kero yako!

Shida iko wapi ?
Kama una mihela ya kifisadi !
Kuna mbungi gani ukam'baiya BabySharo hata ka'Stalet !
Wakati na yeye anakufurahisha! Sharo anajitoa kula Papai kama hana akili nzuri .

kwa kweli sharobaro kwangu hana nafasi....sijui kimvulana kinajidai modo...sijui ndio wanajiita fashonista....kwangu no....
napenda wanaume wagumu....yu no wora am saying......
 
kero yangu kubwa kuona mtu mzima kanyanyua mkono kwenye daladala kashika bomba, kava sleevles halafu hajashave, nasikiaga kuchefukwa!

duh,pole shost. bora kwa wanaume. basi ukute mdada anajidai du, ukicheck kwenye armpit unachefuka square!
 
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!

mkuu nahic unanisema mie, jaman naomba unisamehe bure make natumia kamchina!
 
Kero yangu ni hawa wadada wanaovaa pichu na tyte zenye sponji! Ukiwachojoa wembambaa kama vijiti! Huwa wananiboa naamua tu kuwaacha uchi natembea zangu!
 
halafu hii page ni kama kuna jinsia imedominate!! ngoja ni act kama sijaona vile!!
 
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!

let me tell something ''like'' comes natural no need to force.
 
Ndio usafiri wetu ulivyo bwana!

kero yangu mie kama huku dar ndo saana ukisimama kwenye gari basi lijanaume halina hata haya anakusimamia nyuma mara unahisi kitu kinakuchoma kumbe limeezeka turubai kwa mti mmoja ukihama anawewe afu jitu ziiima

Nyingne ni hili suala mtu anaita kwa busu afu eti anasema oya oyaa anti ee we antii oyaaa usipogeuka wanaanza sasa kuto mineno ya shombo
 
So sad binadamu huwa hatujui tunapokwenda!
Lakini unge msamehe tuu wangu!

Nakumbuka Mwaka 2005 nilijibizana na dada mmoja ktk Daladala,
Tulitupiana maneno mpaka Nilifreeze.
Hyo ilikuwa mida ya saa2 Asbh.
Ile nafika Ofcn nikaambiwa na Boss kuwa kuna dada atakuja na ninatakiwa nimfanyie Usaili ili tumuajiri.
Ile kufika saa 4 tu mlango unagongwa akaingia yule dada aliekuwa ananitukana asubuhi ktk daladala,kumbe ndo ninaetakiwa nimfanyie usaili.
Baada ya Bosi kuondoka,Nilimkunja mule ofisini mpaka nilimchania nguo na Usaili sikumfanyia,nikamfukuzia mbali.
Basi mpaka leo akiniona Heshima na Adabu,japo hatukumwajiri pale.

Hii nayo ni Kero.
Usimdharau Usiemjua.
 
Hahahahahahahahahahahahahah
inabidi utembee na topazi ukiona kanyanyua tu mkono unampa kama zawadi.

kero yangu kubwa kuona mtu mzima kanyanyua mkono kwenye daladala kashika bomba, kava sleevles halafu hajashave, nasikiaga kuchefukwa!
 
Hahahahahahahahahahahahha
wangu umeua duuuuuuuuuu!

Tabia hyo wanayo wale wanaojiona Mabaunsa uchwara.
Ukute katoka Gym afu vinywele venyewe basi,vyekunduuu na tuunjanounjano afu kipilipili.
Kama una mimba,lazima itoke.
BTW cacico Mzima?
 
Last edited by a moderator:
Masharti na vigezo kuzingatiwa!

Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
 
Price discrimination
hahhahahahahahahahahahaha

Yani vinauzi sana.
Nguo zenyewe za kuazima mpaka Mkoko.
Halafu akija pale Yes! No! kibao.
Vinauzi sana hivi viakina Dimpoz na akina Bob Junior.
 
Me kero yangu ni baadhi ya member humu kuwa wavivu wa kunipa like.inakeera sana wakati me huwa siwabanii. Hata reputation tu inakuwa kero? Bofya ile nyota unayoiona kushoto bhana!
Arushaone kuanzia leo nitakuwa nakugongea like kila nikuonapo hapa jamvini, lol! i hope kero itapungua!!
 
Last edited by a moderator:
Kero yangu ni pale ninapoona barmaid anaaprochiwa na wanaume kibao, ila shida ipo kwa wale ambao wakisha2pia kidogo maji ya mende mambo yanabadilika na kutaka mahali pa kupoozea mik.a yao.
 
Back
Top Bottom