Kuswali na kusali siyo tatizo isipokuwa ni kutupigia kelele na hayo masipika na mavipaza sauti yenu

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Salamu ni chanzo kikubwa cha Umasikini, Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili!

Tatizo nikiongea haya mambo kuna watu ambao ni kama wamekunywa michuzi ya hizo dini, watakuja kwa hasira na jazba utadhani nimewachukulia wake!.

Kwa kifupi haya makanisa na misikiti ni chanzo cha ukosefu wa pumziko miongoni mwetu nikiwemo mimi!

Hapa nilipojenga kuna msikiti kama mita 200 hivi kutoka kwangu. Aisee kila siku ni kero tu ya sauti kubwa kwenye vipaza sauti vyao! miaka 4 nyuma hakukuwa na msikiti hapa na watu tulikuwa tukiishi kwa amani na utulivu wa hali ya juu, lakini toka wamejenga huo msikiti hapo si kero bali ni karaha! Yaani hakuna tofauti na mtu anayekaa jirani na Bar kubwa inayopiga miziki kila siku!.

Sijajua sababu zinazofanya washindwe kuswali taratibu bila kupigia watu kelele ni kitu gani. Laiti ningefahamu hali itakuwa hivi nisingejenga kabisa hili eneo!.

Hiyo ni Tisa, kumi sasa ndiyo kituko!

Kuna kanisa lililoko umbali wa mita kama 800 toka makazi yangu yalipo, hawa kila siku usiku ni makelele tu utadhani wako virabuni wakigombania wanzuki hadi huwa nashindwa kuelewa ni Mungu gani huyo ambaye kila siku yeye hapendi utulivu bali ni makelele tu!.

Kuna kipindi tuliitisha mkutano kuwaonya wasiwe wanafanya ibada ya kumuabudu Mungu wao kwa makelele makubwa na kuwa kero kwa watu wengine, walijirekebisha kwa kipindi fulani lakini naona tena ni kama mapepo yamepanda madirisha na kuchungulia nje sasa wanafanya kazi ya kuyarudisha ndani!.

Aiseee hii ni kero kubwa mno, we fikiria kanisa like umbali wa mita 800 lakini sauti zake hadi watu wa umbali wetu tunasikia, huwa najiuliza walioko jirani wana hali gani?

Ukiwaeleza ukweli wanakwambia wewe ndiye una mapepo na unastahili kuombewa!.

Hizi dini za kuzijanjarukia ukubwani zinatutesa sana hasa tusikuwa na hatia!.

Watu wa NEMC nao ni kama wametia pamba masikioni,tushawaeleza sana haya matatizo lakini wanaishia kusema "Tutashughulikia".

Ndiyo maana naonaga wazungu wanapenda kujitenga na kuishi mbali na ngozi nyeusi nilikuwa sijawaelewa, now ndiyo nawaelewa jamaa!.

Yaani unatoka kibaruani umechoka, hujatulia mara unasikia Kiarabu kwenye Vipaza sauti, wakati unajiandaa kutazama taarifa ya habari mara unaanza kusikia makelele ya vinanda na maspika wakisifu!.

This is too much!
 
Utadhan hawawezi kusali kimya kimya usiku
 
Bilali alikua mtu mweusi mtumwa wa mudi,kazi yake kuu ilikua kupiga azana,ili kumridhisha bwana wake kwa kazi nzuri alikua anapaza sauti kwa sauti kubwa
 
Maeneo ambayo nimepiga marufuku kuishi nayo karibu ni pamoja na;

Misikiti
Makanisa ya kilokole
Baa
Gest houses
Madanguro

Hayo makundi yote nayaweka sehemu moja kama chanzo cha kero.
 
Kabisa mkuu yaani ni kero mnoooo!
 
Back
Top Bottom