Kesi ya urithi wa Marehemu Dkt. Mengi: Yaliyojiri Mahakamani

Sipati picha uwe Ni mtoto pekee wa marehemu mzee wako.

Afu ukabidhiwe ulelewe kwa mama wa kambo mkatili Kama JACKY.

Bila shaka dunia utaiona chungu, Na akikuona unaanza kujielewa

Achelewi kukulisha sumu ya panya ufe, arithi Mali zote zilizobaki peke yake na wanawe
 
Mzee muhuni kala papuchi then kaandika wosia magumashi kasepa zake jehanamu
 
Swali la muhimu ni
1. Je Jackline kweli alitaka huo wosia ufatwe 100 % yaani yeye na mapacha wake wachukue Mali zote bila huruma?

2. Jackline kweli anataka watoto wa Mengi wapewe hizo buku buku kama wosia unavotaka?

3. Ongezeni maswali hadi mahakimu wa JamiiForums washtuke

Baniani mazishi hutumia kuni kufanya mazishi nadhani alimani kulingana na vifo kuwa vingi utakea upungufu wa kuni za kufanyia mazishi )kama sikosei hapo wototo wakubwa wa marehemu.tayari walisharith hisa za mama yao
 
Back
Top Bottom