Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

Dah maisha ni popote pale nilikuwa na plani za kusomea ualimu...,sasa huku na hisi ntachaguliwa.

Wakuu naombeni kwa anaye fahamu mishahara kwa mtu mwenye degree hiyo mshahara wake ni kiasi gani kwa mwezi?
Acha kiherehere yani bora uache shule ukafanye boda boda..wenzio wamemaliza mwaka wa tatu now wako mtaani wanasugua gaga
 
Dah maisha ni popote pale nilikuwa na plani za kusomea ualimu...,sasa huku na hisi ntachaguliwa.

Wakuu naombeni kwa anaye fahamu mishahara kwa mtu mwenye degree hiyo mshahara wake ni kiasi gani kwa mwezi?
Kama unataka kula bata hapa nchini soma udereva mpaka ngazi ya juu kabisa

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Kwan TRA wamekuahidi ajira? Au kuna Babaako pale? Na ukitajiwa huo mshahara, ndo unafkr utakua huo huo hadi ww utapomaliza chuo? Km unaipenda hyo koz, we soma. Ajira za hyo koz unaweza pewa na taasisi zngine tu, co lazma TRA. Punguzeni maswali ya kisekondar bac madogo.
 
Dah maisha ni popote pale nilikuwa na plani za kusomea ualimu...,sasa huku na hisi ntachaguliwa.

Wakuu naombeni kwa anaye fahamu mishahara kwa mtu mwenye degree hiyo mshahara wake ni kiasi gani kwa mwezi?
Nyoosha Maelezo tu kuwa umeapply kazi zilizotangazwa na TRA ila unataka kujua mishahara ni kiasi gani. ...unajifanya unataka kujiunga na chuo ili kuuza maboya....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani hata chuo hujaanza unaulizia mshahara, wewe hutufai kwa maendeleo ya nchi yetu kwa sasa maana bado akili yako ipo chini sana na inakubidi upambane na hiyo hali yako mpaka labda upate degree mbili au zaidi ndiyo urudi kuulizia kazi
 
Huyu jamaa ni mhuni, hajaanza hata kusoma chuo,ashaanza kupiga mahesabu ya mishahara ya TRA ni shilingi ngap!!! Soma kwanza dogo maisha hayana mbwembwe ujue, kuna watu wakati nasoma nao walikua wanasema mimi nikitoka tu chuo naenda zangu HAZINA AU BOT, Sasa hivi wapo wamepauka tu nakupuyanga town daily na vibegi utazani wauza ngada
 
Hahah sure asee. Jamaa anatuzuga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom