Achana na Tax utapoteza muda nina uhakika maana nlisoma Tax na ninajuta.. Hata ukisoma account... Business administration unaweza kufanya kazi tra
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure,huyu mkuda tu,ka-apply post za TRA na anazuga kuwa ka-apply chuo cha kodi,siye watu wazima humu kuwa mkweli tu kwani lengo lako ni kujua watashortlist lini.Nyoosha Maelezo tu kuwa umeapply kazi zilizotangazwa na TRA ila unataka kujua mishahara ni kiasi gani. ...unajifanya unataka kujiunga na chuo ili kuuza maboya....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mi nimestaajabuUmeapply chuo na tayari unapigia mahesabu mshahara wa TRA? Kweli hii ndo "positive thinking".
4,500,000/=Dah maisha ni popote pale nilikuwa na plani za kusomea ualimu...,sasa huku na hisi ntachaguliwa.
Wakuu naombeni kwa anaye fahamu mishahara kwa mtu mwenye degree hiyo mshahara wake ni kiasi gani kwa mwezi?
unadhani GPA inakuwa nzuri kirahisi rahisi kama kudumbukiza lombo katika naniliiiii........Mkuu kivipi mkuuu yuelezane ukweli basi mbona nasikia GPA ikiwa nzuri una ajiriwa direct bila shida yoyte ile?
"PAKAWAIDA SANA"tra kwa officer mwenye degree anaanza na basic ya 0.94m sema atapewa house allowance ya 0.13m na transport allowance ya 0.07m kwa mwezi.
so ni pa kawaida sana
Nani kakudanganya?Mkuu kivipi mkuuu yuelezane ukweli basi mbona nasikia GPA ikiwa nzuri una ajiriwa direct bila shida yoyte ile?
nategemea kuanza chuo mwaka huu cha kodi pale mwenge sasa naulizia kuhusu shavu kwa upande wa kozi hizi za kodi aseeeeee kwa maisha haya ya tanzania. Ila asante mkuu umenisaidia ku ng'amua mambo vizuri.Huyu jamaa ni mhuni, hajaanza hata kusoma chuo,ashaanza kupiga mahesabu ya mishahara ya TRA ni shilingi ngap!!! Soma kwanza dogo maisha hayana mbwembwe ujue, kuna watu wakati nasoma nao walikua wanasema mimi nikitoka tu chuo naenda zangu HAZINA AU BOT, Sasa hivi wapo wamepauka tu nakupuyanga town daily na vibegi utazani wauza ngada
Asante mkuu nimesikia ushauri wako.Yaani hata chuo hujaanza unaulizia mshahara, wewe hutufai kwa maendeleo ya nchi yetu kwa sasa maana bado akili yako ipo chini sana na inakubidi upambane na hiyo hali yako mpaka labda upate degree mbili au zaidi ndiyo urudi kuulizia kazi
noo sija ahidiwa ajira mkuu na wala sina CONNECTION YOYTE ILE MKUU NIPO MM KAMA MM aseeww pia nilikuwa nailizia tuu kama kuna shavu kwa kada hii ya ukuanyaji kozi ila asante kwaKwan TRA wamekuahidi ajira? Au kuna Babaako pale? Na ukitajiwa huo mshahara, ndo unafkr utakua huo huo hadi ww utapomaliza chuo? Km unaipenda hyo koz, we soma. Ajira za hyo koz unaweza pewa na taasisi zngine tu, co lazma TRA. Punguzeni maswali ya kisekondar bac madogo.
Asante mkuu naona una upeo mzuri sana ntaufata huu ushauri wakoWe soma tu ila ajira jitengenezee kabisa kabla hata hujamaliza hio shule yako.
Asante mkuu naona una upeo mzuri sana ntaufata huu ushauri wakoWe soma tu ila ajira jitengenezee kabisa kabla hata hujamaliza hio shule yako.
Noo nina fanha hivi ili kuangalia sehemu yenye shavu mkuu si unajua tena maisha haya. Yalivyo.Umeapply chuo na tayari unapigia mahesabu mshahara wa TRA? Kweli hii ndo "positive thinking".
Asante mkuu kwa ushauri wako.Subiri uchaguliwe mkuu, jiandae kisaikolojia na kukosa pia, mchakato wa ajira ni mkali sana. Watu ni wengi na wengi wanasifa kama zako na may be wanakuzidi. Omba Mungu. Usijipe uhakika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu kwa ushauri wako.
Poa kiongozAsante mkuu naona una upeo mzuri sana ntaufata huu ushauri wako
Dah natamani kupata mawasiliano nayo hao walomaliza hiI kozi za TRA ili wawe wana share na mm kuhusu masuala ya hapa na pale kuhusu kazi hizo za kodi.Acha kiherehere yani bora uache shule ukafanye boda boda..wenzio wamemaliza mwaka wa tatu now wako mtaani wanasugua gaga