mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 22,631
- 8,417
Mkuu Hatutaki Katiba Mpya!; Tunataka Mkutano wa Katiba!kaka, hii kesi ina manufaa kwa CCM mwendazake - tatizo maza anataka kurithi kila kitu hadi matatizo binafsi ya marehemu kitu ambacho ni kosa kubwa kibinadamu hata katika ulimwengu wa kiroho.
Maza apewa ushauri huu muhimu, kama marehemu alikuwa hampendi A, B, C D basi ni yeye na wala asitake sisi wana CCM wote tuendelee kuyaachukia ambayo yeye aliyona hayamfani wakati yeye hayupo duniani na hawezi kurudi tena.
Hata kama marehemu aliapa kutotoa katiba mpya basi ni yeye, sasa kwani sisi tulibaki hapa duniani tukisema katiba mpya ni ajenda yetu leo ni kosa ? arudi basi kama ana uwezo huo.
Narudia tena, maza ashauriwe - adui wa mtangulizi wako si wa kwako, principal ya maisha ni kwamba tengeneza marafikio wengi kuliko maadui.
Nitamweshimu wana CCM YEYOTE atayetamka kwamba katiba mpya ni ajenda yetu ya leo, regardless !!
Ukisema Katiba mpya bunge hili linaweza likakaa hata leo Wakafanya ya kufanya kisha wakasema Katiba mpya mlio itaka hiyo hapo!