mfa majiSijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko.
Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama mbichi. Na bado.
Nilikuwa na malengo yangu flani Ila walichonifanyia wale wahuni na malengo yakafa.Duh sasa rafiki kwa hiyo pesa si unge pata ushuani kabisa, au ndio uli saka utulivu?.
Wee! Risasi kitu kingineDada wewe umepita JKT na bado unaogopa risası?
Fika Suka kunja kushoto kama unatoka Kimara Kisha nyoookaMilima ya golani kama uko masharik yabkati
Docha hii ya baruti au?Golan bado kuna watu wepesi.... Kuna Kona mbaya huko Matete ni hatari sana... Golan haifiki hata kwa Docha
Aaah, umeliangusha JKT MKUUWee! Risasi kitu kingine
SafiGen z msisahau halotel inamilikiwa na kiwete mzee chekelea, muangalie namna ya kumtia hasara hapo km ni kutumia ipitishwe kampeni wateja wamuhame
Nenda saa 6 usiku pita pita kwa bi rosta ukutane na wenye usiku waoDuh kumbe mambo haya bado yapo?!
Hii ndo ufananishe na risasi?? 🤣
Yan polisi na gari zao walikuwa wakifika pale magufuli wanasindikizwa na jwtz Hadi waingie highway ndo wanawaachia.Mbezi magufuri kulikua na JWTZ block janja weed hawakufika, Na Polisi pia walikua na adabu
Hata siku Ile mida kama hii Kuna mbwa walikuwa wanaulizia wapi minofu ilipo. Na Kuna nguruwe wengine walianza kumcheka mange. Halafu hajataja ni kitu Gani mengine sio mpaka yaonekaneVipi,jambo limeanza?
Sijui kwanini Serikali hawalioni hili.
Ni kweli watu wameuwawa, Lkn where are bodies?
Yaani nizae mtoto, afike miaka 25, Apigwe risasi for just having an opinion, na nisipate nafasi ya kuzika mwili wake?
Unazani haya maumivu mtayanyamazisha kwa kupiga mabomu, risasi au nn?
Ni kweliMaeneo mengi ya kuanzia kimara mpaka temboni hayako flat na yanamapori mengi sio rahisi kuingia ndanindani.
Kimara mpaka mbezi hakuna vifo vingi vya mtaani kutokana na jiografia yake.
Goba wengi wa kishua unakufa kivyako, temboni kuna mchanganyiko na wana umoja sanaDadek palipoa kama sio dar...
Sass mbona goba nako ni kama temboni Ila palichafuka?
Hapo sawa
Ila Mambo ya Molotov hayana maajabu
Hatari basi kama walifika na huko kuna vijana wengi waliomaliza vyuo na bado wanahangaikia ajira ndo maana ukanda huo wamewasumbua sana na wataendelea kusumbuaSaranga Dara Jani Mbona mabomu yalipigwa mənfi sana?
KumbeeeGoba wengi wa kishua unakufa kivyako, temboni kuna mchanganyiko na wana umoja sana
Kabisa ni rahisi polisi kubananishwa na wakapelekwa kuzimuniMaeneo mengi ya kuanzia kimara mpaka temboni hayako flat na yanamapori mengi sio rahisi kuingia ndanindani.
Kimara mpaka mbezi hakuna vifo vingi vya mtaani kutokana na jiografia yake.
Rafiki yangu anakaa saranga darajani na alinambia kule Amani ilikuwepo full. Labda kama ilikuwa siku ua kwanzaHatari basi kama walifika na huko kuna vijana wengi waliomaliza vyuo na bado wanahangaikia ajira ndo maana ukanda huo wamewasumbua sana na wataendelea kusumbua
Asante mkubwa 🤝Sawa, ila Tupunguze kuweka identifiers humu paka ni wengi sana 🙄