Kiba kuja na tour ya dunia nzima

Ziko wapi mie nipo huku sijaona bango.
Kiba anacheza na akili za Watu,ziara iliokuwa confirmed ni hiyo ya Afrika kusini,hizo zingine ndio anazicchuuza kama machinga anavyopiga kelele kuuza suruali,ndio maana ameweka contacts ili mtu akitamani awasiliane na hao mameneja.
Tour unatengeneza ukishapata mialiko ambayo ni confirmed na deposit au malipo yote umepata.
Kiba bado sana,na hizo tour atafuta tu,atasingizia kahujumiwa,mara kanyimwa viza tupo hapa
Unataka afute siyo?
 
Dah hii roho mbaya itawaua watu.Mtuakifanikiwa kuna watu roho inakereka balaaaa.Mungu saidia#ONLY IN TANZANIA#
 
Wadau kama hz world tour viza inakuaje? Anaom a kote in advance? Maana nami natarajia kufanya tour moja matata sana
 
Sisi wa huku bangkok tutamuona lini mana hii dunia nzima inatuhusu na sie au dunia sauzi na usa tu
 
nilishawahi kumuona kiba OR Tambo Airport kazungukwa na ma-body guard kama 6 hivi, nikawa najiuliza anayewalipia tiketi hao mabaunsa ni nani?
 
Back
Top Bottom