Kiba kuja na tour ya dunia nzima

Huyu alisema yeye kwake tuzo sio muhimu ila sasa naona hadi kwenye bango kaanza kuandika kuhusu tuzo. Angalia hata hilo bango kaandika "Multi award winner" na kazitaja na hizo tuzo. Sasa sijui ilikuwa sizitaki mbivu hizi.
Waandaaji ndo wameandika
 
big step mnyamwezi kiba...dunia inapaswa kujua kuwa tanzania kuna vipaji so proud of you these guys kiba na mondi na vmoney kwa mnachofanya.....mu mfano wa kuigwa
 
nilishawahi kumuona kiba OR Tambo Airport kazungukwa na ma-body guard kama 6 hivi, nikawa najiuliza anayewalipia tiketi hao mabaunsa ni nani?
Moja ya tricks zinazotumika na labels kuhakikisha pesa zinatumika kweli kweli kwa ajili yako!!! Ukiwa mjinga, wakati unapewa huduma kama hizi mwenyewe utaona raha tu na kudhani wanakujali lakini ni gharama zinazokuja ku-affect pay yako!
 
Wasanii wetu wengi ni -MBUMBUMBU-
 
Back
Top Bottom