The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Umemaliza ' kupovuka ' Wewe boya?
Vuta tu hilo boya lipige sindano ya Gentamycine!!
Umemaliza ' kupovuka ' Wewe boya?
Umesema mahakama imeoza,lakini hapo unasema ilipata memo kutoka ikulu.Umeshindwa kuelewa ulimi wa mbunge huo unachangia yeye kusweka ndani.acha upuuzi, mahakama imeoza, inaiogopa ikulu badala ya kufanya kazi, kumbuka walisha toa hukumu apatiwe dhamana, kikaja kimemo cha magogoni kuingilia mahakama. tatizo mahakimu wengi ni wana ccm.
wanaarusha tunamuhitaji sana Lema zaido..kuliko tunavyomuhitaji rais wa nchi hiiLema hanaiharibu Arusha,,, nilipiga kura yangu kituo cha SIDO VIWANDANI Ila najuta,,,, Bora ningelalaa,, lkn namuona meya wetu calist Lazaro akifanya kazi vzr na pia yeye Yuko Karbu na viongoz wa vyama vyote,,, na ninamuona akipata nafasi YA UBUNGE 2016
Kesi yake Ina mkono Wa huyo aliyempa maono.Habari comrades,
Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
umenifurahisha mkuuNDIO.. tena sio mkono mmoja ni yote miwili
unaona wazungu tu ndo wanaweza kufanya utafit?? Hata mim nimefanya nimeona unatumia boga la kijani kufikir na sio kichwa kama binadam wa kawaidaKumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Ukifikiria sana kesi ya Lema, hakika hata machozi yanaweza kukulenga lenga........
Inawezekanaje mahakama ing'ang'anie kumnyima dhamana kama vile Lema ana murder case?
Hivi kumbe ukipata maono na kuyaweka hadharani, kwa mahakama zetu tayari una murder case?
Mbona hata Bwana yule kwenye mazishi ya Masaburi, alitamka hadharani kuwa Lowasa atakufa, JK naye atakufa na yeye mwenyewe naye 'alijitabiria' kifo?
Mbona 'maono' hayo ya Bwana yule hayakuonekana kama murder or treason case?!
Ila hayo matamshi ya Lema ndiyo yanachukuliwa kama treason or murder case!!!
It is obvious haiwezekani mahakama ikomae kiasi hicho kumnyima dhamana Lema dhamana ambayo ni haki yake kisheria kama siyo 'order' toka juu..........
Hata hivyo hakuna kitu chochote hapa duniani kilichokuwa na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho.....
Me cmuhitaji sasawanaarusha tunamuhitaji sana Lema zaido..kuliko tunavyomuhitaji rais wa nchi hii
umh .Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Wewe mwenyewe ndiyo nyani kwani umeuafiki mtazamo huo. Hata kuuwawa inawezekana Africa kama mkuu ataagiza hivyo seuze kuwekwa mahabusu?Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Wewe mwenyewe ndiyo nyani kwani umeuafiki mtazamo huo. Hata kuuwawa inawezekana Africa kama mkuu ataagiza hivyo seuze kuwekwa mahabusu?
Habari comrades,
Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Wale majangili wa meno ys tembo wetu wamepewa dhamana wakalipa fain 150m na hatimae wamefutiwa kesi. Walivotoka tu wakawasaka wabaya wao waliotoa taarifa zao kilichotokea wamepiga risasi wameua wamejeruhi na majeruhi wako hospital. Haya yametokea jamaayetu kaziba masikio anajifanya hasikii hajui hajaambiwa. Ila anafatilia kujua nani atamuachilia kamanda lema ili ale nae sahani moja atumbue[emoji196] [emoji83]Habari comrades,
Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Weweeee hebu sema "hanaiharibu wapi na vipi?!! wewe huoni jinsi wanavyopambana kutaka kupoka ubunge wa Arusha. Wewe wameshakununua tu!!! uko kwa lema au huo mgambo!! aliyeteuliwa na kichaa fulani wa pale magogoniLema hanaiharibu Arusha,,, nilipiga kura yangu kituo cha SIDO VIWANDANI Ila najuta,,,, Bora ningelalaa,, lkn namuona meya wetu calist Lazaro akifanya kazi vzr na pia yeye Yuko Karbu na viongoz wa vyama vyote,,, na ninamuona akipata nafasi YA UBUNGE 2016
Hakuna aliyekataa kwamba hajafanya kosa (mahakama itatoa haki kama ikiachwa huru) swali la mleta UZI ni je, kosa hilo halistahiri DHAMANA!? Jifunze kujenga hoja kuanzia hapo.Umesema mahakama imeoza,lakini hapo unasema ilipata memo kutoka ikulu.Umeshindwa kuelewa ulimi wa mbunge huo unachangia yeye kusweka ndani.
Kabashiwe mbali huko punguani kweli wewwWewe lazma upo kati ya wale1.4 NA inawezekana hujameza vidonge leo[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]