Kiba kuja na tour ya dunia nzima

Safi kijana anazidi kujitanua kimataifa naisubiri ngoma yake na Vyonne chakachaka najua itakuwa poa
4763e0795f6c74550523fd52894b0190.jpg
aisee kitambo sana hivi huyu mama bado anaimba? amenikumbusha mbali kweli enzi hizo kwenye shughuli watu hawawezi kukuelewa bila kucheza ngoma za south
 
Majangaaaa hayoooo kashindwa dodoma huko kwa watu sijuwe itakuwaje anyway Kiba salome kila la kheli
 
Huko Kongo unakokusema anapendwa kuliko hata rais Kabila
kwa ushahid zaid waulize wasanii wa kongo au watanzania wanaoenda kongo mara nyingi, wanasema hakuna msanii wa Tanzania anependeka konho kama alikiba na kuna wadhamin ambao wapo tayr kumpeleka alikiba kule maana inaaminika show akifanya kule lazima ufanyike kwenye stadium. sema kwa upande wa alikiba anapenda shows kubwa za hivyo ziandaliwe na management yake. subir mwambie asubur tour ianze atajionea mwenyew
 
Kama ya Dodoma
 
Leo nilikuwa naangalia marudio ya tunzo za CAF kule nigeria,Diamond na wanamuziki wote walikuwa waki perform live ,kweli Diamond pamoja na mafanikio yake makubwa kimziki live performance bado sana. Nimemwangalia Yemi Alade,Mr flava, Femi kuti na kundi moja la South Africa yaani wako vizuri ile mbaya kwenye ku perform live,yaani instruments zinapigwa live na back vocals wapo na wapiga kazi. Diamond ilikuwa kama show ya kudance.
Najua matani-mind,lakini ushauri wangu kwa Platinum wetu ule mwaliko wa kuperform kwenye award kubwa kama ile si kitu cha mchezo so maandalizi ni muhimu ili siku nyingine ukumbukwe kwenye tukio kubwa zaidi. Diamond alitakiwa kupiga live, let's say nyimbo alizoimba kwa kushirikiana na wanamuziki wengine alitakiwa kuwa amemwandaa mmoja wa wanamuziki wake kucover nafasi hizo kama alivyofanya Yemi Alade kwenye wimbo johnny. Ni ushauri tu.
 
d796b40d998a9b0731ab0ea74c12de76.jpg

Hata mi nimeshangaa hapo kwenye tangazo,so tangazo la show imelist na tuzo.Wapi na wapi.
Mwambie apunguze ushamba kibaka wenu.
Hivi nao Sony washamba hivi.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom