Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

"PAKAWAIDA SANA"

NDUGU YANGU HAYA NI MATUSI YA NGUONI
Mshahara wa 1.3M ni wa kawaida sanaaana ukilingaisha na story za mtaani kwamba TRA wanavuta mpunga mrefu. Mpaka madogo wanaenda kujaza form za vyuo target zao ni kuzama TRA
 
1.3 M take home sio badogo hasa usawa huu wa magu...hapo hujaongelea kuiba na the like......labda ww unatoka familia ya masamaki
 
hakuna officer wa kawaida anaenza kazi tra na analipwa take home ya 1.3 ,labda kama unazungumzia walio ndani ya tra for atleast ten years.
 
HAYA MJUAJI TUJUZE BASI MANA UNAONGEA KWA KUKATAA HAKUNA LAKINI HUTUPI UKWELI
 
sasa we unaona huo nao ni mshahara wa maana mkuu?
Msione watu wanaendesha ndinga zao huku kitaa mkadhani zinatokana na mishahara.kila mtu ana namna yake alivoipata hiyo ndinga.
KWA UFIKIRI HUU SASA NAKUBALIANA NA ILE KAULI KAZI YA KICHWA SI KUFUGA NYWELE TU INAKAZI NYINGINE YA KUFIKIRI SASA MTU ANAACHA NYWELE TU UFIKIRI ANAKAUSHA
 
Kwa ushauri wangu chukua kozi ambayo itakufanya uapply kazi sehemu nyingi, Mfano chukua accounting pale i.f.m, Mzumbe au I.aa (Arusha), hap autaaplly kazi tra na mashirika mengine mengi, Kwa hiyo kozi ya customs itakubidi usubiriage ajira za customs tu
 
Hiyo course unayotaka kwenda kusoma sikushauri kabisa kwani ni pasua kichwa huwezi pata ajira kirahisi kwani TRA wanapotangaza nafasi za kazi huwa wanachukua mtu yeyote aliyesoma mambo ya business chasingi awe na matokeo mazuri, sasa wewe kwa hiyo course ikitokea umekosa kazi TRA basi tambua kwamba utapata shida sana kupata kazi sehemu nyingine maana kazi huwa ni chache sana kwa watu waliosoma Tax, ushauri wangu mdogo wangu ni bora ukasoma Account au Banking. Kila la kheri kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah asante sana kaka nimeelewa yaani na pia ushauri wako ntaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom