Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

Bro yaan unaomba kazi alafu unaulizia mshahara ...kwa elimu ya tax manager !! Blo apo umefeli we subiri tokeo likitoka mshahara wowote utakao ukuta huko we pokea tu ..hamna pesa ndogo usawa huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kivipi mkuuu yuelezane ukweli basi mbona nasikia GPA ikiwa nzuri una ajiriwa direct bila shida yoyte ile?
mkuu wote wanapoanza chuo huwa na malengo ya gpa kubwa...au hata kupiga A zote first to third year...lkn kuna kipindi unapaki basi kuliko chelsea ya mourinho...unaanza kuomba hata lower second...anyway wazo zuri na ukapambane uwe na ufaulu mkubwa
 
Dah maisha ni popote pale nilikuwa na plani za kusomea ualimu...,sasa huku na hisi ntachaguliwa.

Wakuu naombeni kwa anaye fahamu mishahara kwa mtu mwenye degree hiyo mshahara wake ni kiasi gani kwa mwezi?
pole,usichagu kozi kwa ajiri ya mshahara ila chagua kwa ajili ya mapenzi,angalia usije kufungwa kwa tamaa,
pili,tunapoelekea waajiriwa ni wachache mfano sasa mawizara yanaunganishwa kwenye mfumo wa malipo ya kimtandao,ambapo mtu atalipa hata kwa simu sasa SIJUI ENZI ZENU ITAKUWAJE
tatu,kwa nini usiangalie fursa kujiajili km mtaalamu wa kodi kuliko kuajiliwa?km unajiamini na una uwezo soko lipo
 
hii imekaa poa sana mkuu naona ipo poa sana ntafanyia kazi.
 
mkuu embu wake kidogo details juu ya jambo hili la kusoma udereva mpaka ngazi ya juu
1. Pigana kwa muda mfupi kujua japo ufundi kidogo wa gari

2. Nenda kasome VETA kozi ya udereva,tafuta leseni kubwa class C na jizoeze kuendesha magari ya kawaida madogo kama Hilux na Toyota Land Cruiser

3. Baada ya hapo nenda chuo cha taifa cha madereva pale mabibo (NIT) soma (a) Advanced driver course grade two
(b) Advanced drive course grade one
(c) Senior driver course na itakuchukua muda wa miezi mitatu na nusu tu.

4. Ambatanisha na vyeti vyako vya elimu secondary au hata kama wewe ni muhasibu au una masomo yoyote yale,bora uwe na sifa hizo zitakazokuwezesha kupata kazi kwa ulahisi watakapoona sifa hizo.omba kazi ya udereva kwenye mashirika makubwa nakuhakikishia hutazunguka sehemu mbili tatu utapata kazi na ukiwa huko ukichoka udereva kusafili kwingi utakua na nafasi nzuri ya kuomba kazi nyingine kulingana na ulichosoma awali kama ni ulisoma mambo ya afya,utunza fedha,na nyinginezo

5. Driver wengi wa mashirik wanapata pesa kulingana na safari nyingi za kikazi na hata mishahara pia maana dereva wa mashirika wana mishahara hata zaidi ya walimu hapa nchini na hii itakufanya kubadilisha maisha yako ukiwa na uchungu wa maisha na ukiwa mzuri wa matumizi na kutunza akiba.

6. Epuka kabisa kuona aibu uombapo kazi ya dereva eti tu kisa wewe ulisoma Sociology Course au CPA ktk vyuo vikuu.angalia utapataje pesa na utatunzaje familia yako na mengine ni baadae.

7. Nimekua dareva wa mashirika kwa miaka 10 na mpaka leo nimeweza kujitegemea kuendesha mambo yangu japo kwa uchache lakini kusiko kwa kujuta

Go now.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
ahasante sana mkuu kwa darasa
 
Milion 10 MKUU (KIMA CHA CHINI)
Umeongea point sana mkuu ila haziendani na swali lililoulizwa[emoji23] [emoji23]

Kwenye government Institutions Hakuna kuajiriwa Direct siku izi mkuu, ni lazima ushindanishwe, Hata kama ulikuwa Mondo vip, Maana hapo watakuwa hawana uhakika na Credibility yako na watu wa nje na chuo hicho; Lets say you are 15 with high GPA unataka kusema TRA watawaajiri direct? Kuwa na maono ya nini unataka kusoma mkuu, Soma kitu ambacho una uhakika kinasupport maono uliyonayo, ukisoma kwa kufuata eti Ajira nje nje, ukikosa utakuwa very disapointed
Believe my words.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kitu ambacho mm nakijua as kilini mwangu ni kwamba, usiende kusoma kozi fulani eti kwa sababu umeambiwa watu wa huko wanalipwa vizuri. Soma unachokihitaji hasa, ambacho huwa unataka usome siku zote. Kuajiriwa wakati mwingine ni bahati ya mtu. Kuna watu wamesoma medicine mpaka sasa hv wana miaka miwili mitaani hawajaajiriwa, na kuna wengine wamesoma accounts na walipotoka chuo tu wakapata ajira. Ushauri wangu, kama moyo wako unataka ualimu nenda huko, mambo ya ajira na mshahara mwachie Mungu. Unachotakiwa kufanya wewe ni kuwa katika kiwango cha juu katika fani yako basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara ni 4,900,999.00. Soma kwa bidiii ili uupate huo mshahara au hata zaidi ya huo🙄🙄
 
Back
Top Bottom