Sasa kama ccm inachukiwa kwa anachofanyiwa Lema, si mfurahie kuifuta ccm arusha? Kelele za nini? Au hamlitaki tena jimbo la arusha?
Wanaoona kwa macho zaidi ya mawili, hasubili kuambiwa kama wewe chongo.Vipi kwani una ushahidi wowote au unahisi tu
Sheria ipi, iliyotungwa na Bunge lipi? Kuwa kusimulia ndoto ulizoota kwa mtu, ni uhaini? Acha kujifanya unajua, wakati hujui kitu. Upo kutetea lolote ili mradi ulipwe tu!!Endelea kuwaza,ukishtuka utajua kuna mkono wa sheria na sio wa magufuri.
Duh, pole ulianza vizuri nikataka niendelee kusoma, nilipofika mstari ulioanza kuchanganya mada nikaona nikuache tu!! Pole ukikua utaacha.Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
2020 Tanga yote CHADEMA, Kilimanjaro yote CHADEMA, Arusha yote CHADEMA, Manyara yote CHADEMA na Mara yote! ndio mtafahamu ubaya haulipi.Sasa kama ccm inachukiwa kwa anachofanyiwa Lema, si mfurahie kuifuta ccm arusha? Kelele za nini? Au hamlitaki tena jimbo la arusha?
2020 Tanga yote CHADEMA, Kilimanjaro yote CHADEMA, Arusha yote CHADEMA, Manyara yote CHADEMA na Mara yote! ndio mtafahamu ubaya haulipi.
kweli jmaa hajafanya fair kumshambulia mwenzio ivoKuna haja ya kumdharau mtu kwa kutoa mawazo yake? Je lema amekosea au hajakosea? Sasa tutajuaje nan anamakosa kama utammdharau nwenzio
Lema hajanyimwa dhamana.mawakili wasomi wanamuangusha lema mpaka ameishiwa pumzihabar comrades,
Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
mkuu ndio jibu hilo vijana wanasema pigia mstari.habar comrades,
Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Sasa Mtu akiwehuka unampeleka rumande au hospitali? Huoni kuwa nawewe una support yasiyostahili. Kama Lema ni Mwehu- apelekwe Milembe. Kama ana kosa la jinai na linastahili dhamana, basi apewe dhamana, ni haki yake. Tatizo tunalozungumza hapa ni kuzuia mwananchi kupata stahili yake kama katiba inavyoelekeza. Lakini kama kweli Mtukufu ana mkono wake ktk kesi hii kupitia muhimili wa Mahakama hiyo inatoa taswira mbaya. Mtukufu anayo mamlaka ya kumuweka mtu kizuizini na hakuna atakaye lalamika maana nikwa mujibu wa katiba. Ni bora akatumia njia hii ikajulikana kuwa rais katumia mamlaka yake kutekeleza anachokusudia kuliko kujificha nyuma ya mihimili mingine. Wala hakuna tatizo hapo!Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Uko sawa mkuu na zaidi uwezo wako wa juu kabisa kufikiri ni kuwa hana namna ya kuingilia ni ushahidi tosha miafrica ni sokwe na wanaongozana kinyaninyaniKumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Hakuna mkono kabisa. Makosa ya lema yanagusa mamlaka nyeti. Yaani usalama wa taifa letu. Kumbuka ni muda mrefu watu wa chama mfu walikuwa wanajiapiza kusema rais hafiki 2020 na lema akaja kumalizia kuhusu kifo, sasa unadhani ni jambo dogo???? Hayo ni masuala ya kisheriahabar comrades,
Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Ww jamaa ni zero kabisa ukumbuki kwenye maojiano na waandishi wa habar aliweka waz kuwa muhimili.mwingine umechimbia chin zaid kwa maana muhimili yake serikal ipo juu ya mihimili mingine ukumbuki siku anaongea na wanasheria alitoa maamuzi ya kuwa watu wakikamatwa wafungwe bila kujua kuna taratibu inabid zifuatweKumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Kwa kawaida wenzio wanaulizwa Maswali wapewe Majibu Ila we we hapa umeleta Jibu badala ya kuuliza Swali...habar comrades,
Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?