cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,679
- 4,270
Duh Mungu atuokoeSi ndio yule bonge aliyekuwa magogoni kipindi kile, akawa anakunja nne mbele ya bibi Kizimkazi anaitwa Chivayo, anahusika na kuuza silaha kwa viongozi Afrika wasiokubalika na kuwapa mbinu za kubaki kwa hila style hii ya kuteka, kutesa na kuua wanamhusisha nayo sana, ndio inatumika Zimbambwe.