nimekosea niwie radhi lakini nimeona tarehe
 
Ziko wapi mie nipo huku sijaona bango.
Kiba anacheza na akili za Watu,ziara iliokuwa confirmed ni hiyo ya Afrika kusini,hizo zingine ndio anazicchuuza kama machinga anavyopiga kelele kuuza suruali,ndio maana ameweka contacts ili mtu akitamani awasiliane na hao mameneja.
Tour unatengeneza ukishapata mialiko ambayo ni confirmed na deposit au malipo yote umepata.
Kiba bado sana,na hizo tour atafuta tu,atasingizia kahujumiwa,mara kanyimwa viza tupo hapa

Show inatangazwa ata venue bado haijapatikana sasa huo si ubabaishaji Kama wa Dodoma!
 
Back
Top Bottom