Kiba kuja na tour ya dunia nzima

Hongera yake,ila kuonyesha kuwa mambo hayajakaa sawa bado hata Tarehe rasmi haijatajwa. Na hizo shoo sio kwamba ameitwa na promota hapana, ila wanafanya kama walivyojiandalia shoo kule Mombasa,faida au hasara itawahusu wote. All in all hongera kama litafanikiwa.
 
Kiba hakuna kitu alichowai kufaulu labda fitna ndio anaweza. Hii show atazingua tu kama Dodoma alafu atakuja na lundo la excuse.
 
Kiba hakuna kitu alichowai kufaulu labda fitna ndio anaweza. Hii show atazingua tu kama Dodoma alafu atakuja na lundo la excuse.
kama mlivyozingua tour yenu na Ne-Yo ya uingereza. unaombea sana itokee hivo ila haitakua
 
South kwenyewe ukute anaenda kuimba kwenye mabaa then atakuja kujisifu kabisa show imejaza kuliko hata jay z......kama kweli anajiamini amuige mpinzani wake kuweka video YouTube
 
South kwenyewe ukute anaenda kuimba kwenye mabaa then atakuja kujisifu kabisa show imejaza kuliko hata jay z......kama kweli anajiamini amuige mpinzani wake kuweka video YouTube
show zzitakuwa mubashala hvo utashuhudia
 
Safi kijana anazidi kujitanua kimataifa naisubiri ngoma yake na Vyonne chakachaka najua itakuwa poa
4763e0795f6c74550523fd52894b0190.jpg
 
Umeanza na kejeli ukaishia na pongezi
Hapana mkuu ni utani tu ambao wale wenye timu zao ndio huwa wanarushiana hayo maneno! Hata wakati nacomment nilikua nasikiliza ngoma ya kiba - far away ft Chidbenz
"Do you remember ulivyokwenda safari, huku nyuma Ali mimi sina hali
So useme tu, nakupenda sanaaa
Watu wanaumia aaaahaaaaai, ukinitenda ntaumia sana.....
...

Where is this kind of good music nowadays?
 
Back
Top Bottom