kiamaaaaa!

kiamaaaaa!

hapa kwetu dalili zimeanza kuonekana , tayari kuna muembe mmoja unapukusa majani kwa kasi ya ajabu sana. Acha nichome moto hizi dvd za porno kuuwa ushahidi

dvd ya maisha yako itaangaliwa, shahid ni wewe mwenyewe, kila jambo la siri litaonekana wazi, mambo ya aibu yatakuwa hadharani.
 
hehehe halaf chetuntu leo umekuwa mtu wa maandiko kweli aisee?

fyekeni vichaka vyenu bwana aingie, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama dam nitazitakasa kama theluji. Amin amin nawaambie msipokuwa kama watoto wadogo hamtauona ufalme wa Mungu.
 
fyekeni vichaka vyenu bwana aingie, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama dam nitazitakasa kama theluji. Amin amin nawaambie msipokuwa kama watoto wadogo hamtauona ufalme wa Mungu.
yaani haya maandiko kama kesho kutapita salama bila kiama, nikija kukuuliza tena jumatatu huyakumbuki tena. hehehe chetuntu bana.
 
yaani haya maandiko kama kesho kutapita salama bila kiama, nikija kukuuliza tena jumatatu huyakumbuki tena. hehehe chetuntu bana.

keshen mkiomba maana hamjui saa atakayokuja bwana asubuh au ni usiku. Atakusanya ngano, atapepeta makapi, na walao wakaribia . Hakuna kinyonge kitakachoingia paradise. Jiweke tayari sana.
 
Halaf sku zote nilijua chetuntu yuko available kumbe dahhh! ana njemba mpaka kiama haiogopi.......

halaf mkuu yule mchumba ulipata au hakikueleweka?

ahahahaa mkuu umenikumbusha kitambo, mambo siyo mabaya bado nafanya selekshen. Naona sasa hivi tumewekewa sab-foram yetu nataka nirinyuu tangazo kama parapanda haitalia leo.
 
wasiwasi wa nini kwani hamkujua kila chenye mwanzo kina mwisho,ngoja niamke zangu niangalie angani mie,maana kuna jamaa,nilikuwa nananihhhiiii mke wake sijui nikaconfess?dah msala
 
ila hata mtu ukielekea ile pande nyingine,utapeta na watu mashuhuri wengi tu,akina hitler,benito,kaka osama,mjomba sadam,bob,sauli and so many,yaan makamanda wa ukweli kibaooooo!
 
hapa kwetu dalili zimeanza kuonekana , tayari kuna muembe mmoja unapukusa majani kwa kasi ya ajabu sana. Acha nichome moto hizi dvd za porno kuuwa ushahidi

wenzangu jf bado mpo au mumeshanyakuliwa?mwenzenu nipo sijui ndo ntaenda motoni!!?hadi sasa hivi bado nagoma kufa...sijui kuna kitu gani.aliyenyakuliwa p'se atujuze au wote watenda maovu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom