Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
umepima?
hao watoto baba tofauti?
Mi huyo mwenye mpododo mi hoi jamani hivi anaishi pande zipi nianze kumnyatia.
Mi huyo mwenye mpododo mi hoi jamani hivi anaishi pande zipi nianze kumnyatia.
Weka nakala ya vipimo tuone umepima nini; isije ikawa ni choo....eace:Nimepima mara ya saba mwezi wa nne.
angalia mkuu usije kula kuku na mayai yake,maza hana noma.msanii huyo kioo cha jamii watoto wanakaa uchi
Weka nakala ya vipimo tuone umepima nini; isije ikawa ni choo....eace:
Nyie ndio waongo, kwanini upime mara zote hizo. Yaani unamaanisha umetumia zaidi ya miezi 21 katika maisha yako kupimapima.Nimepima mara ya saba mwezi wa nne.
hapo wahuni wameshajimegea long time,maana mpaka amevaa hivyo ujue wameshaona mengi!Mi huyo mwenye mpododo mi hoi jamani hivi anaishi pande zipi nianze kumnyatia.
hao watoto baba tofauti?
Mwananyamala kwa kopaMi huyo mwenye mpododo mi hoi jamani hivi anaishi pande zipi nianze kumnyatia.
Utamuweza??
hapo wahuni wameshajimegea long time,maana mpaka amevaa hivyo ujue wameshaona mengi!