Kiba kuja na tour ya dunia nzima

Naona ameamua kuwatendea haki watani zake ambao huwa wanasema amefanana na jamaa wa movie ya God must be crazy......
Hivi nayo si ya south africa?
Anyway ni vizuri mmoja anashambulia Kaskazini ( diamond) mwingine kusini(kiba) huku kiswahili chetu kinazidi kukua
 
Halafu wandishi wa vichwa vya habari na MADA humu tofauti.
Dunia na South Africa ni vitu viwili tofauti
Angalau hii @FromTandaleToWorldwideTour huyu alikua sahihi.
 
Naona ameamua kuwatendea haki watani zake ambao huwa wanasema amefanana na jamaa wa movie ya God must be crazy......
Hivi nayo si ya south africa?
Anyway ni vizuri mmoja anashambulia Kaskazini ( diamond) mwingine kusini(kiba) huku kiswahili chetu kinazidi kukua
Umeanza na kejeli ukaishia na pongezi
 
Back
Top Bottom