Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

Kwa wenye ulewa mdogo
Hii kesi ipo ivi

Chadema kupitia Mashahidi wake wote wanalengo moja tu kukataa maana ya aya meneno

Kisha wanakili kweli yametamkwa maneno ayo chini na Mwenyekiti wao❗️

lkn kwao wana Tafsiri yao tofauti na ile tunayoijua Watanzania
wote ❗️

Kiasi wengine wakafanya Fujo kumbe ndio kusema hawakumuelewa Mwenyekiti wa Chadema ❗️

yeye hakuwa na maana ile kukinukisha kwao nikutoa harufu kali sana 👈

Sijaongeza maoni yangu
nimeweka jinsi ilivyo pale Mahakamani
kinachobishaniwa👇
Hiyo video inatafutwa mahakamani
 
Brenda leo kakiwasha sanaa, halafu hili li katuga bichwa cabbage limeanza upuuzi wake was maswali ya kiwaki. Yaan huyu sijui yukojee km limetoroka milembe, sijui limeahidiwa nini hili li mbwa linanikera hadi baasi, pumbaavu.
 
Mie hadi sasa hivi bado sielewi. Km hiyo Video yenye maneno ambayo lissu kashitakiwa, mahakamani imekataliwa kuwa ni takataka, sasa hii case iko hapo kwa msingi upii? Ikiwa ushahidi mkuu haupo.
Mbona sielewii kabisaa.
 
Acha ujinga tuambie INGREDIENTS za UHAINI.

Ndugu ivi umeelewa nimemaanisha nini kwenye maelezo yangu au ndio kusema ni u🫎🫎🫎

kwani mm nimesema Mh Lissu ni kafanya uhaini

Nimeseme kile kinabishaniwa maana ya neno na Tafsiri yake


Au kama ipo sehemu nimesema Lissu uhaini nioneshe wapi❓️

Jukwaa la kiswahili mnataka tutumie English

Kwenu bado mnadhani kuongea kidogo kingereza ndio kuwa na Elimu 🫎🫎🫎🫎
 
Mie hadi sasa hivi bado sielewi. Km hiyo Video yenye maneno ambayo lissu kashitakiwa, mahakamani imekataliwa kuwa ni takataka, sasa hii case iko hapo kwa msingi upii? Ikiwa ushahidi mkuu haupo.
Mbona sielewii kabisaa.

 
Swali ni kwamba,ni kosa kuzuia uchaguzi?
Kama ni kosa leta hicho kifungu cha sheria kinachotamka hivyo.

Mimi sijasema ni kosa au sio kosa
Nimesema kile kinabishaniwa pale Mahakamani ni Tafsiri ya ya neno kwa neno
Nikatoa mfano
Kukinukisha Tafsiri ya Mh Lissu ni Mashahidi wake ni kwamba maana yao neno Kukinukisha ni kutoa harufu kali 🤠🤠

Sasa nashangaa mnaniona ni kama nimesema nisawa ni uhaini

au katenda jambo bayaa ‼️

uko sijafika
Mimi lengo langu kuwaelewesha wasomaji kwa faida yao kile kinabishaniwa Mahakamani kwasasa
wapo kwenye kutafsi Lugha na maana yake✍️
 
Kuna kitu kimoja naona tunakichanganya sana. Hii issue ya reforms za Tume ya Uchaguzi na Katiba haikuanza na Lissu kuwa chairman wa CHADEMA. Ilikuwepo miaka mingi kabla yake. Kwa hiyo kuiweka kila kitu kwenye kauli za Lissu kama vile yeye ndiye aliyeanzisha haya mambo ni kupiga chenga tu.

Na kuhusu oct 29, tusichanganye pia. CHADEMA kutaka mabadiliko na watu wengine nje ya chama kutaka mabadiliko ni vitu viwili tofauti na kupanga au kutekeleza vurugu. Watu wanaweza kuwa na sababu moja ya jumla lakini kila mmoja akawa na agenda yake.

Kwa hii kesi, serikali inabidi ithibitishe kwa ushahidi, sio kuunganisha tu watu na matukio kwa sababu wanaonekana kuwa upande mmoja. Judiciary nayo isiingizwe kwenye kazi ya kisiasa. Kama ushahidi upo, leta ushahidi na kesi iishe, kama haupo, kesi isiendelee kuwa adhabu yenyewe.

CCM ingekuwa na akili zaidi ikimuacha Lissu awe mpinzani mkubwa kuliko kujaribu kumaliza kisiasa kupitia mahakama. Lissu akiwa nje anailazimisha CCM ijibu hoja, ifanye reforms, ijipange na ishinde kisiasa. Ukimfanya awe symbol wa kudhulumiwa, unampa nguvu zaidi.

Kama CCM inaamini kweli ina nguvu, mwache Lissu azungumze, mwache CHADEMA iseme wanachotaka, halafu CCM iwashinde kwenye siasa.
 
Brenda nayeye anajua kujieleza

Ngoma itakuwa tamu na Katuga!!
Katuga anajifanya kumuiga Lisu kuuliza muda mrefu, ila yeye anarudiarudia hayo hayo kila mara, na mara nyingi haulizi maswali yanayohusiana na kesi, bali maswali kuhusu uongozi wa cdm na porojo zinazotokana na propaganda za ccm, zisizo na mahisiano na kesi husika.
 
Mie hadi sasa hivi bado sielewi. Km hiyo Video yenye maneno ambayo lissu kashitakiwa, mahakamani imekataliwa kuwa ni takataka, sasa hii case iko hapo kwa msingi upii? Ikiwa ushahidi mkuu haupo.
Mbona sielewii kabisaa.

Kupitia Video ndio imekataliwa lkn kupitia njia nyengine bado kaonekana mh Lissu niyeye ndio katamka ayo maneno

Kumbuka Mashahidi wa Jamhuri nawao wametoa Ushahidi kuonesha aya maneno yametamkwa na yametolewa na mh Lissu

Ndiomana mh Lissu akapatikana na kesi
ya kujibu✍️
 
Mie hadi sasa hivi bado sielewi. Km hiyo Video yenye maneno ambayo lissu kashitakiwa, mahakamani imekataliwa kuwa ni takataka, sasa hii case iko hapo kwa msingi upii? Ikiwa ushahidi mkuu haupo.
Mbona sielewii kabisaa.
Hata Mimi najiuliza kama wewe wenye majibu watuambie
 
  • Thanks
Reactions: ---
1788885695394.png

Mtu na Nusu.
 
Kupitia Video ndio imekataliwa lkn kupitia njia nyengine bado kaonekana mh Lissu niyeye ndio katamka ayo maneno

Kumbuka Mashahidi wa Jamhuri nawao wametoa Ushahidi kuonesha aya maneno yametamkwa na yametolewa na mh Lissu

Ndiomana mh Lissu akapatikana na kesi
ya kujibu✍️
Kwani hayo maneno si hapo kwenye hiyo video kwanini sasa video ikataliwe halafu maneno yaliyoko kwenye hiyo video yaonekane yanashida?
 
Rudi shule kwanza

Wewe ndio uwelewa wako unatatizo iyo sio shida yangu kukufanya uwelewe kila kitu

Ndiomana kwenye MISS Tanzania na kwengineko wanachunguza zaidi Uwelewa wako ukoje kuelewa matukio endelea
kunywa Togwa kwenye chupa za Soda🫎🫎🫎
 
Mkuu upo salama ?
Sioni haja ya kuni attack bila kuelewa nini hoja niliyoizungumzia. JF ndio nini ? Au sisi Members wa JF huwa tunaleta hizi updates.?
Hoja ni kwamba kwanini mtu anaanzisha uzi wa updates mapema kabla hata mahakama haijaanza ?

Halafu mimi nikianzisha updates kuendana na kinachoendelea mahakamani unaunganishwa na mtu ambaye alianzisha uzi mapema kabla ya Mahakama halafu hatoi updates.

JF Inaleta updates kutoka mahakamani kwani JamiiForums imeajiri waandishi wa habari siku hizi? 😂😂😂
Hebu kwanza 'Manyanza' ku'attack', maana yake ni nini hasa?
Nimekushambulia au nimekueleza kinachotokea?
Kwani hoja hapa ni nini hasa, siyo kwamba sote tupate taarifa za nini kinatokea huko mahakamani?

Hii siyo mara ya kwanza kulizungumzia hapa ukumbini jambo hili, na nilidhani limeeleweka; lakini bado naona kuna ulalamishi, hasa kutoka kwako, ambaye ningetegemea unaelewa kinachoendelea.
Kwani unashindana na nani hasa katika jambo hili la kuleta taarifa hapa. Kuna tuzo yoyote inayoshindaniwa?

Unapowalalamikia hao watu wa JF, kwani unadhani hawajui kinachofanyika?

Unafanya kazi nzuri, ambayo sioni sababu ya kuhimiza/kulalamikia utaratibu unaofahamika na utawala wa JF. Hujazuiwa kuleta taarifa!
Ila kama kuna jambo unategemea kufaidika nalo juu ya juhudi hiyo, siyo lazima utake utaratibu mwingine usiozuia kazi yako usiruhusiwe kuendelea.
 
Kwani hayo maneno si hapo kwenye hiyo video kwanini sasa video ikataliwe halafu maneno yaliyoko kwenye hiyo video yaonekane yanashida?

Sasa apo kupokea iyo video ni mh Lissu kapigania Mahakamani ikakubaliana na mh Lissu 👈

ivyo Mahakama ikakataa iyo video
Kisheria
Kwahiyo imetumika Sheria mh Lissu katoa vifungu mbali mbali kuonesha kwanini Mahakama
isipokee iyo video ✍️

Lkn Kupitia Mashahidi wa kificho na nk 👈
ndio wakajenga uwelewa kwamba ayo maneno ni ya mh Lissu kupitia njia nyengine sio video tena👈

Kwasasa kwakua tayali kuna kunaushahidi Mahakamani ya ayo maneno kukinukisha kuzuiya Uchaguzi nk

Ni wajibu wa Mh Lissu kujieleza na kutoa maana ya ayo maneno

Ndiomana tunaona mpaka Tafsiri za Bakita zinatumika kutoa mwanga wa maneno bishaniwa✍️
 
Hiyo video inatafutwa mahakamani

Kama nimekuelewa upo sahihi nikama sasa Mvutano upo palepale Jamhuri inataka Kuonesha kupitia njia nyengine kwamba niyeye mh Lissu katangaza yale yote yapo kwenye ile video✍️
 
Wewe ndio uwelewa wako unatatizo iyo sio shida yangu kukufanya uwelewe kila kitu

Ndiomana kwenye MISS Tanzania na kwengineko wanachunguza zaidi Uwelewa wako ukoje kuelewa matukio endelea
kunywa Togwa kwenye chupa za Soda🫎🫎🫎
Unajitahidi sana kumuiga Tlaatlaah kwenye kuleta hoja za kutibua ili ufuatiliwe lakin it's so bad huna kiwango hicho hata Ile akili ya haraka hauna unaishia kuandika ujinga tu humu jukwaani ebu rudi Facebook huko.

Napoteza muda kujibizana na Id za mamluki za 2026
 
Back
Top Bottom