Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

katika watu hopeless first class ni wewe. nina uhakikia asilimia kubwa kuwa hata Huyo unae mtetea amekudharau.Haiwezekani hakimu awe amekuelekeza kukata rufaa halafu yeye huyohuyo anakubaliana na hoja za wakili wa serikali kuweka pingamizi tena halafu usijue kinachoendelea? Halafu unaleta ubishi kwa wenye akili?
Mahakaman ni justification ya kisheria. Hakunaga mbwembwe huko ni justification ya vifungu vya sheria tu. Ukiangalia kes hii utaona upande mmoja unatoa justification wa vifungu vya sheria na mwingine unaonekana unazidiwa kujustify kama sheria inavyotaka.
 
Inamaana ni kesi yao ya kwanza kukata rufaaa?nataka kukubaliana na mleta mada kwa kiasi fulani
Unapokata rufaa haikupi maana ya kukubaliwa moja kwa moja kumbuka unapokata rufaa upande wa pili huja na pingamizi ya kuzuia rufaa hiyo kisheria....unaweza kukata rufaa hata mwaka mzima unakata tu rufaa na haikubaliwi.....
 
Maneno yanaumba kwani hapo mwanzo lilikuwepo neno... Lema na wenzake waliita serikali ya CCM iliyopita majina mengi DHAIFU, LEGELEGE, ISYOWEZA KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU, INAYOOGOPA WATU nk; CCM imegeuza upande wa pili wa sarafu- fateni sheria tu tuishi kwa amani
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mahakaman ni justification ya kisheria. Hakunaga mbwembwe huko ni justification ya vifungu vya sheria tu. Ukiangalia kes hii utaona upande mmoja unatoa justification wa vifungu vya sheria na mwingine unaonekana unazidiwa kujustify kama sheria inavyotaka.
Hakimu anaelekeza jinsi ya kukata rufaa kweli? ya wapi hiyo wewe mwenye akili?
 
mtajiuliza sana hawamu hii,awamu hii aipendi ujinga,acha sheria ifuate mkondo wke,mwehu mmoja awezi kuharibu amani ya nchi ambayo watanzania wanaitunza kwa muda mrefu sana
Hivi ukitumia akili unaweza kuandika hivi kweli?Plz kumbuka umepewa akili so ni vizuri ukazitumie
 
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?

Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?

Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Yes ameua akiwa ndotoni
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Yaan wewe ndiyo mngese kabisa Haya yote yanayotokea Arusha ni kwa sababu ya Rais Magufuri!!!!!!!!!!
 
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?

Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?

Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Hujasikia ITV kuwa kuna kamkono ka wanasheria wake.
Kila siku eti wanakosea vifungu na taratibu.
 
Kuongoza Taifa lenye mbumbu kama hawa ni kazi sana,tena sana maana Mavicha hawajui kua Lema anashtakiwa na Jamhuri na sio Magufuli
 
Ingekuwa kuna mkono wa rais basi huyo Lema wenu makalio yangekua yamelowa sasa.
 
Hata acpomuachia arusha aiatawaliki na ccm ngo' anaruka ruka tu na cku aktua imekula kwake
 
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?

Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?

Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?

So what?
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Kwa we mwenzetu nawe ni mzungu au Mwarabu??maana naona una IQ kubwa.
 
Tumia akili
 
Kwani na Wewe ' sometimes ' unavyopuka labda kwa Wayne Rooney wa Man United kushuka ' Kiwango ' kwani na yeye huwa mnajuana au anakujua? Kwa mapungufu yenu makubwa ya akili kama haya kila siku nitakuwa ' nawadharau '.
Hahaha mzee wa dharau, kama nakuona vile castle lager pembeni huku nyama choma ...halafu ukitaipu kwenye kasimu chako dharau..hahaha mzee wa dharau you made my day bro!!!
 
Back
Top Bottom