Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm any one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
..neno la Mungu linasema itiini mamlaka iliyopo maana kaiamuru kuwepo.,..mungu utakayemuomba ni wa CHADEMA
 
Hapana sio mkono wa rais ...hata mawakili wake wamesema yanayoendelea mahakamani ni legal technicalities na wala hakuna cha ziada
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Hoja zako zinathibisha unyani wako kama Mwafrika... Huyo unaesema hawezi kuingilia utendaji wa Mahakama sio yule aliyetoa pesa kwa Mahakama na kuitaka ihakikishe Serikali yake inashinda kesi zote? Mjinga sana wewe... Umethibisha wewe ni nyani!
 
Kwani na Wewe ' sometimes ' unavyopuka labda kwa Wayne Rooney wa Man United kushuka ' Kiwango ' kwani na yeye huwa mnajuana au anakujua? Kwa mapungufu yenu makubwa ya akili kama haya kila siku nitakuwa ' nawadharau '.
Maandishi yako tu, yanaonesha namnagani usivyo makini kichwani.Au na wewe nimmoja wao.
 
Kwani waliomtabiria Lowassa kifo wako gereza gani?? Au wliosema watashinda kwa goli la mkono au nchi haiachiwi kwa makaratasi si wachochezi??
 
Sasa kama mpk katiba imewekwa PENDING inategemea SHERIA IFUATWE WAPI SASA STPgovernmental
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Mwenzetu mzungu? Achaupumbavu wa kutukana watu
 
Habari comrades,

Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?

Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?

Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Lema is a criminal. Over.
 
Lema kakwaa kisiki ulimi umemponza,Magu alishasema hajalibiwi.Upinzani wa siasa usigeuke chuki binafsi.Sheria ina pande mbili na hicho ndio kimemfika Lema.
Kwa mwendo wa kesi hii ni wazi Lema anachungulia kifungo.Ili kumnusuru mwanasiasa chipukizi na mpambanaji yabidi juhudi za ziada CDM wafanye mazungumzo na CCM kuepusha shari kamili .
acha upuuzi, mahakama imeoza, inaiogopa ikulu badala ya kufanya kazi, kumbuka walisha toa hukumu apatiwe dhamana, kikaja kimemo cha magogoni kuingilia mahakama. tatizo mahakimu wengi ni wana ccm.
 
Kuongoza Taifa lenye mbumbu kama hawa ni kazi sana,tena sana maana Mavicha hawajui kua Lema anashtakiwa na Jamhuri na sio Magufuli
Wewe lazma upo kati ya wale1.4 NA inawezekana hujameza vidonge leo[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
Hebu tuwe wapole kutoana povu humu ndani sio sahihi maana mpaka sasa hakuna anajua ukweli....
 
Habari comrades,

Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?

Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?

Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Kesi ya Jinai dhamana haiko wazi straight na ni ngumu vigezo na mashart lazima vifuatwe .
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Kwani Lema anasoma hili jukwaa akiwa sero ama unafurahia mtu kunyimwa dhamana ambayo ni haki yake pia?
 
Kwani na Wewe ' sometimes ' unavyopuka labda kwa Wayne Rooney wa Man United kushuka ' Kiwango ' kwani na yeye huwa mnajuana au anakujua? Kwa mapungufu yenu makubwa ya akili kama haya kila siku nitakuwa ' nawadharau '.

Dharau zako hazisaidii kitu humu. Nakuuliza katika upeo wako unahisi kesi ya lema haina haki ya dhamana.?
 
Tunwaza kuogopwa 21st century
Ha ha ha ha ha ha ha
Nacheka kwa zalau
 
Back
Top Bottom