kero yako!

kero yako!

Wangu uliponiita nimekuja mbio almanusra nijikwae,nilikuwa nashangaa watu wanapoanika chupi zao,wanasemaje hawa jamaa wanaanza mambo ya kutetana usitie shaka wakileta zao unapiga chini wote,kisha unambadilisha mtakatifu statas toka msiri kuwa............... kisha maisha yanaendelea,wasikutishe bana kama PhD hata mtakatifu anayo.........

Hee!
Makubwa haya!!
Kweli Kufa Kufaana.
Asa msiri wangu nikifanya hvo si ndo nitamaliza wanaume wote humu jamvini?
 
Hapana mi nakupenda lakini siko tayari kushare.
Wewe ndio uamue kuniacha mimi au Arushaone ili ubaki nammoja wangu!

Nimekusikia wangu.
Ila mbona unaongea kiupole sana?
Nini baba,nini tatizo, nani kakuchokoza?
Tema mate tumchape wangu.
Basi,twende tukalale.
 
Wangu nimeongea kwa upole sababu ni kutoka moyoni.

Nimekusikia wangu.
Ila mbona unaongea kiupole sana?
Nini baba,nini tatizo, nani kakuchokoza?
Tema mate tumchape wangu.
Basi,twende tukalale.
 
Hee!
Makubwa haya!!
Kweli Kufa Kufaana.
Asa msiri wangu nikifanya hvo si ndo nitamaliza wanaume wote humu jamvini?

Msiri ni mimi tu,hao wengine watajiju....
Hebu burudika na zilipendwa basi za enzi zetu..

Last edited by a moderator:
Heheehehehheeee ukomeee kutaka miwowo kwa bahat mbaya jg kawahi ila mi ninacho cha uchokoziii hehheee poleee

Asa kama wewe unacho cha uchokozi kwanini mie waniambia nikome nikiyatafuta na kukuta bosheni? Namuone wivu huyo jd wako unayemtajataja!
 
Kero yangu Kubwa Ni hawa vijana wa kiume wanaojiita Masharobaro kuja kututongoza sie wakati mifukoni mwao hawana hela ya kuhonga.
Madame B inaniuma sana!!!
bwahahahahahahahaha,Mx
 
kero yangu ni hivi vidada vya town vinajidai vinajua kiinglishi kumbe hamna kitu ''yeah'' ''no'' haiishi mdomoni mwao ukikolezea lugha atakwambia sijakuelewa mara sijakupata freeshiiii kumbeeee ''MBULULAA''
 
Tuko wote mkuu hakuna watu wanaonichefua kama hao I mean I mean nyingiiiiiiiiii ,ongea Lugha moja ueleweke,sasa wangekuwa na uwezo wa kuongea Lugha zaidi ya tano kwa ufasaha sijui ingekuwaje..??
 
Tuko wote mkuu hakuna watu wanaonichefua kama hao I mean I mean nyingiiiiiiiiii ,ongea Lugha moja ueleweke,sasa wangekuwa na uwezo wa kuongea Lugha zaidi ya tano kwa ufasaha sijui ingekuwaje..??

Asante mkubwa anajidaaaaaaiiii ukichanganyia anaanza sijakuelewa sasa ukute ndo mnachati hahahaha ukiandika kifup anasema hajaelewa ukiandika full sentense anaingia ''MITINII''
 
mu-hali gani wana CC, wadau hakuna kitu kinachonikera kama upo kwenye public transport halafu mtu anafungulia muziki kwenye kamchina kake muziki wenyewe mbovu. wakati mwingine unakuta watu wamechoka wanawaza vitu vingi kichwani afu mwingine anaweka muziki tena kwa sauti kubwa. . .
inanikera sana!!!!!! hebu tupia kero yako

Halafu wa hivi mi huwapa za uso tu kuwa sitaki/sio ustaarabu. mfano upo kwen luxury coach safari ndefu mnawatch movie kisha jamaa huyo anafungilia kamchina kake....
 
Back
Top Bottom