Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

ah ah ah tena wanaojaa pale ni wanaume kuliko wanawake,mm naendaga sana pale continental,kuna khanga ndembe ndembe na kitu Tigo K kwa mkeo!
 
fahari ya macho haifilisi duka. Asante mungu kwa kunipa macho yanipayo starehe ya moyo wangu

hahahaaa siku moja nlikutana nao,nikiwa na shem wenu kalibia ndoa ivunjike,hakuwa na habari tena na mie anaangalia nyonga tuuu!!!si ikabidi niondoke kwa jazba!alafu yeye kwan unadhani alirudi akaendelea kuburudika,mpaka mtima wake uluvyoridhika.tulilala mzungu wa nne wiki nzima!hahahaaaa umenikumbusha mbali sana.ila hao wana ni hatri kwa mauno,af pia warembo hawachukizi
 
Hivyo vikundi vinatisha sana hapa mjini kuna "LAKI SI PESA" sasa hao ni kweli mbele yao laki si pesa coz unaacha laki afu utamu ndio kwanza unaona kama umepunjwa vile...
Mmmmhhhh sio nzuri kwa wadhaifu kama sisi, niliapa sikanyagi tena huko maeneo!​
 
Nilihudhuria promosheni ya Heineken, kuna mabinti wanacheza yaani ni noma, hakieleweki wanakata kitu gani, sijui ni kiuno, sijui matak0, sijui ni tumbo, sijui ni nyonga?
Yaani nilibako hoi.
Nasikia jumatano huwa wanakuwepo hotel contineto, ntafiunga safari niende Dsm nkajionee uhondo tena.
Tutakuwa na mendeleo lini? Kama tunapanda magari na kutumia nauli kubwa kwenda kuangalia maungo ya manawake wakati tunao nyumbani?
 
niliuliza kwa nini watu wakienda kwenye hizo show hawaendi na wake au girlfriend zao? Nikajibiwa kwani wewe bar huwa unaenda na bia? Nkachoka kabisa
 
na mie leo ndo nimestuka, sijui kumekucha? manake kuna siku niliambiwa 'niko kwenye promosheni ya heinken' nikadoda na ugali wangu hadi ukaota gamba!
niliuliza kwa nini watu wakienda kwenye hizo show hawaendi na wake au girlfriend zao? Nikajibiwa kwani wewe bar huwa unaenda na bia? Nkachoka kabisa
 
Nilihudhuria promosheni ya Heineken, kuna mabinti wanacheza yaani ni noma, hakieleweki wanakata kitu gani, sijui ni kiuno, sijui matak0, sijui ni tumbo, sijui ni nyonga?
Yaani nilibako hoi.
Nasikia jumatano huwa wanakuwepo hotel contineto, ntafiunga safari niende Dsm nkajionee uhondo tena.

Hiyo ndio baikoko, ukishaiona hiyo ngoma inavyochezwa ndio utajuwa kwanini watu wakipata wa Tanga huwa hawabanduki.
 
Hiyo ndio baikoko, ukishaiona hiyo ngoma inavyochezwa ndio utajuwa kwanini watu wakipata wa Tanga huwa hawabanduki.
Mbona mi wa kawaida kabisa? Hata mimi nashangaa vipaji na ujuzi walionao laki si pesa wana ndembendembe
 
Wakenya wametuzidi kwa kila kitu! Kuna kitu Zawadi kutoka Mombasa ni noumer! Marijali wa hapa mjin kama leo hamjahudhuria Continental mmekosa utamuuuu
 
Nilienda Continental j 5 moja kuna lile wanaliita bonge likawa linaninengulia karibu sana nilikuwa na vielfu 5 kibao kwenye pochi nikaanza kumtupia kutahamaki zimebaki mbili ikabidi nirudi kulala
 
Back
Top Bottom