Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,515
2,000
4. Je hao mashahidi hawakusaini hiyo mirathi ili kuupa nguvu huo wosia?...
Nadhani urithi alioachiwa yeye na Wanawe Kutoka kwenye Kampuni ambazo Mengi alishiriki kumiliki Ni Shares zake tuu. Kuna mahali mahakama imejichanganya. Labda kama Hisa hazirithishwi.
 

DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,428
2,000
Samahani...apple punch wanakunywaga wakubwa?? Mm kinywaj chochote chq juicy za dukan eti zilinishinda ..huwa nahis ladha mbaya ajabu..bora ninywe maji...afu sijui y mie hivyo vijuic naonaga kama vya watoto eti .we mwenyewe wajua soko kubwa ni madent...uzee huu ninywe apple punch? Aku..bora maji
Shouga unaniangusha apple punch sio juice ni soda......juice ni vinywaji ambavyo haviwekwi gesi. Mfano Azam embe.
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,941
2,000
Hii movie aliipanga Mengi mwenyewe.. alishajua Miss Mirathi hana IQ ya kuendesha makampuni zaidi ya watoto wake.

Si unaona hata sasahivi amebaki social media anabwabwaja, wakati watoto wa marehemu wapo busy kuendesha makampuni
Cheni feki ,noti feki.mengi hakutaka kumpa kitu

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 

Stephen Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
6,703
2,000
Samahani...apple punch wanakunywaga wakubwa?? Mm kinywaj chochote chq juicy za dukan eti zilinishinda ..huwa nahis ladha mbaya ajabu..bora ninywe maji...afu sijui y mie hivyo vijuic naonaga kama vya watoto eti .we mwenyewe wajua soko kubwa ni madent...uzee huu ninywe apple punch? Aku..bora maji
Kama uko above 35 usiguse...hata mimi nitakucheka😂😂😂
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,971
2,000
Mengi alikuwa very smart kwenye issue hii ya mirathi na uwezekano wa kulazimishwa kuandika wosia upo wazi. Huenda alitishiwa kifo pia ambacho alikipata baada ya kuweka sahihi.

Kwa vyovyote iwavyo, mirathi hiyo aliiandika chini ya shinikizo Tena kubwa tu hasa ukizingatia huyo Dada ana family ya intarahamwe! Hongera mahakama kwa kutenda haki na kuzuia Mali za mtanzania kuhamishiwa Kigali!
 

Biggs

JF-Expert Member
May 3, 2014
684
1,000
MONDAY MAY 24 2021

Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha...
Kwa upande wa WALETA MAOMBI; kama haya ndio maelezo waliyotoa mahakamani itoshe kusema "J" anauelewa finyu sana kupelekea kudhani mambo ya Mirathi ni rahisi kiasi hicho.

Ni kama alikuwa mwenyewe kwenye hii kesi maana hata msaada wa Wanasherria hauonekani kwa haya maelezo ya waliotegemewa kuwa upande wake.
 

K.Msese

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,857
2,000
8. Je kama Dkt Mengi alipatwa na Kiharusi 2016 huo wosia aliusaini vipi au aliweka dole gumba?
9. Na je kama aliweka dole gumba alama zilizomo zinashabihiana na alama sahihi za Dkt Mengi?
Alama ya dole gumba, inaweza kuwekwa kwa shinikizo la miss mirathi, ukiwa mgonjwa na in love unaweza fanya usichojua hasa kwa umri wake..

swali ni kwann bahasha haikuwa sealed? maana uwezekano wa ku edit kicho andikwa upo, kama pia Marehm aliweka dole gumba kwny empty A4.

pili, Mali alizozichuma Mengi pamoja na Mkewe wa kwanza na kuzaa hao kina Regina na Abdiel kabla ya kukutana na Miss Mirathi, zinawezwaje kugawiwa zote kwa Mama mapacha?
jasho la mama kwanza katika hizo mali liko wapi?

ukichukua chungwa, ukaligawa sehem 3, basi mbili ya tatu, ingeenda kwa mke mkubwa na wanae aliochuma nao, na kisha moja tatu ndiyo angebaki nayo Mengi mwenyewe, na kama anaamua kugawa basi labda ndiyo hiyo tu.

inakuwaje baba anakuwa na mamlaka ya kugawa mali zote za familia, bila kujali mke wake na watoto ambao walizichuma wote? mbona hata mikopo bank baba hawezi kukopea nyumba ya familia bila ridhaa ya mama?

kujikita huku kwa miss mirathi, kwny ishu ya Mali zote kuwa zake, kunatia shaka sana kama ndiyo hicho kilimleta kwa huyo mzee pengine na uhai wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom