Source ya kuaminika kwa Assistant tax officer Mshahara ni 850,000
Hiyo ngazi ya TGTS ni shilingi ngap?tra wanalipwa pesa za kawaida kabisa,wala msitishike...graduate anadaka net ya laki 9.4
laki 6.
TGTS ni mishahara ya walimu. (I stand to be corrected)Wakuu mwenye kujua anisaidie........ Mshahara kwa upande wa TRA ngazi ya TGTS ni kiasi gani? Yaani basic salary.
Asanteni.
Hata mlinzi halipwi hiyo hela ya mboga.....tunaongelea TRA ujue sio shule ya msingi kolomijelaki 6.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mlinzi halipwi hiyo hela ya mboga.....tunaongelea TRA ujue sio shule ya msingi kolomije
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawalipwi kwa TGTS mkuu TRA wana Scale zao!Wakuu mwenye kujua anisaidie........ Mshahara kwa upande wa TRA ngazi ya TGTS ni kiasi gani? Yaani basic salary.
Asanteni.
So pamoja na Makato yote 9.4 kumbe wana mishahara mikubwa aisee ukilinganisha na Halmashuritra wanalipwa pesa za kawaida kabisa,wala msitishike...graduate anadaka net ya laki 9.4
Taasisi za umma,wizara na halmashauri mishahara yao ni ya kawaida.
Mishahara mikubwa kidogo angalau hua iko kwenye mashirika ya umma. Hapo ndio unaweza kukuta mshahara wa kuanzia 1-2M.
TRA ni taasisi ya umma hivyo mishahara yao ni ya kawaida. Miaka michache nyuma walikua wanalipa 800,000 kama basic na housing &transport allowance ilikua 160,000. Sijajua kama imebadikika kwa kiasi gani sasa.
Hivyo kama unategemea mshahara mkubwa TRA basi badili mawazo.
Wakuu mwenye kujua anisaidie........ Mshahara kwa upande wa TRA ngazi ya TGTS ni kiasi gani? Yaani basic salary.
Asanteni.
Kweli kabisa sielew watu wanatoa wp idea ya kua wanamishahara mikubwa kwa graduate ni mkubwa ila kwa mtu mwenye experience yako sikushauri utaishia kwenda kulipwa mshahara wa kuanzia tu unless unatafuta jobsecurity governmntTaasisi za umma,wizara na halmashauri mishahara yao ni ya kawaida.