Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm any one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
 
Anatukanwa Rais wa dunia itakuwa huyu bn? Uzuri madkteta wote wanaanza kuachia nchi kwa uoga wa Trump effect tumeona jana GAMBIA...... mahakama zetu haziko huru
 
Jamaa hataki kukosolewa,anachotaka ni kutetemekewa na kuabudiwa,ukimkosoa tu kesho yake askari wako mlangoni kwako.
 
Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.

Kuna watu wanamihemko ya kuchochea hata pasipo kuwa sababu, tuliona walianza na uchwara mara kile.

Yaani mnatuchanganya tu ngoja atiwe adabu. Ndoto zote za kijinga tungesimulia si tungekamatana ugoni hapa.

Ngoja asote rumande
 
Naona hata kitendo cha kuikataa ccm dar es salaam tunakomeshwa kwenye kila stayle, maama wenye magari hawana raha na trafic, wenye viwanja, nyumba nk. Kweli kosa la baba adabu kwa watoto kosa lilifanywa na viongozi waliotangulia ndiomaana ya kuikataa ccm dar, kwanini waadhibiwe wanadar es salaam wasio na hatia ? Waadhibuni viongozi waliofanya chama kichukiwa.
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Umemdharau bure, jamaa AMEULIZA tu, wala hajaconclude. But inawezekana pia ikawa hvyo, na hata ungeku ww ndo uliyeotewa kufa na una hasira, yawezekana ungejenga chuki. Unajua kesi ambazo hazifai kupewa dhamana ww?? Au ulitaka atoe order kwa hakimu halafu wananchi msikie kma alivyompigia simu Makonda?? Ni sawa na anavyofanya Naibu Spika Tulia, huku akijionesha dhahiri kukandamiza mambo in favor of the govt, pale si yeye.
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
 
Hataki kukosolewa anapenda kuabuduwa na kutetemekewa ukimkosoa tu kesho polisi washatumwa wakukamate na kukuweka ndani
 
Naona hata kitendo cha kuikataa ccm dar es salaam tunakomeshwa kwenye kila stayle, maama wenye magari hawana raha na trafic, wenye viwanja, nyumba nk. Kweli kosa la baba adabu kwa watoto kosa lilifanywa na viongozi waliotangulia ndiomaana ya kuikataa ccm dar, kwanini waadhibiwe wanadar es salaam wasio na hatia ? Waadhibuni viongozi waliofanya chama kichukiwa.

Polisi wanasimamia sheria nzima, mwanza wamechagua ccm sikiliza kilichokea usiku wa kuamkia leo wamachinga wameondolewa town kweupeeee
 
Hamnaga kitu ,
Ukiaauliza Lema anashitakiwa kwa kosa lipi hawana jibu.
Ukiwa Pumba ni Pumba tu nothing else.

Kuna jamaa pale Mbarali wanavuna tembo kwa kwenda mbele lkn hawaonekani wala hakuna hatua yoyote inachikuliwa.

Mzungu akija hapa akituambia sisi ni STUPID tunamuona yeye ni mbaya.

Sisi Waafrika ni wajinga sasa
Hata kama mnampenda Lema lakini muwe wa kweli kwamba amekuwa akifanya ujinga wa kipumbavu muda mrefu! Sasa lazima ajifunze heshima kidogo ili akitoka awe mstaarabu!
Lema amewekwa Rumande kwa zaidi ya Mwezi sasa. Ati Kosa lake ni Pale aliposema Kuwa, " Magufuli anajifanya ni Mungu na asipobadilika Mungu atamuua Kabla ya 2020. Pia Bungeni ambapo kuna immunity akasema tena Kuwa aliona Maono kuwa, Mungu atamuua Magufuli kabla ya 2020. Sasa Kama imani ya Lema ni sahihi au La, Huwezi Kumpeleka mtu Rumande kwa Kusimulia ndoto aliyoota hata Kama ameota kuwa Tanzania yote italipuliwa na Super volcano mwezi Ujao. Na Pia huwezi kumweka Mtu Jela kwa Kuwa anakiri kwa Imani yake Mtu anayejitia yupo juu ya sheria (Kama anavyojitia Magufuli) Kwa imani yake Mtu huyo anajifanya Mungu na Kwa imani yake Mtu huyo Mungu atamuua.

Lema angekuwa na hatia kama angalisema Kuwa anapanga Kumuua Magufuli Kabla ya 2020. Hapo wala Nisingemtetea. lakini kwa aliyosema Kumpeleka Rumande ni Ushenzi, na Ukowadi.

Naona Tanzania imegeuka Nchi ya wanaojifanya Miungu, hata huyu Kunguni Mkuu wa Mkoa Makonda akasema Juzi Kuwa ati akisema Yeye ni Mungu Kasema. Niseme tuu Biblia inasema Kuwa Lolote Tulifungalo Duniani, Limefugwa Mbinguni, na Lolote Tutakalolifuungua Duniani Litafuunguliwa Duniani. Nina huzuni ya Kufa kwa uonevu unaofanywa Nchini, Hasa kwa Ndugu Lema ambaye he has never hurm no one! Katika Maisha yangu sijawahi Kufunga na Kuomba ninilolitamani kwa Mzigo au Huzuni ya Kiasi hiki, Mungu asinisikie, Sasa Mini nitafunga siku 3 Kuomba kinyume na Ushetani na Unyama wa Uonevu Tanzania. Kama lema na Wengine wanao onewa Kisiasa Bila Kujalk Chama hawataachiwa By Monday. Nitaomba Mungu awanyanyue Watu fulani Na wakinyanyuka tu Nchi nzima itajua.
 
Naona hata kitendo cha kuikataa ccm dar es salaam tunakomeshwa kwenye kila stayle, maama wenye magari hawana raha na trafic, wenye viwanja, nyumba nk. Kweli kosa la baba adabu kwa watoto kosa lilifanywa na viongozi waliotangulia ndiomaana ya kuikataa ccm dar, kwanini waadhibiwe wanadar es salaam wasio na hatia ? Waadhibuni viongozi waliofanya chama kichukiwa.
Kama ya kagera hayo
 
Acheni kumsingizia Magufuli. Tatizo na hao Mawakili wenu wanaocheza na mashabiki. Mawakili gani kila wakikata rufaa wanaishia kuelekezwa cha kufanya.
Ndoyo maana Lema akaona ni wapuuzi na kuwapiga stop kufanya lolote. Mimi Nina amini kwamba kesi hii kama angejisimamia Lema angeshinda. Uwakili siyo kumeza vifungu tu, jifunzeni taratibu za kufungua kesi na zile za mapingamizi (rufaa).
 
Tangia enzi za mababu wa imani,Mungu hapandi kufananishwa na miungu wengine na amekuwa akitoa adhabu.
Mungu atawaadhibu wanaojifanya miungu ili hali ni wagonjwa tu
 
Acheni kumsingizia Magufuli. Tatizo na hao Mawakili wenu wanaocheza na mashabiki. Mawakili gani kila wakikata rufaa wanaishia kuelekezwa cha kufanya.
Ndoyo maana Lema akaona ni wapuuzi na kuwapiga stop kufanya lolote. Mimi Nina amini kwamba kesi hii kama angejisimamia Lema angeshinda. Uwakili siyo kumeza vifungu tu, jifunzeni taratibu za kufungua kesi na zile za mapingamizi (rufaa).
Dhamana ilishatolewa ikarudishwa kwa amri toka juu,fuatilia!..
 
mtajiuliza sana hawamu hii,awamu hii aipendi ujinga,acha sheria ifuate mkondo wke,mwehu mmoja awezi kuharibu amani ya nchi ambayo watanzania wanaitunza kwa muda mrefu sana
Si kweli mkuu, Tanzania hatuna amani. Utasema vp kuna amani wkt nguvu ya dola ni kubwa sn na wanachukua uoga wa wananchi kma alama ya ushindi..!!! Ukweli ni kwamba, ss watanzania wengi ni waoga, lakini tunaumia na kunung'unika ndani kwa ndani, vijiweni na kwenye vibanda vya kahawa tu. We rarely speak out issues kwa kuogopa nguvu ya dola ambayo huwa ni kubwa kuliko kosa lenyewe.
 
Maneno aliyoongea Lema ni mazito sana kwa mamlaka ya nchi. Sidhani kama kuna Mahakama italichukulis suala hili kimzaha mzaha. Je una hakika gani kama alichoongea Lema ni maono? Je hakuna mikakati yoyote ya chadema kutaka kumuua Rais? Kwa hakika katika nchi zingine mtu kama Lema angeshasahaulika kabisa. Hapa kwetu demokrasia inatufanya rusitekeleze ipasavyo sheria za nchi
 
Back
Top Bottom