Hii mishahara mnayo calculate kuanzia net sijawahi ona mkataba wa namna hiyo. Mikataba ina state basic salary na si net salary
Nani kukudanganya?take home ni shilingi za kitanzania laki 9.4
aisee kumbeeNet Sh.850,000 + Sh.160,000 Housing Allowance
Sh.=1,001,000 Pamoja na Wizi Mitaani wanavyotembea huko a Boy can make up to sh.3,500,000 kama anajituma kuiba na Kama Anajielewa ndani ya Miaka Mitatu Kijana Anaweza Akawa na Jumba Kubwa maeneo ya Mivumoni tukawa majirani na Mimi.
Za siku wadau!
Hivi hao jamaa wanaojiita TRA huwa wanalipa shilingi ngapi kwa mwezi kwa cheo cha Tax Officer II mwenye bachelor degree?
Badala yakusoma ujue maana ya ring fancing and tax planning unauliza mshahara mapema yote hii.Za siku wadau!
Hivi hao jamaa wanaojiita TRA huwa wanalipa shilingi ngapi kwa mwezi kwa cheo cha Tax Officer II mwenye bachelor degree?
HA HA HA HA HA HA HA HA HA HII NDO JF AISEEEE🙂😀😀😀😀😀😀😀😀😀Net Sh.850,000 + Sh.160,000 Housing Allowance
Sh.=1,001,000 Pamoja na Wizi Mitaani wanavyotembea huko a Boy can make up to sh.3,500,000 kama anajituma kuiba na Kama Anajielewa ndani ya Miaka Mitatu Kijana Anaweza Akawa na Jumba Kubwa maeneo ya Mivumoni tukawa majirani na Mimi.
1.2 millionSwali waalimu wa primary wanalipwa ngapi?
Unamshauri mwenzio akaishi segereaNet Sh.850,000 + Sh.160,000 Housing Allowance
Sh.=1,001,000 Pamoja na Wizi Mitaani wanavyotembea huko a Boy can make up to sh.3,500,000 kama anajituma kuiba na Kama Anajielewa ndani ya Miaka Mitatu Kijana Anaweza Akawa na Jumba Kubwa maeneo ya Mivumoni tukawa majirani na Mimi.
Duuh! Mkuu mbona kama mkuki umekuchoma ama kama mtu anataka akupute kitumbua ambacho unaendelea kukila ama kaanza kukitia mchanga kwa mbaaaaali! Jibu kali sana ulilo mpaNenda kaulize kwenye interview usitusumbue na maswali yako ya kimaku hapa
Wanauliza maswali ya kitoto sana hapa.mtu kaendakwenyw interview kafanya kamaliza kaulizwa kama ananswali kasema hana kaondoka.anakuja hapa anaanza kuuliza mambo ya mshahara si bwege huyu..Duuh! Mkuu mbona kama mkuki umekuchoma ama kama mtu anataka akupute kitumbua ambacho unaendelea kukila ama kaanza kukitia mchanga kwa mbaaaaali! Jibu kali sana ulilo mpa
Hahahaha dah!? Aya bhana waajiriwa wanayajua vzr haya ila ss tusio julikana maeneo kama haya tuna tafuna popcorn na kuangalia yanayo endeleaWanauliza maswali ya kitoto sana hapa.mtu kaendakwenyw interview kafanya kamaliza kaulizwa kama ananswali kasema hana kaondoka.anakuja hapa anaanza kuuliza mambo ya mshahara si bwege huyu..
HA HA HA HA HA HA HA MKUU SHIKAMOOOOO ILA UNAHASIRA KAMA ULILIWA KICHWA INTERVIEW YA WRITTEN NINI....Wanauliza maswali ya kitoto sana hapa.mtu kaendakwenyw interview kafanya kamaliza kaulizwa kama ananswali kasema hana kaondoka.anakuja hapa anaanza kuuliza mambo ya mshahara si bwege huyu..