kero yako!

kero yako!

Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!

Kusema ukweli we jamaa unagonga like kuanzia leo nitakupa ushirikiano hata bwana Erickb52 anajitahidi sana.
 
Last edited by a moderator:
weeeee.....kunichuna mimi utahitaji ngurumo ya upako........



Mama si ndio mapenzi hayo.....Sasa mapenzi gani bila kuchunana..??Si itakuwa sawa na pilau bila kachumbari.......Ila ujue kabisa leo ni zamu yangu kukuchuna.........
 
[MENTION=38746]rutta[/MENTION]shobolwa hapo hamaanishi mvua ya mawingu bali ya mwezini ya kina KE! Kama hujaelewa ni-PM

Nafurahi kuwaona kumbe Hamuoneani wivu.
Haya Ndio Maisha beibe.
Halafu hayo ya PM ya wapi tena?
Au mnaniteta?
Nitawaacha wote,ohoo!!
Msiri wangu St. Paka Mweusi hebu njoo huku,
chunguza hawa watu,me siwaelewi.
 
Last edited by a moderator:
Wangu siko tayari kushea mwanamke na Arushaone
Ni bora mmoja aachwe hapo
Nitakuwa tayari kupokea maamuzi yeyote!
Nafurahi kuwaona kumbe Hamuoneani wivu.
Haya Ndio Maisha beibe.
Halafu hayo ya PM ya wapi tena?
Au mnaniteta?
Nitawaacha wote,ohoo!!
Msiri wangu St. Paka Mweusi hebu njoo huku,
chunguza hawa watu,me siwaelewi.
 
Last edited by a moderator:
Jaman nakerwa sana na haya:-

Baadhi ya wanawake wa siku hizi huvaa nguo bila PICHU, au kuvaa nguo nyepes na PICHU tuuuuu, tena mchana kweupeee mtu anatembea tu.

2. Baadhi ya wanaume pia hivyo hivyo, sijui ndo hawayaweki sawa sawa au ndo hawajavaa kabisa, yaani unamuona mtu kitu kinaenda kushoto kulia, juu chini yaan hakitulii kabisa kwenye suruali. Ndio nini sasa????

Yaani nakwera mpaka basi
Ni hayo tu...samahan lakin
 
Nafurahi kuwaona kumbe Hamuoneani wivu.
Haya Ndio Maisha beibe.
Halafu hayo ya PM ya wapi tena?
Au mnaniteta?
Nitawaacha wote,ohoo!!
Msiri wangu St. Paka Mweusi hebu njoo huku,
chunguza hawa watu,me siwaelewi.

Wangu uliponiita nimekuja mbio almanusra nijikwae,nilikuwa nashangaa watu wanapoanika chupi zao,wanasemaje hawa jamaa wanaanza mambo ya kutetana usitie shaka wakileta zao unapiga chini wote,kisha unambadilisha mtakatifu statas toka msiri kuwa............... kisha maisha yanaendelea,wasikutishe bana kama PhD hata mtakatifu anayo.........
 
Hapana mi nakupenda lakini siko tayari kushare.
Wewe ndio uamue kuniacha mimi au Arushaone ili ubaki nammoja wangu!

Kwa hyo unataka kuniacha?
Nimekuzoea lakini!!
 
Hahahahahahahahahahahahahaha
unafurahiiii
kweli adui mwombee njaa!

Wangu uliponiita nimekuja mbio almanusra nijikwae,nilikuwa nashangaa watu wanapoanika chupi zao,wanasemaje hawa jamaa wanaanza mambo ya kutetana usitie shaka wakileta zao unapiga chini wote,kisha unambadilisha mtakatifu statas toka msiri kuwa............... kisha maisha yanaendelea,wasikutishe bana kama PhD hata mtakatifu anayo.........
 
Back
Top Bottom