Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

Nilienda Continental j 5 moja kuna lile wanaliita bonge likawa linaninengulia karibu sana nilikuwa na vielfu 5 kibao kwenye pochi nikaanza kumtupia kutahamaki zimebaki mbili ikabidi nirudi kulala
Hahahaha...hi mikitu balaa! Wakezetu wakilijua hili tutakoma
 
Nilienda Continental j 5 moja kuna lile wanaliita bonge likawa linaninengulia karibu sana nilikuwa na vielfu 5 kibao kwenye pochi nikaanza kumtupia kutahamaki zimebaki mbili ikabidi nirudi kulala
kudadadeki ckunyingine uende na nyingi zaidi uchukue kabisa zigo hilo ukajiexpress
 
Hahahaha...hi mikutu balaa! Wakezetu wakilijua hili tutakoma
Na sasa hivi premier imeisha sijui tutaaga vipi hahaha!

kudadadeki ckunyingine uende na nyingi zaidi uchukue kabisa zigo hilo ukajiexpress
Lile litakuwa limeshachukuliwa na wengi mi napenda kuliangalia tu na likiniona tu linafanya makusudi siku moja likanipandia kabisa na kuninengulia,limekula sana hela zangu libonge.
 
mwana hivi viuno nomah! .... bongo raha!! dah! mademu wa kizungu hawawezi kabisa kuzungusha hiyo kitu! .. dah! ST. IVUGA! SANAAA TU! wacha niendelee kutoa macho...
 
haoni aibu ya kuja kuzungushia kiuno chake karibu na pua yako huku akiwa amesimama juu ya kiti cha pembeni yako.utasikia watu weweeeee.....!!
mi bado naangalia tu uhondo!.ntarudi baadae.
mia
hapo ujue anataka umtunze buku kumi .. mwe\!!!!
 
Back
Top Bottom