Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Mi mwenyewe niko dukani kwangu hapa magomeni usalama sokoni nnauza vifaa vya kurogea aka duka la dawa asili..vyungu vipya..panya wakavu...makokokono...mayai viza...mtama...ndimu kavu... Chumvi ya mawe.... Vitambaa vyeusi,vyeupe na vyekundu,,maji ya bahari mavooozz nkHahahaha dah!? Aya bhana waajiriwa wanayajua vzr haya ila ss tusio julikana maeneo kama haya tuna tafuna popcorn na kuangalia yanayo endelea