Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Duh Mungu atuokoe
 
Wabongo wengine wanaboa sana hasa wakina mama, nimeshawasikia vikundi vitafu tofauti sehemu tofauti wakina mama wakiwasema vijana wanaoandamana.
Watu wameridhika kulipa kodi za biashara mara mbili mbili
Sasa mkuu unafikiri mbele ya risasi tutafanyeje? Kilichotokea ulikiona Hadi nyie wanaume mlijificha ndani. Ukweli risasi inatisha
 
Mimi mwenyewe ni muoga kama wewe na ninaogopa milio ya risasi ila sio vyema kuwasema vibaya au kudharau watu wanaoweka maisha yao rehani kwa faida ya sisi sote.
Sasa ulivoniponda hapo juu?
Hii ngoma ngumuu
Imagine zile maiti na zote ni shaba. Wakipata silaha watoke kwakweli Ila wanguwangu hapana
 
Mmmmh, Polepole katoroshwa na akina nani?

Lini katoroshwa?

Katoroshewa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…