Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

aisee hawa watu ni noooma, sijui haya mambo ya kanga moko yame originate wapi jamani,
 
aisee hawa watu ni noooma, sijui haya mambo ya kanga moko yame originate wapi jamani,

Hawa je......maana hwa ndio kuku wa kienyeji original
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio baikoko, ukishaiona hiyo ngoma inavyochezwa ndio utajuwa kwanini watu wakipata wa Tanga huwa hawabanduki.

Tanga ilikuwa zamani. miaka ile kweusi. Siku hizi hamna la maana.
 
Back
Top Bottom