Kesi ya Lissu ni ushahidi kuwa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuna shida ya watu Wazalendo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,144
Reaction score
162,539
Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo.

Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba 29 na Kupitia hii kesi ya Lissu, Taifa hili linakwenda kukombolewa kama ilivyokuwa kwa Afrika ya kusini wakati wa utawala wa makaburu.

Yote haya hayatokei bure, bali ni lazi ya NATURE japo yanaumiza sana

NB: HIcho kizimba cha mashahidi wa siri, ni doa na kumbukumbu mbaya sana kwa Samia na CCM.

Kiongozi mwenye kutazama mbele, asingekubali mambo ya aina hii.

Kwa Lissu ni historia kubwa sana ya ushujaa na uzalendo kwa Taifa lake.
 
Sioni kama serekalini watu wana aibu, ili mradi ni jambo linamfurahisha rais aliyeko madarakani, wote wanafanya atakavyo. Umesahau ile aibu ya kibanda cha kufukiza Covid hapo Muhimbili wakati wa Magufuli? Wataalamu wote wa afya walikuwa wanajua ile ni aibu na haikubaliki kwenye ulimwengu wa sayansi lakini walikaa kimya, na alipofariki kile kibanda hakikumaliza mwezi pale wakakitoa.
 
Huyu Mama siku akitoka madarakani, CCM watamgeuka na kuanza kumsema vibaya kwa huu ukatili unaoendelea sasa dhidi ya Lissu na mauji ya Oktoba 29.

Kwa kifupi, watajitenga nae.

Muda utaongea.
 
1770922218187.jpg
 
Back
Top Bottom