Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Mwa
Kama angeua au kupiga mtu, au kama angetishia kuua Ningeelewa. Ukitaka kujua Tanzania Kuna Unafiki, Juzi Kuna Kiongozi wa Dini Kipenzi cha Mkubwa fulani, alimtishia Mtu kwa maneno, " Wewe Nikikukuta Mahali wewe nakuua" Na video iko kila mahali. Huyo hajakamatwa, lakini Lema kwa Ndoto au tuseme Maono Kakamatwa! Au yule aliyetishiwa Kuuwawa Live yeye Maisha yake ni cheap kuliko ya Magufuli ambaye Lema hakumwambia, " Hafu wewe Nikikuona Mahali nakuua" Alimwambia tu Unajifanya Mungu, Usipogeuka Mungu atakuua, sasa yupi angetakiwa kukamatwa. Utaona Unafiki wa Tanzania!
Mwache kwanza afundishe adabu,siasa sio kuropoka matusi,unajua dunia hii ya ajabu sana,ukiwa mbambe jua kuna wababe zaidi yako.
 
Pole sana, sasa mshaurini jamaa yenu abadirike aachane na siasa za kizamani.

Akifanya mchezo ataozea ndani wengine hawajaribiwi.

Wewe unaona ni sawa anayotendewa au unahisi anatendewa haki? Tuacheni sheria ifuatwe ili kila mtu atendewe haki. Yaani hii issue ya Lena inaitia najisi serikali hii. This guy has a right ya dhamana why not give him? Mimi nimelia nilipowaona watoto wa Lena kwenye picha iliyowekwa hapa jamvini leo. It is sad!
 
Ninashangaa tunahangaika na watu kama Lema. Resources na akili zetu zote twatumia kushughulikia vitu visivyo na tija.

Hii issue ya Dangote itatuumbua. Kama kweli twataka Tanzania ya Viwanda; basi tuoneshe statement kwa kushughulikia hii issue ya Dangote, na ulimwengu wote ujue kwamba tuko serious.
 
Habari comrades,

Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?

Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?

Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
Muulize mama yako
 
Lema aonje joto, aache kuropoka ovyo kama mtu aliyekosa utashi wa kufikiri. Ngoja hiyo February pili tuone kama hatorudishwa rumande tena, kitendo cha yeye kupokea mwaka mpya lupango kitakuwa fundisho kwake!!
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
.
Kwa hiyo Lema ni mfungwa wa kisiasa?
Maana kesi yake kisheria inadhamana ila kanyimwa.
 
Kwa hiyo unajaribu kusema Rais Magufuli aliwaagiza kibatala na Mallya wakosee wapi pa kukata rufaa,taratibu za kukata rufaa?
.
Kwa hiyo kusa la kukosea kukata rufaa ndio hakimu amemhukumu Lema kifungo cha miezi miwili hadi february 2? Huu ni uenda wazimu wa jaji aliyepokea maelekezo
 
Baadhi ya viongozi wa chadema ni wapuuzi acha sheria iwanyooshe !

Chadema miaka 5 itaisha na hamtafanya lolote ila kukalia mambo ya k'puuzi tu eti operation kata funua...

Mnawafanyia nini wananchi ?
 
Pole sana, sasa mshaurini jamaa yenu abadirike aachane na siasa za kizamani.

Akifanya mchezo ataozea ndani wengine hawajaribiwi.
Hakuna aliye juu ya sheria. Pia hakuna wa kuzuia sheria isifuate mkondo wake. Kama Lema amevunja sheria ni vema ahukumiwe afungwe na sio kumnyima haki yake kwa sababu ya amri kutoka juu. Wewe uliyeandika hii comment ni punguani usiyejua haki yako. Kupambana na Lema kunampandisha hadhi lakini hadhi ya anayepambana nae inashushwa. Ni bora wangedharau maono yake hilo lingekuwa bora zaidi.
 
Baadhi ya viongozi wa chadema ni wapuuzi acha sheria iwanyooshe !

Chadema miaka 5 itaisha na hamtafanya lolote ila kukalia mambo ya k'puuzi tu eti operation kata funua...

Mnawafanyia nini wananchi ?
Tunaambiwa watanzania wengi ni vichaa na kwa uhakika wewe ni mmoja wapo. Hii nchi inaongozwa na chadema? Halmashauri zote zinazoongozwa na chadema zimepiga hatua kimaendeleo pamoja na majaribio ya serikali ya CCM kuwatenga. Sasa badala ya kusaidia wananchi wote kwa ujumla naona serikali inajitahidi kuhonga vijana wa Arusha pikipiki. Hili ni Jambo la aibu sana. Miaka 5 itaisha hatujaona viwanda wala chochote tulichoahidiwa. Badala yake tutapoteza hata kile tulichokuwa nacho. Haya yote yatasababishwa na serikali kujikita katika kupambana na upinzani badala ya kubuni mbinu za kuleta maendeleo.
 
Hata kama kuna mkono wa nani,penye haki Mungu husimama na yeye ni mwaminifu sana. Hajali kama wewe ni myunani au ni muyahudi
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
"mh Rais umetumia mamlaka gani kuingilia muhimili wa mahakama kwa kutaka walete barua kwako kwa mambo yao ya safari ili wewe uamue kama ndiyo au hapana?Huoni kuwa umekiuka katiba uliyoapa kuilinda kwa kuingilia muhimili wa mahakama?"
Jibu:"kwanza Mayalla kwa kilugha chetu ni njaa,mimi ndio mpishi na ndio mwenye fedha,natumaini umenielewa"
Kwa maelezo hayo sidhani kama mchango wako huu umeutoa kishabiki au umefanya tafakuri ya kutosha!
 
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.

Kwani wewe ni mzungu?Au na wewe ni mwafrika - nyani sokwe?
 
Punguani atakuwa mama ako aliyekuzaa kenge wewe usiye na akili,ukiambiwa utoe ushahidi wa hiyo Amri kutoka juu utakuwa nao au ndio mnaishia kulishana maneno ya vijiweni mkinywa viroba.

Kenge mkubwa wewe.
Hakuna aliye juu ya sheria. Pia hakuna wa kuzuia sheria isifuate mkondo wake. Kama Lema amevunja sheria ni vema ahukumiwe afungwe na sio kumnyima haki yake kwa sababu ya amri kutoka juu. Wewe uliyeandika hii comment ni punguani usiyejua haki yako. Kupambana na Lema kunampandisha hadhi lakini hadhi ya anayepambana nae inashushwa. Ni bora wangedharau maono yake hilo lingekuwa bora zaidi.
 
.
. Kwa mapungufu yenu makubwa ya akili kama haya kila siku nitakuwa ' nawadharau '.

Kama wewe mmoja tu "unawadharau", je wewe wajua ni wangapi wanaku - "gigo" na kuku - "tito?" na mwisho wa siku wanakudharau?

Hao unaowadharau, na wewe wanakudharau 4 × 4 × far........

Sasa kwa hapo siyo kwamba ngoma ni droo au pengine wewe una trail kwa 4 - 0 kabisa na kuachia wenzio goli 4 na point 3!

So, tell me who is a loser?.....Objectively it's you!

The point here is, toa hoja na huna sababu ya kudharau wenzako kwani kujua ni kutojua na kutojua ni kujua.....!!

Usidhani kuwa unajua na wengine hawajui hata UWADHARAU!!
 
Punguani atakuwa mama ako aliyekuzaa kenge wewe usiye na akili,ukiambiwa utoe ushahidi wa hiyo Amri kutoka juu utakuwa nao au ndio mnaishia kulishana maneno ya vijiweni mkinywa viroba.

Kenge mkubwa wewe.
Kutukana ndio ustaarabu wako. Lakini kama unafuatilia kesi hii utakumbuka hakimu alishampa dhamana lakini ghafla akabadilisha uamuzi huo. Wewe unafikiri ni kitu gani kilimfanya abadilishe maamuzi yake ya awali? Ni nini justification ya kumweka ndani hadi February? Jibu ni rahisi, ni njia ya kumtumikisha kifungo bila hukumu kwani hakuna kesi hapo. Mimi sitakutukana ila nitasisitiza tu kuwa wewe ni punguani, you don't know what you're fighting for!
 
Kama wewe mmoja tu "unawadharau", je wewe wajua ni wangapi wanaku - "gigo" na kuku - "tito?" na mwisho wa siku wanakudharau?

Hao unaowadharau, na wewe wanakudharau 4 × 4 × far........

Sasa kwa hapo siyo kwamba ngoma ni droo au pengine wewe una trail kwa 4 - 0 kabisa na kuachia wenzio goli 4 na point 3!

So, tell me who is a loser?.....Objectively it's you!

The point here is, toa hoja na huna sababu ya kudharau wenzako kwani kujua ni kutojua na kutojua ni kujua.....!!

Usidhani kuwa unajua na wengine hawajui hata UWADHARAU!!

Umemaliza ' kupovuka ' Wewe boya?
 
Back
Top Bottom