kiamaaaaa!

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
duu!kesho kiama,yaan kesho picha linakwisha,"the end "mchungaji wa marekani huyo,mwaka huu naona watumishi wa bwana wanafunuliwa sana mambo makubwa,babu Loliondo full matibabu,na huyu mchungaji huko mbele(marekani)anadai ndo the end,daaa,yaan JF tunaagana hivi hivi,kwa herini jamani!
 
ilikuaga mwaka 2000 na tukapita, ngoja tusubiri hiyo kesho!!
 
mi nshaanza kusoma bibble,na kuomba misamaha kwa niliowakosea wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom