Iko hivi; Wewe kama ulijiendeleza Kielimu kwa Haki ya mtoto mwingine aliyepasi Darasa la 7 ujue huna tofauti na Yakobo wa Bibliani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Watu wengi wanakosea kudhani kama ulinunua cheti cha mtoto maskini aliyeshindwa kuingia Kidato cha kwanza licha ya kufaulu basi Wewe ulifaulu kwa akili zako kuanzia Form One hadi ulipoishia

Wanachosahau ni Ukweli Kuwa hapo walipofikia ni wametumia " Haki ya Msingi" ya mtu mwingine

Hii haina tofauti na Yakobo wa kwenye Biblia aliyenunua kwa hila Haki ya Uzaliwa wa Kwanza kwa kutumia udhaifu wa " Njaa" ya Esau na kiukweli Yakobo hajatulia hadi leo na sasa yuko vitani na wanaokufa ni Wanyonge wa kike, Watoto na Wazee

Hivyo Ujumbe wangu Jumapili hii ya 3 ya Majilio ni Kuwa kama Ulipokuwa mtoto ulidhulumu Haki ya Ufaulu wa Mtoto mwenzio basi hujachelewa, Nenda ukatubu Yesu anakupenda

Zakayo akamwambia Bwana Yesu, wale wote niliowadhulumu nitawarejeshea mara 3 ya nilichowaibia

Nawatakia Dominica Njema 😀
 
Kaka umeshapagawa na mambo ya bwana martin kule X(tweeter)?

Sema jamaa amewakalia sana kooni wanasiasa aisee....!!!
 
Watu wengi wanakosea kudhani kama ulinunua cheti cha mtoto maskini aliyeshindwa kuingia Kidato cha kwanza licha ya kufaulu basi Wewe ulifaulu kwa akili zako kuanzia Form One hadi ulipoishia

Wanachosahau ni Ukweli Kuwa hapo walipofikia ni wametumia " Haki ya Msingi" ya mtu mwingine

Hii haina tofauti na Yakobo wa kwenye Biblia aliyenunua kwa hila Haki ya Uzaliwa wa Kwanza kwa kutumia udhaifu wa " Njaa" ya Esau na kiukweli Yakobo hajatulia hadi leo na sasa yuko vitani na wanaokufa ni Wanyonge wa kike, Watoto na Wazee

Hivyo Ujumbe wangu Jumapili hii ya 3 ya Majilio ni Kuwa kama Ulipokuwa mtoto ulidhulumu Haki ya Ufaulu wa Mtoto mwenzio basi hujachelewa, Nenda ukatubu Yesu anakupenda

Zakayo akamwambia Bwana Yesu, wale wote niliowadhulumu nitawarejeshea mara 3 ya nilichowaibia

Nawatakia Dominica Njema 😀
Hapa unamsema Saidi Bagaile aliyeiba cheti cha Kigwangala ambaye humu kwenye JF anajiita HKigwangalla
 
Anaandika Boniface Jacob kule mtandao wa X, zamani Twitter

UMOJA WA VILAZA CCM SIKIENI.

Angekuwa na akili timamu Bw. HAMISI ANDREA KIGWANGALLA angekaa mbali sana na mijadala inayohusu KUGHUSHI ELIMU.

Wewe ni mfano unaoishi huko CCM juu ya elimu za kununua na kimagumashi naweza kuthubutu kusema heri ya Nape Moses Nnauye kuliko HAMISI ANDREA KIGWANGALLA kwa sababu Nape amekomaa na vyeti vyake vilevile na majina yake yale yale pamoja ni vibovu.

KIGWANGALLA unawezaje kujitokeza kumsaidia mwana CCM mwenzako anapohojiwa kuhusu uhalali wa elimu yake wakati wewe ulinunua jina la mtu na ndiyo mpaka leo unalitumia kupata riziki yako...?

Kijana HAMISI ANDREA original yupo pale Nzega anasukuma mikokoteni stendi anaishi kwa tabu wakati alifaulu vizuri darasa la saba, mjanja ukaiba jina lake na unalitumia mpaka leo ukimuacha HAMISI ANDREA katika dimbwi la umasikini.

Waliosoma mkoani Tabora,wilaya ya Nzega pale shule ya Msingi KITONGO mwaka 1984 hadi Mwaka 1990 wanakufahamu majina yako halisi ni SAIDI NASSORO BAGAILE

Ila bila aibu ukatumia nafasi ya Mama yako aliyekuwa UVCCM wakati ule mkaenda MWANZOLI kuiba Jina la HAMIS ANDREA ambaye hakuwa na taarifa kuwa amefaulu darasa la saba kwa kuwa alikuwa amehamia kuishi sehemu nyingine inayoitwa KITANGILI.

Wewe SAIDI NASSORO BAGAILE ukaenda KIGOMA SECONDARY SCHOOL bila aibu kutumia majina ya mwanafunzi mwingine HAMIS ANDREA.

Katika taarifa za Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania taarifa yako kuhusu ulipo soma shule ya msingi ni kituko na kichesho tupu.

Mwenzetu wewe ndiye Mtanzania pekee ambaye shule ya Msingi umesoma miaka 8 kwa maana kutoka 1984 hadi mwaka 1991 ndiyo ukamaliza.

Umeona ukiiba na kufanya magumashi ya elimu namba huwa haziongopi..? zitakuacha pembeni tu.

Ukauzu huu wa magumashi ya elimu unaufanya mbele za watu uliosoma nao darasa la kwanza hadi la saba pale shule ya msingi KITONGO kwa mfano Mh Hussein Bashe ambaye mlimaliza darasa la saba wote na mwenzio haoni aibu kusema HAMKUFAULU wote darasa la saba.

Leo bila aibu unajitambulisha unaitwa HAMIS ANDREA KIGWANGALA kwa kuongeza jina la Mwisho la ukoo wa mama yako la KIGWANGALA mbele ya majina ya mtu mwingine.

Wewe ni mnufaika wa elimu ya aibu kwa Tanzania yetu,watu wakijadili kuhusu elimu unapaswa ukae kimya tena ujifiche uvunguni.

Hatupekenyui taarifa zenu kwa wivu,hapana ni haki yetu sisi wananchi wa kawaida pale mtu anapokuwa kiongozi wa umma serikalini na bungeni sisi wananchi kujua na kupata taarifa za elimu yake.

Ni heri BUMUNDA kuliko MWIZI wa JINA.
 
Watu wengi wanakosea kudhani kama ulinunua cheti cha mtoto maskini aliyeshindwa kuingia Kidato cha kwanza licha ya kufaulu basi Wewe ulifaulu kwa akili zako kuanzia Form One hadi ulipoishia

Wanachosahau ni Ukweli Kuwa hapo walipofikia ni wametumia " Haki ya Msingi" ya mtu mwingine

Hii haina tofauti na Yakobo wa kwenye Biblia aliyenunua kwa hila Haki ya Uzaliwa wa Kwanza kwa kutumia udhaifu wa " Njaa" ya Esau na kiukweli Yakobo hajatulia hadi leo na sasa yuko vitani na wanaokufa ni Wanyonge wa kike, Watoto na Wazee

Hivyo Ujumbe wangu Jumapili hii ya 3 ya Majilio ni Kuwa kama Ulipokuwa mtoto ulidhulumu Haki ya Ufaulu wa Mtoto mwenzio basi hujachelewa, Nenda ukatubu Yesu anakupenda

Zakayo akamwambia Bwana Yesu, wale wote niliowadhulumu nitawarejeshea mara 3 ya nilichowaibia

Nawatakia Dominica Njema
Unamtafuta maneno Mwigulu Nchemba wewe shauri yako
 
Anaandika Boniface Jacob kule mtandao wa X, zamani Twitter

UMOJA WA VILAZA CCM SIKIENI.

Angekuwa na akili timamu Bw. HAMISI ANDREA KIGWANGALLA angekaa mbali sana na mijadala inayohusu KUGHUSHI ELIMU.

Wewe ni mfano unaoishi huko CCM juu ya elimu za kununua na kimagumashi naweza kuthubutu kusema heri ya Nape Moses Nnauye kuliko HAMISI ANDREA KIGWANGALLA kwa sababu Nape amekomaa na vyeti vyake vilevile na majina yake yale yale pamoja ni vibovu.

KIGWANGALLA unawezaje kujitokeza kumsaidia mwana CCM mwenzako anapohojiwa kuhusu uhalali wa elimu yake wakati wewe ulinunua jina la mtu na ndiyo mpaka leo unalitumia kupata riziki yako...?

Kijana HAMISI ANDREA original yupo pale Nzega anasukuma mikokoteni stendi anaishi kwa tabu wakati alifaulu vizuri darasa la saba, mjanja ukaiba jina lake na unalitumia mpaka leo ukimuacha HAMISI ANDREA katika dimbwi la umasikini.

Waliosoma mkoani Tabora,wilaya ya Nzega pale shule ya Msingi KITONGO mwaka 1984 hadi Mwaka 1990 wanakufahamu majina yako halisi ni SAIDI NASSORO BAGAILE

Ila bila aibu ukatumia nafasi ya Mama yako aliyekuwa UVCCM wakati ule mkaenda MWANZOLI kuiba Jina la HAMIS ANDREA ambaye hakuwa na taarifa kuwa amefaulu darasa la saba kwa kuwa alikuwa amehamia kuishi sehemu nyingine inayoitwa KITANGILI.

Wewe SAIDI NASSORO BAGAILE ukaenda KIGOMA SECONDARY SCHOOL bila aibu kutumia majina ya mwanafunzi mwingine HAMIS ANDREA.

Katika taarifa za Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania taarifa yako kuhusu ulipo soma shule ya msingi ni kituko na kichesho tupu.

Mwenzetu wewe ndiye Mtanzania pekee ambaye shule ya Msingi umesoma miaka 8 kwa maana kutoka 1984 hadi mwaka 1991 ndiyo ukamaliza.

Umeona ukiiba na kufanya magumashi ya elimu namba huwa haziongopi..? zitakuacha pembeni tu.

Ukauzu huu wa magumashi ya elimu unaufanya mbele za watu uliosoma nao darasa la kwanza hadi la saba pale shule ya msingi KITONGO kwa mfano Mh Hussein Bashe ambaye mlimaliza darasa la saba wote na mwenzio haoni aibu kusema HAMKUFAULU wote darasa la saba.

Leo bila aibu unajitambulisha unaitwa HAMIS ANDREA KIGWANGALA kwa kuongeza jina la Mwisho la ukoo wa mama yako la KIGWANGALA mbele ya majina ya mtu mwingine.

Wewe ni mnufaika wa elimu ya aibu kwa Tanzania yetu,watu wakijadili kuhusu elimu unapaswa ukae kimya tena ujifiche uvunguni.

Hatupekenyui taarifa zenu kwa wivu,hapana ni haki yetu sisi wananchi wa kawaida pale mtu anapokuwa kiongozi wa umma serikalini na bungeni sisi wananchi kujua na kupata taarifa za elimu yake.

Ni heri BUMUNDA kuliko MWIZI wa JINA.
Hata Bonny Ule uandishi wake inawezekana Mitihani ya ualimu alikuwa anafanyiwa na kipanga fulani!
 
Back
Top Bottom