KERO ya Walokole: JE, watengwe na makazi ya watu?

Boooooongo! tambarare nio iko hivyo na raha yake ndiyo hiyo!

Ukishindwa kuongea nao kwa upole watuwa kanisa mkaelewana pasipo kuwavunjia ibada zao au kuwasusa CCM utaiweza wapi??
 
Kweli wanyama hatuwezi kuwatungia sheria kwa vile hawana akili wala utashi. Wanaishi kwa kutumia silika. Mtungiwa sheria ni mwanadamu kwa vile ana akili na uwezo kutenda matendo ya kiutu. Yuko responsible na matendo yake. Naamini hata hayo mabaa na mdisko si sawa kukesha watu wanapiga kelele katikati ya makazi ya watu. Kumbi za disko za kukesha zapaswa kuwa mbali na makazi ya watu. Vivyo hivo mabaa ya kukesha. Kama si ya kukesha, basi usikukati yanapaswa kufungwa. Ni wazi hatuwezi kukosa kelele kabisa, lakini walau zipungue. Kuna kelele zingine ni za emergency huwezi kuzuia, mf magari machache yanayotembea usiku yamechelewa huko yalikotoka, au mtu kavamiwa na majambazi lazima aombe msaada kwa kupiga filimbi. Jamani kupumzika ni jambo la lazima, hasa usiku! Mchana si shida sana.

Babuyao,
Shida si watu. Shida ni kelele na kukosa usingizi.
Watu wasipotukosesha usingizi wanyama, ndege na hizo ulizoita emergency zitatusumbua. Je twende wapi? au tutunge sheria kwa ajili hiyo?
Maana najua hata hao walokole si kwamba usali kila siku, bali ni siku fulani fulani. Nayo tuiweke kundi la emergency?
 
Umegundua ehhh? Mie nimemwambia kuwa na mie ni Mkristo, ila jamaa ananiambia nikasale swalaaa. Mie na msikiti wapi na wapi?
Dawa na kuchoma vyote Tanzania yaani hawa akina Shimba wala vya bure wanatokomezwa kabisa kama walivyo Waczeck au Wakomunisti. Hamna salaaa wala kunena kilugha "shantabalabala balaaaa..............." hamna kitu hapo. Siku akija Rais Mkorofi, ntafurahi sana......"hakuna me wala bee" wote kazini. Hamna wala vya buree.

Max, wee usiku badala ya kusali usiku mzima, mshughulikie mkeo, wataanza kukusaidia Watoto wa Mujini. Na nyie Walokole mnakuwaga na wake bomba kishenzi. Mnaingia kwa gia ya "Dada Monica, mie Mungu kanifunulia..." Mhhh, nani kakufunulia wewe? Hormon zako hizo zinakutuma uzitafutie sehemu uzipunguze na usimuweke Mungu hapo. Punguza kusali usiku na umpe Mkeo haki yake.......Na hii inawahusu watu wote, waswali salaa, Walevi, waenda Disco, Mbwa wabwekaji, Mama Muuza, baba Muuza, wapeni wapenzi wenu haki zao usiku......
Wewe sasa unatuvunja mbavu! Nimecheka sana! Jamani humu JF kuna mambo, na kuna watu! JF idumu!
 
wewe unayeongea hivyo kuwa walokole wanakukera, hujui kitu, Mungu na akusamehe kabisa, tena tema mate chini. hujui kama pengine wanakuwa wanakuombea wewe na nchi yako ukae salama ndo maana unakuwa na hata muda wa kulala? wanaomba kwaajili yao, kwaajili ya watz wote, kuomba Mungu atuepushe na vita na majanga mbalimbali. hao ni watu muhimu sana kuliko vile unavyofikiri. Mungu yupo pamoja nao.

Pili, umeleta mada hii, angalia sana. ukisababisha chochote kutokea kwa hao walokole, Mungu wao atawapigania, na lolote litakalotokea kwao kutokana na uchochezi wako utalilipia garama. hakika utaadhibiwa. najua ninachoongea.

Unatakiwa umjue Mungu, tena kwa nguvu kwasababu hauelewi kwa hali ya kawaida. usisubiri hadi uugue kansa, pressure na magonjwa ya ajabu ndo ukimbilie kwa walokole haohao wakakuombeee. achana na walokole, waache wamwabudu Mungu wao, ambaye ndo Mungu unayetakiwa kumwabudu hata wewe. angalia sana, wenzio wamewagusa walokole wakadondokea pua, usiende kichwakichwa. kama hauamini endelea vita yako dhidi ya walokole, ndo utaona kama wana Mungu au la. hujafa hujaumbika, usitukane mamba wakati hujavuka mto. usifikiri kila anayeomba na kulia hana akili. kuna siku utajajua. Mungu na akusaidie, namwomba Mungu akufumbue akili ili uokoke, pengine utaepuka adhabu. Amina.

>>>acha kutisha!...Mie sisemi msisali,kwani mkisali sauti za chini mungu wenu hawezi kusikia hadi mpige kelele tena kwa kutumia spika?Kwa taarifa yako hata mie namwabudu Mungu,tena mkristo,ila nahisi huyo mungu mnaemwabudu sio yule mungu wa kweli kwani hata shetani alitamani kuitwa mungu na anao uwezo wa kutenda miujiza ili adanganye wengi wakifikiri wanamwabudu Mungu wa kweli....Tena kwa taarifa yako uliyeandika kunitisha wala siogopi,we omba tu uombavyo namtumaini Kristo atanipigania na nguvu za giza na ukizingatia hata huyo mchungaji wako kanunua uchawi Nigeria,kama unabisha ile pete ni ya nini? Aivue kamwe hutaona mwujiza ukifanyika!....Namwamini Mungu pamoja na Yesu Kristo aliyemtuma.
 
Wote wenye kuwapigia wenzao kelele...!

Nenda umangani kwa mnao wasujudu, huko, mnaamshwa saa kumi za usiku kwenda kuswali, na hiyo ndio raha yenu wafuata mkumbo.

KUMSIFU YESU KWA SAUTI KUU/MAKELELE KUTAENDELEA MPAKA SIKU YA MWISHO HAPA DUNIANI. Najuwa sababu ni, JINA LA YESU, linapotajwa, huwa linaamsha majini yenu mnayo fuga, na mnaanza kupagawa na kupandisha mori huku mkitokwa na POVU mdomoni.

Pole sana kwa kufuata deen yenye kufuga majini na mashetani na iliyo jaa shaka, maana mwisho wenu ni pabaya.
 
Babuyao,
Shida si watu. Shida ni kelele na kukosa usingizi.
Watu wasipotukosesha usingizi wanyama, ndege na hizo ulizoita emergency zitatusumbua. Je twende wapi? au tutunge sheria kwa ajili hiyo?
Maana najua hata hao walokole si kwamba usali kila siku, bali ni siku fulani fulani. Nayo tuiweke kundi la emergency?
Kelele za dharura huwezi kuzitungia sheria. Lakini mengine haya yatungiwe sheria. Hasa zile kelele za makusudi na zinazodumu muda mrefu, mf. za disko, baa. Kelele za ndege, kuwika kwa kuku ni kelele za dakika moja au sekunde kadhaa, mf jogoo limewika. Hizi hazisumbui sana kiasi cha mtu kushindwa kulala. Lakini disco la kukesha. Ndugu! Kumbe lazima impact ya kelele lazima tuiangalie kwenye duration na ukubwa (uzito) wake.
 
Umegundua ehhh? Mie nimemwambia kuwa na mie ni Mkristo, ila jamaa ananiambia nikasale swalaaa. Mie na msikiti wapi na wapi?
Dawa na kuchoma vyote Tanzania yaani hawa akina Shimba wala vya bure wanatokomezwa kabisa kama walivyo Waczeck au Wakomunisti. Hamna salaaa wala kunena kilugha "shantabalabala balaaaa..............." hamna kitu hapo. Siku akija Rais Mkorofi, ntafurahi sana......"hakuna me wala bee" wote kazini. Hamna wala vya buree.

Max, wee usiku badala ya kusali usiku mzima, mshughulikie mkeo, wataanza kukusaidia Watoto wa Mujini. Na nyie Walokole mnakuwaga na wake bomba kishenzi. Mnaingia kwa gia ya "Dada Monica, mie Mungu kanifunulia..." Mhhh, nani kakufunulia wewe? Hormon zako hizo zinakutuma uzitafutie sehemu uzipunguze na usimuweke Mungu hapo. Punguza kusali usiku na umpe Mkeo haki yake.......Na hii inawahusu watu wote, waswali salaa, Walevi, waenda Disco, Mbwa wabwekaji, Mama Muuza, baba Muuza, wapeni wapenzi wenu haki zao usiku......

Pole sana sikonge, hizo wishfull thoughts zako will never happen, INTER-ALIA, JESUS WILL BE PREACHED TILL THE END OF THE LIFE.

For your information, I am very happy to follow Jesus Christ who will judge your allah Marehemu Muhammad na kumsweka motoni bila ya huruma.

My personal life, haina uhusiano wowote na JF, I am a happy man with a very wonderful and beautiful wife together with two owesome kids.

Huyo Rais mkorofi hamta pata, wala bahatika kupata. Waislam mtaendelea kuwa inferior kwetu sis WAKRSITO mpaka mkue akili na kuacha kufuata mkumbo wa wamanga.

Mwisho naendelea kusema kuwa, PUNGUZA JAZBA NA immature thinking to wit, ad infinitum

Nakuunga Mkono Mkuu buchanan Sio makelel Watu wanafanya ibada lakini kungekuwa na utaratibu wa kufanya ibada yaani wakati maalum wa hao Walokole kufanya hiyo ibada yao kama wanavyo fanya Waislam kwa kutwa Mara Tano kwa kutumia Vipaza Sauti na hiyo Waislam wanavyotumia kwa sala ya alfajiri inachukuwa kama Dakika kumi kwa kuwaamsha watu ili waende kuswali hiyo sauti inayotumia wakati wa alfajiri na sio ya kuwauzi watu au kuwafanya watu wasiiweze kuupata usingizi Je Wenzetu Walokole hiyo ibada ya ya kutowa Sauti kwa juu ili watu wawajue kuwa wanafanya ibada wamefundishwa na nani? Yesu mwenyewe Katufundisha hivi Namna ya Kuswali Soma hapa ( [FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]Mathayo 6[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]7 "Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.
[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.
[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]9 Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali:
[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]10 Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]11 Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.
[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]12 Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]13 Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. is Baadhi ya makala za zamani zina; Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.>

Sasa hawaNdugu Zetu Walokole Hiyo ibada yao ya kupiga Makelele Kupayuka payuka Wamefundishwa na nani? Kama Sio Shetani kawafundisha?
[/FONT]
 
Ninakaa jirani na makanisa ya kilokole,basi usiku kucha wanapiga kelele tena wakitumia vipaza sauti! Jamani! Usingizi hamna! Kama ningekuwa na sauti serikalini ningependekeza makanisa haya yajengwe mbali na makazi ya watu kama machinjio tu la sivyo wasali kwa sauti za ustaarabu bila maspika.Wanatukera sana!
Wewe una pepo nini? Kelele unazijua?kamwabudu anayekupa hiyo pumzi ya bure ambayo hujawahi daiwa hata kodi, ni kupiga makelele?You need to repent!Kumsifu na kumwabudu Mungu unaita kero-unasikitisha!Shindwa legea kwa JINA LA YESU na utubu!
 
Hama, hakuna aliye kulazimisha kukaa hapo. lol

Waislam wanapo amsha NCHI NZIMA saa kumi za hasubusi, hiyo si KERO. LOL

....mie si mwislamu lakini nawatetea!Muda wanaotumia nadhani hauzidi nusu saa,isitoshe ile ni kuamshana waende kwenye ibada na wakianza wala hawatumii spika tena,halafu pia hata wengi huamka muda huo na kujiandaa kwa shughuli za ujenzi wa taifa.Je walokole wanaamshana/wanaitana kwa hivo usiku wa manane? Sipingi kusali bali napinga kutumia spika tu! Jaribuni kunielewa.
 
Maxshimba,

Ni poa sana kufahamu kuwa una mke Bomba. Ila nakukumbusha tena, usiku mpe haki yake na kama ukishindwa basi mie ntatoka Sikonge nije nimpe. Mie ni Mkristo ila nafuata zile sheria za Yesu wa kweli. Yesu alipokuta wamebadili nyumba ya baba yake kuwa pango la Wanyang'anyi, si alitembeza kibano. Mcheki Yesu anavyotembeza mikono. Hee, akawa kama Bruce Lee wa Wayahudi, pa paaa paaaa!!!
Sasa kumuacha Mkeo kwa sababu tu sasa uwezo huna na kuzuga kuwa unamsalia Yesu usiku na mchana, itafika siku mkeo akushtukie. Hapo ndipo atakuja kwetu sisi kwa Ari Mpya, nguvu mpya, Kasi mpya.... Na akifika kwa mzee mwenyewe wa Kazi aka Ngosha Sikonge, ni kama wimbo wa Femi Kuti "Beng beng beng.........."
 
Wachangiaji,

Kuleni BREAK. Ninaswali nataka kuuliza:-

Hivi WALOKOLE na JEHOVA'S WITNESSES nani zaidi kwa HAAMBILIKI?
 
....mie si mwislamu lakini nawatetea!Muda wanaotumia nadhani hauzidi nusu saa,isitoshe ile ni kuamshana waende kwenye ibada na wakianza wala hawatumii spika tena,halafu pia hata wengi huamka muda huo na kujiandaa kwa shughuli za ujenzi wa taifa.Je walokole wanaamshana/wanaitana kwa hivo usiku wa manane? Sipingi kusali bali napinga kutumia spika tu! Jaribuni kunielewa.

Hivi wewe huwa unaamshwa na nani kwenda kazini?

Which is above par, deen au kazi yako? Waislam, hawana hadabu kwa jamii hata kidogo, na ndio maana kulalamika kwao ni jadi.

What you just wrote is unethical and lacks merits.

Maxshimba,

Ni poa sana kufahamu kuwa una mke Bomba. Ila nakukumbusha tena, usiku mpe haki yake na kama ukishindwa basi mie ntatoka Sikonge nije nimpe. Mie ni Mkristo ila nafuata zile sheria za Yesu wa kweli. Yesu alipokuta wamebadili nyumba ya baba yake kuwa pango la Wanyang'anyi, si alitembeza kibano. Mcheki Yesu anavyotembeza mikono. Hee, akawa kama Bruce Lee wa Wayahudi, pa paaa paaaa!!!
Sasa kumuacha Mkeo kwa sababu tu sasa uwezo huna na kuzuga kuwa unamsalia Yesu usiku na mchana, itafika siku mkeo akushtukie. Hapo ndipo atakuja kwetu sisi kwa Ari Mpya, nguvu mpya, Kasi mpya.... Na akifika kwa mzee mwenyewe wa Kazi aka Ngosha Sikonge, ni kama wimbo wa Femi Kuti "Beng beng beng.........."

Sikonge, pole sana, beng beng beng ndio iliyo muua marehemu mtume wenu mwamadi juu ya aisha. lol.

Don't think that life is just beng beng, hapa ndipo panapo tofautisha Ukristo na Uislam. Ninyi mmepewa haki ya wake 4, na vishtobe kibao, bado hamtoshiki, mnakula uroda hata kwa wanyama. lol

Sasa nifuata mtume mwamadi aliye jaa shaka na ambaye hajuwi mwisho wake, au YESU KRISTO atakaye muhukumu allah wenu marehemu mwamadi?
 
Nakuunga Mkono Mkuu buchanan Sio makelel Watu wanafanya ibada lakini kungekuwa na utaratibu wa kufanya ibada yaani wakati maalum wa hao Walokole kufanya hiyo ibada yao kama wanavyo fanya Waislam kwa kutwa Mara Tano kwa kutumia Vipaza Sauti na hiyo Waislam wanavyotumia kwa sala ya alfajiri inachukuwa kama Dakika kumi kwa kuwaamsha watu ili waende kuswali hiyo sauti inayotumia wakati wa alfajiri na sio ya kuwauzi watu au kuwafanya watu wasiiweze kuupata usingizi Je Wenzetu Walokole hiyo ibada ya ya kutowa Sauti kwa juu ili watu wawajue kuwa wanafanya ibada wamefundishwa na nani? Yesu mwenyewe Katufundisha hivi Namna ya Kuswali Soma hapa ( [FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]Mathayo 6[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]7 "Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]9 Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: [/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]10 Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]11 Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]12 Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]13 Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. is Baadhi ya makala za zamani zina; Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.>[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Sasa hawaNdugu Zetu Walokole Hiyo ibada yao ya kupiga Makelele Kupayuka payuka Wamefundishwa na nani? Kama Sio Shetani kawafundisha?[/FONT]

Hayo maneno jinsi yalivyo na rangi tofauti yana maana tofauti. Soma tena biblia yako. usilete upotoshaji. Yesu hakusema jambo la Kelele. Plz msipotoshe watu kwa kutofahamu maana halisi ya maneno.
Biblia kwa kiingereza inasema hivi:
"When you pray, do not use a lot of meaningless words, as the pagans do, who think that their gods will hear them because their prayers are long."

translation nyingine zinasema hivi:
"But when you pray, do not babble vain words, as the nations. For they think that in their much speaking they shall be heard."
Hivyo usitake kupotosha watu hapa, na kumsingizia Yesu kitu akusema. Labda kama wewe ni mtoto wa Macca sintakuwa na la kusema maana hao kwa kumsingizia Yesu wamezoea:D
 
Afadhali umemweleza ukweli.
Wanafanya hivyo kulingana na Maandiko Matakatifu ya Mungu aliye hai:
Psalms:150:3: Praise him with the sound of the trumpet: praise him with the psaltery and harp.
Psalms:150:4: Praise him with the timbrel and dance: praise him with stringed instruments and organs.
Psalms:150:5: Praise him upon the loud cymbals: praise him upon the high sounding cymbals.
Psalms:150:6: Let every thing that hath breath praise the LORD. Praise ye the LORD.
Maneno mengine kama ni msamiati chukua English Dictionary. Ubarikiwe!

Buchanan:
Mimi ni mkristu pia na ninampenda sana Bwana Yesu. Ila kimsingi kuna maandiko mengi tu yanatueleza juu ya amri kuu kuliko zote nayo si nyingine. Ni upendo kwa jirani kama unavyojipenda mwenyewe. Pia maandiko unayonukuu kutoka kwenye biblia ni ya kweli lakini kwa bahati mbaya unasahau kitu kidogo sana... TIME. Ukipiga harp usiku kumtukuza bwana wakati wenzio wamelala, ni kuzuri sana, lakini fanya hivyo faraghani. Huna haja ya kuamsha watu waliolala. Piga kinanda na kinubi chako mchana kweupe. Kimsingi, ni vyema kutumia upendo kuhubiri neno la bwana. Tusitumie nguvu. Mwisho wa siku kila mtu atalitukuza jina la bwana kwa kumpenda na si kwa kulazimishwa. Yesu mwenyewe aienda bustanini kusali na mitime wake lakini inaonekana alikuwa anasali kwa sauti ya chini maana alirudi akakuta wamelala. Aliporudi aliwaambia kesheni mkiomba, sio mkipiga kelele.

Jamani nia yangu ni kuelewesha sio kuvuruga.

Tumsifu Yesu Kristu!
 
Koran inasema

[5.46] And We sent after them in their footsteps Isa, son of Marium, verifying what was before him of the Taurat and We gave him the Injeel in which was guidance and light, and verifying what was before it of Taurat and a guidance and an admonition for those who guard (against evil).

[57.27] Then We made Our apostles to follow in their footsteps, and We sent Isa son of Marium afterwards, and We gave him the Injeel, and We put in the hearts of those who followed him kindness and mercy; and (as for) monkery, they innovated it-- We did not prescribe it to them-- only to seek Allah's pleasure, but they did not observe it with its due observance; so We gave to those of them who believed their reward, and most of them are transgressors.

[5.46] And We sent after them in their footsteps Isa, son of Marium, verifying what was before him of the Taurat and We gave him the Injeel in which was guidance and light, and verifying what was before it of Taurat and a guidance and an admonition for those who guard (against evil).

[5.110] When Allah will say: O Isa son of Marium! Remember My favor on you and on your mother, when I strengthened you I with the holy Spirit, you spoke to the people in the cradle and I when of old age, and when I taught you the Book and the wisdom and the Taurat and the Injeel; and when you determined out of clay a thing like the form of a bird by My permission, then you breathed into it and it became a bird by My permission, and you healed the blind and the leprous by My permission; and when you brought forth the dead by My permission; and when I withheld the children of Israel from you when you came to them with clear arguments, but those who disbelieved among them said: This is nothing but clear enchantment.

[2.136] Say: We believe in Allah and (in) that which had been revealed to us, and (in) that which was revealed to Ibrahim and Ishaq and Yaqoub and the tribes, and (in) that which was given to Musa and Isa, and (in) that which was given to the prophets from their Lord, we do not make any distinction between any of them, and to Him do we submit

KAAZI KWELI KWELI
 
Back
Top Bottom