We sikonge ujatulia hata kidogo... te te te te te te te te...!Maxshimba,
Ni poa sana kufahamu kuwa una mke Bomba. Ila nakukumbusha tena, usiku mpe haki yake na kama ukishindwa basi mie ntatoka Sikonge nije nimpe. Mie ni Mkristo ila nafuata zile sheria za Yesu wa kweli. Yesu alipokuta wamebadili nyumba ya baba yake kuwa pango la Wanyang'anyi, si alitembeza kibano. Mcheki Yesu anavyotembeza mikono. Hee, akawa kama Bruce Lee wa Wayahudi, pa paaa paaaa!!!
Sasa kumuacha Mkeo kwa sababu tu sasa uwezo huna na kuzuga kuwa unamsalia Yesu usiku na mchana, itafika siku mkeo akushtukie. Hapo ndipo atakuja kwetu sisi kwa Ari Mpya, nguvu mpya, Kasi mpya.... Na akifika kwa mzee mwenyewe wa Kazi aka Ngosha Sikonge, ni kama wimbo wa Femi Kuti "Beng beng beng.........."
Mie sidhani kama huwa zinakuwa kelele za kawaida, mie ni RC, kuna kipindi nikaenda huko makanisa ya walokole, ikafika kipindi cha kuabudu, basi wakaanza kupiga kelele za kulia, baadaye kuulizia nikaambiwa sio kelele za kawaida ni Roho mtakatifu huwa anawafanya kupiga hizo kelele. Hivyo msiwashangae walokole kwa kelele, sio wao maana pale anapopiga kelele huwa hawajijui.
Nenda umangani kwa mnao wasujudu, huko, mnaamshwa saa kumi za usiku kwenda kuswali, na hiyo ndio raha yenu wafuata mkumbo.
KUMSIFU YESU KWA SAUTI KUU/MAKELELE KUTAENDELEA MPAKA SIKU YA MWISHO HAPA DUNIANI. Najuwa sababu ni, JINA LA YESU, linapotajwa, huwa linaamsha majini yenu mnayo fuga, na mnaanza kupagawa na kupandisha mori huku mkitokwa na POVU mdomoni.
Pole sana kwa kufuata deen yenye kufuga majini na mashetani na iliyo jaa shaka, maana mwisho wenu ni pabaya.
Punguza jazba bana.
Na nyie mnapo amsha NCHI NZIMA usiku kwa swaaaaaalaaaaaaa, hivi hiyo si KERO, au kwasababu ni mambo ya kimanga? Hivi mnashindwa kukumbuka mpaka muamshwe na ustaadh au mashehe wenu kila siku?
MAKELELE ya kusifu tutaendelea kupiga mpaka KIHAMA. Majini mnayofuga yakishindwa kuvumilia, hamieni umangani,
Koran inasema
[5.46] And We sent after them in their footsteps Isa, son of Marium, verifying what was before him of the Taurat and We gave him the Injeel in which was guidance and light, and verifying what was before it of Taurat and a guidance and an admonition for those who guard (against evil).
[57.27] Then We made Our apostles to follow in their footsteps, and We sent Isa son of Marium afterwards, and We gave him the Injeel, and We put in the hearts of those who followed him kindness and mercy; and (as for) monkery, they innovated it-- We did not prescribe it to them-- only to seek Allah's pleasure, but they did not observe it with its due observance; so We gave to those of them who believed their reward, and most of them are transgressors.
[5.46] And We sent after them in their footsteps Isa, son of Marium, verifying what was before him of the Taurat and We gave him the Injeel in which was guidance and light, and verifying what was before it of Taurat and a guidance and an admonition for those who guard (against evil).
[5.110] When Allah will say: O Isa son of Marium! Remember My favor on you and on your mother, when I strengthened you I with the holy Spirit, you spoke to the people in the cradle and I when of old age, and when I taught you the Book and the wisdom and the Taurat and the Injeel; and when you determined out of clay a thing like the form of a bird by My permission, then you breathed into it and it became a bird by My permission, and you healed the blind and the leprous by My permission; and when you brought forth the dead by My permission; and when I withheld the children of Israel from you when you came to them with clear arguments, but those who disbelieved among them said: This is nothing but clear enchantment.
[2.136] Say: We believe in Allah and (in) that which had been revealed to us, and (in) that which was revealed to Ibrahim and Ishaq and Yaqoub and the tribes, and (in) that which was given to Musa and Isa, and (in) that which was given to the prophets from their Lord, we do not make any distinction between any of them, and to Him do we submit
KAAZI KWELI KWELI
Matayo6:5-9: Tena msalipo msiwe kama wanafiki; Kwa maana wao wapeenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali msi payuke payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi, Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayo hitaji kabla nyinyi hamjaomba. Haya nyinyi mnaosema WALOKOLE AU WAKRISTO Mume soma Hii Aya Ya Mathayo? Yesu Amesemaje Kuhusu kuswali? Je kuna Kupiga Makelele? Au Kulia lia Kama Wanavyolia Hao Walokole? Ibada ya kulia lia Walokole Wamejifundisha wapi? Je Yesu Akawafundisha ibada ya kulia lia? mbona mnafanya vitu amabavyo hamjafundishwa na Yesu? Mumeviwpata wapi Mafundsiho ya kupiga Makelele Kupayuka payuka kwa Sauti iliyokuwa Kubwa ili mpate kusikiwa na watu wa Mataifa?Mnapiga Makelele kama huyo Mungu mnae Muomba kiziwi?mbona hamjuwi mnachokifanya ni dhambi kubwa kumuuzi jirani yako kwa kupiga makelele Saa nane usiku eti ndio unamuomba Mungu kwa Makelele ili apate kukusikia wewe hahahahahahahahah
KERO HII YA WALOKOLE:JE?watengwe na makazi ya watu.
Quote:
Quote:
Nakuunga Mkono Mkuu buchanan Sio makelel Watu wanafanya ibada lakini kungekuwa na utaratibu wa kufanya ibada yaani wakati maalum wa hao Walokole kufanya hiyo ibada yao kama wanavyo fanya Waislam kwa kutwa Mara Tano kwa kutumia Vipaza Sauti na hiyo Waislam wanavyotumia kwa sala ya alfajiri inachukuwa kama Dakika kumi kwa kuwaamsha watu ili waende kuswali hiyo sauti inayotumia wakati wa alfajiri na sio ya kuwauzi watu au kuwafanya watu wasiiweze kuupata usingizi Je Wenzetu Walokole hiyo ibada ya ya kutowa Sauti kwa juu ili watu wawajue kuwa wanafanya ibada wamefundishwa na nani? Yesu mwenyewe Katufundisha hivi Namna ya Kuswali Soma hapa ( [FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]Mathayo 6[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]7 "Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]9 Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: [/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]10 Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]11 Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]12 Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]13 Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. is Baadhi ya makala za zamani zina; Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.>[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Sasa hawaNdugu Zetu Walokole Hiyo ibada yao ya kupiga Makelele Kupayuka payuka Wamefundishwa na nani? Kama Sio Shetani kawafundisha?[/FONT]
Hayo maneno jinsi yalivyo na rangi tofauti yana maana tofauti. Soma tena biblia yako. usilete upotoshaji. Yesu hakusema jambo la Kelele. Plz msipotoshe watu kwa kutofahamu maana halisi ya maneno.
Biblia kwa kiingereza inasema hivi:
"When you pray, do not use a lot of meaningless words, as the pagans do, who think that their gods will hear them because their prayers are long."
translation nyingine zinasema hivi:
"But when you pray, do not babble vain words, as the nations. For they think that in their much speaking they shall be heard."
Hivyo usitake kupotosha watu hapa, na kumsingizia Yesu kitu akusema. Labda kama wewe ni mtoto wa Macca sintakuwa na la kusema maana hao kwa kumsingizia Yesu wamezoea
Yaaah its a "chicken and egg" story. Who came fisrt?
Lakini ni kweli huwa wanakera, siku hizi wana-masupika makubwa basi usiku kucha mtu hupati usingizi - hata kama wanaeneza neno la Mungu, nikiudhika namna hiyo je watanipata?
Kaazi kwelikweli..hivi sheria za nchi zinasemaje? Maana nimesikia wenzetu Kenya soon wataanza kutumia sheria za kudhibiti kelele kwa umbali usiopungua mita 30..hapa kwetu sheria zikoje?