Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Sijui kwanini Serikali hawalioni hili.
Ni kweli watu wameuwawa, Lkn where are bodies?

Yaani nizae mtoto, afike miaka 25, Apigwe risasi for just having an opinion, na nisipate nafasi ya kuzika mwili wake?

Unazani haya maumivu mtayanyamazisha kwa kupiga mabomu, risasi au nn?
...
Labda wameenda kuzila nyama
 
Nina demu wangu mmoja mwanajeshi JWTz anasema wote wameitwa kambini risk elevated to red. Sasa hivi hashiki simu yangu yule mshenzi. Naona ina bwana na hii taarifa
..
Maana yake red km red nyekudu au red ipi msalaba?
 
Back
Top Bottom