roselyne1
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 1,365
- 97
hapa kwetu dalili zimeanza kuonekana , tayari kuna muembe mmoja unapukusa majani kwa kasi ya ajabu sana. Acha nichome moto hizi dvd za porno kuuwa ushahidi
:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
hapa kwetu dalili zimeanza kuonekana , tayari kuna muembe mmoja unapukusa majani kwa kasi ya ajabu sana. Acha nichome moto hizi dvd za porno kuuwa ushahidi
Sikujua kumbe najua kusali hivi? Hadi kunena kwa lugha?
Zichukuwe tu!.hapa kwetu dalili zimeanza kuonekana , tayari kuna muembe mmoja unapukusa majani kwa kasi ya ajabu sana. Acha nichome moto hizi dvd za porno kuuwa ushahidi
bye. mia
wenzangu jf bado mpo au mumeshanyakuliwa?mwenzenu nipo sijui ndo ntaenda motoni!!?hadi sasa hivi bado nagoma kufa...sijui kuna kitu gani.aliyenyakuliwa p'se atujuze au wote watenda maovu??
huku dalili tayari,yaan huwez amini,giza mji mzima!
ila hata mtu ukielekea ile pande nyingine,utapeta na watu mashuhuri wengi tu,akina hitler,benito,kaka osama,mjomba sadam,bob,sauli and so many,yaan makamanda wa ukweli kibaooooo!