Kwanini chuo cha kodi (ITA) haitambuliki ajira portal

Kwanini chuo cha kodi (ITA) haitambuliki ajira portal

waba

New Member
Joined
Apr 30, 2025
Posts
2
Reaction score
0
Kwanini Chuo cha kodi (cha serikali) hakitambuliki Ajira portal katika kazi za taxation? Hasahasa katika ngazi ya Bachelor Degree in customs and tax management?

Mfano kuna kazi za Mkaguzi wa mahesabu daraja la 11 (Wanaitaji Bachelor of tax management ambapo ni moja wapo ya kigezo lakini aliesoma Bctm(Bachelor of customs and tax management)hana vigezo kwanini?

Ingali kazi za Tra zikotoka wanachukua kada zote kwanini basi Ajira portal wanabagua course ya Bctm(HAITAMBULIKI)?
 
Back
Top Bottom