Na bado akina Harmful na secretarybirdNaapa kwa jina la jf kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima
Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
La sivyo ufyuuuuuuu🤔Kimbia kama yusufu yule wa kwenye biblia hapo ndo utaweza
Sasa kak uti tu hiyoWallah nimekoma sirudii tena
Hata sina haja ya kumwambia yeye anaamini choo tunachotumia na wapangaji wenzetu kichafu namimi naunga mkono hoja yake nzuriSasa kak uti tu hiyo
Na mkeo utamwambia umeitoa wapi?
Kwahiyo tako ndo limekupa uti aisee 🤣🤣, uliingia kusikotakuwa bila shakaHata sina haja ya kumwambia yeye anaamini choo tunachotumia na wapangaji wenzetu kichafu namimi naunga mkono hoja yake nzuri
Ila nimekoma mimi sio wakuumwa namna hii wiki inakaribia kukata nipo tu ndani alaaniwe yule mdada na tako lake
Daaah aiseeeUzinzi mie siachi
Pole sana mkuu, uzinzi ni majanga tu na upotevu wa hela na amani ya moyo.Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima
Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena