KERO ya Walokole: JE, watengwe na makazi ya watu?

Wachangiaji,

Kuleni BREAK. Ninaswali nataka kuuliza:-

Hivi WALOKOLE na JEHOVA'S WITNESSES nani zaidi kwa HAAMBILIKI?

And the winer is :-
 
Maxshimba,

Ni poa sana kufahamu kuwa una mke Bomba. Ila nakukumbusha tena, usiku mpe haki yake na kama ukishindwa basi mie ntatoka Sikonge nije nimpe. Mie ni Mkristo ila nafuata zile sheria za Yesu wa kweli. Yesu alipokuta wamebadili nyumba ya baba yake kuwa pango la Wanyang'anyi, si alitembeza kibano. Mcheki Yesu anavyotembeza mikono. Hee, akawa kama Bruce Lee wa Wayahudi, pa paaa paaaa!!!
Sasa kumuacha Mkeo kwa sababu tu sasa uwezo huna na kuzuga kuwa unamsalia Yesu usiku na mchana, itafika siku mkeo akushtukie. Hapo ndipo atakuja kwetu sisi kwa Ari Mpya, nguvu mpya, Kasi mpya.... Na akifika kwa mzee mwenyewe wa Kazi aka Ngosha Sikonge, ni kama wimbo wa Femi Kuti "Beng beng beng.........."
We sikonge ujatulia hata kidogo... te te te te te te te te...!
 
Duh mtu kaomba ushauri kuhusu makelele badala ya kustick to the topic ishakuwa vita ya kidini? Mimi nadhani makanisa kupiga makelele au misikiti kupiga makelele ni sawa na mtu akae karibu na bar au kumbi za starehe asikie makelele sema kwa sababu the prior ni nyumba za dini basi religious sensitivity kicks in. Mimi sidhani kama nyumba za kuabudu hasa kama zina tendency za kupika kelele usiku na asubuhi sana zinatakiwa kuwa considerate ya watu wengine. Kwani kupiga kelele sana ndiyo Mungu kusikia maombi yetu?

Matayo6:5-9: Tena msalipo msiwe kama wanafiki; Kwa maana wao wapeenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali msi payuke payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi, Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayo hitaji kabla nyinyi hamjaomba.

Kwa hiyo hapa siyo tu kuwa Mungu anasema kuwa msali kwa siri bali pia mkisali mkae sehemu ya siri na msipige kelele kudhani ndiyo Mungu atasikia. Mimi ni Mkristo kwa hiyo kama watu mmeamua kulichukulia hili kidini nasema ukwli ya nini Biblia yangu inasema. Siyo lazima kupiga makelele watu wawaone na kuwasikia ndiyo sala zifike kwa Mungu tena Mungu anasema huo ni unafiki na thawabu yeni mshaipata.

Heshima kwa dini zote.
 
Mie sidhani kama huwa zinakuwa kelele za kawaida, mie ni RC, kuna kipindi nikaenda huko makanisa ya walokole, ikafika kipindi cha kuabudu, basi wakaanza kupiga kelele za kulia, baadaye kuulizia nikaambiwa sio kelele za kawaida ni Roho mtakatifu huwa anawafanya kupiga hizo kelele. Hivyo msiwashangae walokole kwa kelele, sio wao maana pale anapopiga kelele huwa hawajijui.
 
Matayo6:5-9: Tena msalipo msiwe kama wanafiki; Kwa maana wao wapeenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali msi payuke payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi, Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayo hitaji kabla nyinyi hamjaomba. Haya nyinyi mnaosema WALOKOLE AU WAKRISTO Mume soma Hii Aya Ya Mathayo? Yesu Amesemaje Kuhusu kuswali? Je kuna Kupiga Makelele? Au Kulia lia Kama Wanavyolia Hao Walokole? Ibada ya kulia lia Walokole Wamejifundisha wapi? Je Yesu Akawafundisha ibada ya kulia lia? mbona mnafanya vitu amabavyo hamjafundishwa na Yesu? Mumeviwpata wapi Mafundsiho ya kupiga Makelele Kupayuka payuka kwa Sauti iliyokuwa Kubwa ili mpate kusikiwa na watu wa Mataifa?Mnapiga Makelele kama huyo Mungu mnae Muomba kiziwi?mbona hamjuwi mnachokifanya ni dhambi kubwa kumuuzi jirani yako kwa kupiga makelele Saa nane usiku eti ndio unamuomba Mungu kwa Makelele ili apate kukusikia wewe hahahahahahahahah
 
yule wala si roho mtakatifu ni roho mchafu.Laiti wangejua!!!
 
Nenda umangani kwa mnao wasujudu, huko, mnaamshwa saa kumi za usiku kwenda kuswali, na hiyo ndio raha yenu wafuata mkumbo.

KUMSIFU YESU KWA SAUTI KUU/MAKELELE KUTAENDELEA MPAKA SIKU YA MWISHO HAPA DUNIANI. Najuwa sababu ni, JINA LA YESU, linapotajwa, huwa linaamsha majini yenu mnayo fuga, na mnaanza kupagawa na kupandisha mori huku mkitokwa na POVU mdomoni.

Pole sana kwa kufuata deen yenye kufuga majini na mashetani na iliyo jaa shaka, maana mwisho wenu ni pabaya.

Punguza jazba bana.

Na nyie mnapo amsha NCHI NZIMA usiku kwa swaaaaaalaaaaaaa, hivi hiyo si KERO, au kwasababu ni mambo ya kimanga? Hivi mnashindwa kukumbuka mpaka muamshwe na ustaadh au mashehe wenu kila siku?

MAKELELE ya kusifu tutaendelea kupiga mpaka KIHAMA. Majini mnayofuga yakishindwa kuvumilia, hamieni umangani,

Koran inasema

[5.46] And We sent after them in their footsteps Isa, son of Marium, verifying what was before him of the Taurat and We gave him the Injeel in which was guidance and light, and verifying what was before it of Taurat and a guidance and an admonition for those who guard (against evil).

[57.27] Then We made Our apostles to follow in their footsteps, and We sent Isa son of Marium afterwards, and We gave him the Injeel, and We put in the hearts of those who followed him kindness and mercy; and (as for) monkery, they innovated it-- We did not prescribe it to them-- only to seek Allah's pleasure, but they did not observe it with its due observance; so We gave to those of them who believed their reward, and most of them are transgressors.

[5.46] And We sent after them in their footsteps Isa, son of Marium, verifying what was before him of the Taurat and We gave him the Injeel in which was guidance and light, and verifying what was before it of Taurat and a guidance and an admonition for those who guard (against evil).

[5.110] When Allah will say: O Isa son of Marium! Remember My favor on you and on your mother, when I strengthened you I with the holy Spirit, you spoke to the people in the cradle and I when of old age, and when I taught you the Book and the wisdom and the Taurat and the Injeel; and when you determined out of clay a thing like the form of a bird by My permission, then you breathed into it and it became a bird by My permission, and you healed the blind and the leprous by My permission; and when you brought forth the dead by My permission; and when I withheld the children of Israel from you when you came to them with clear arguments, but those who disbelieved among them said: This is nothing but clear enchantment.

[2.136] Say: We believe in Allah and (in) that which had been revealed to us, and (in) that which was revealed to Ibrahim and Ishaq and Yaqoub and the tribes, and (in) that which was given to Musa and Isa, and (in) that which was given to the prophets from their Lord, we do not make any distinction between any of them, and to Him do we submit

KAAZI KWELI KWELI

Bro, big up.
 
Jamani tusiandame sana makanisa na misikiti je na hizo bar zinazojengwa karibu na makazi na miziki inafunguliwa tangu mchana na usiku tusemeje?
 
ni wkt sasa watu muwe na akili timamu kama watu tunaomuhofia mungu..ilipaswa tupige kelele mabaa yaliyokaribu na makazi sio makanisa na misikiti..humo watu wanasali na kutuombea jamani..waacheni wasali na kuswali ili angalau mungu ainusuru nchi yetu na tupambane na mafisadi..sio kupambana na misikiti na makanisa iliokaribu na majumba yetu..kwanza inawezekana sie ndiyo tumejenga karibu na misikiti na makanisa hayo..kwahiyo sie ndo tumevamia maeneo ya karibu na sehemu za kuabudia.
 
Matayo6:5-9: Tena msalipo msiwe kama wanafiki; Kwa maana wao wapeenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali msi payuke payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi, Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayo hitaji kabla nyinyi hamjaomba. Haya nyinyi mnaosema WALOKOLE AU WAKRISTO Mume soma Hii Aya Ya Mathayo? Yesu Amesemaje Kuhusu kuswali? Je kuna Kupiga Makelele? Au Kulia lia Kama Wanavyolia Hao Walokole? Ibada ya kulia lia Walokole Wamejifundisha wapi? Je Yesu Akawafundisha ibada ya kulia lia? mbona mnafanya vitu amabavyo hamjafundishwa na Yesu? Mumeviwpata wapi Mafundsiho ya kupiga Makelele Kupayuka payuka kwa Sauti iliyokuwa Kubwa ili mpate kusikiwa na watu wa Mataifa?Mnapiga Makelele kama huyo Mungu mnae Muomba kiziwi?mbona hamjuwi mnachokifanya ni dhambi kubwa kumuuzi jirani yako kwa kupiga makelele Saa nane usiku eti ndio unamuomba Mungu kwa Makelele ili apate kukusikia wewe hahahahahahahahah

KERO HII YA WALOKOLE:JE?watengwe na makazi ya watu.

Quote:
12n2_01.gif

Quote:

Nakuunga Mkono Mkuu buchanan Sio makelel Watu wanafanya ibada lakini kungekuwa na utaratibu wa kufanya ibada yaani wakati maalum wa hao Walokole kufanya hiyo ibada yao kama wanavyo fanya Waislam kwa kutwa Mara Tano kwa kutumia Vipaza Sauti na hiyo Waislam wanavyotumia kwa sala ya alfajiri inachukuwa kama Dakika kumi kwa kuwaamsha watu ili waende kuswali hiyo sauti inayotumia wakati wa alfajiri na sio ya kuwauzi watu au kuwafanya watu wasiiweze kuupata usingizi Je Wenzetu Walokole hiyo ibada ya ya kutowa Sauti kwa juu ili watu wawajue kuwa wanafanya ibada wamefundishwa na nani? Yesu mwenyewe Katufundisha hivi Namna ya Kuswali Soma hapa ( [FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]Mathayo 6[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]7 "Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]9 Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: [/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]10 Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]11 Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]12 Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]13 Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. is Baadhi ya makala za zamani zina; Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.>[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Sasa hawaNdugu Zetu Walokole Hiyo ibada yao ya kupiga Makelele Kupayuka payuka Wamefundishwa na nani? Kama Sio Shetani kawafundisha?[/FONT]

Hayo maneno jinsi yalivyo na rangi tofauti yana maana tofauti. Soma tena biblia yako. usilete upotoshaji. Yesu hakusema jambo la Kelele. Plz msipotoshe watu kwa kutofahamu maana halisi ya maneno.
Biblia kwa kiingereza inasema hivi:
"When you pray, do not use a lot of meaningless words, as the pagans do, who think that their gods will hear them because their prayers are long."

translation nyingine zinasema hivi:
"But when you pray, do not babble vain words, as the nations. For they think that in their much speaking they shall be heard."
Hivyo usitake kupotosha watu hapa, na kumsingizia Yesu kitu akusema. Labda kama wewe ni mtoto wa Macca sintakuwa na la kusema maana hao kwa kumsingizia Yesu wamezoea:D
 
Mimi sikujua kwamba kwenye hii forum kuna watu wana uwezo mdogo kiasi hiki ....issue hapa sio kuhusu dini bali ni sheria za mipango miji (city ordinance). Kwa nini msitumie madiwani wabadili hizi sheria ? Vipi kuhusu watoto, wazee na wagonjwa ambao wanasumbliwa na kelele za haya makanisa na misikiti ? Kumbukeni sio kila mtu anaamini katika dini.
 
KERO HII YA WALOKOLE:JE?watengwe na makazi ya watu.

Quote:
12n2_01.gif

Quote:

Nakuunga Mkono Mkuu buchanan Sio makelel Watu wanafanya ibada lakini kungekuwa na utaratibu wa kufanya ibada yaani wakati maalum wa hao Walokole kufanya hiyo ibada yao kama wanavyo fanya Waislam kwa kutwa Mara Tano kwa kutumia Vipaza Sauti na hiyo Waislam wanavyotumia kwa sala ya alfajiri inachukuwa kama Dakika kumi kwa kuwaamsha watu ili waende kuswali hiyo sauti inayotumia wakati wa alfajiri na sio ya kuwauzi watu au kuwafanya watu wasiiweze kuupata usingizi Je Wenzetu Walokole hiyo ibada ya ya kutowa Sauti kwa juu ili watu wawajue kuwa wanafanya ibada wamefundishwa na nani? Yesu mwenyewe Katufundisha hivi Namna ya Kuswali Soma hapa ( [FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]Mathayo 6[/FONT]
[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]7 "Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]9 Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: [/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]10 Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]11 Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]12 Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]13 Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. is Baadhi ya makala za zamani zina; Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.>[/FONT]

[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Sasa hawaNdugu Zetu Walokole Hiyo ibada yao ya kupiga Makelele Kupayuka payuka Wamefundishwa na nani? Kama Sio Shetani kawafundisha?[/FONT]

Hayo maneno jinsi yalivyo na rangi tofauti yana maana tofauti. Soma tena biblia yako. usilete upotoshaji. Yesu hakusema jambo la Kelele. Plz msipotoshe watu kwa kutofahamu maana halisi ya maneno.
Biblia kwa kiingereza inasema hivi:
"When you pray, do not use a lot of meaningless words, as the pagans do, who think that their gods will hear them because their prayers are long."

translation nyingine zinasema hivi:
"But when you pray, do not babble vain words, as the nations. For they think that in their much speaking they shall be heard."
Hivyo usitake kupotosha watu hapa, na kumsingizia Yesu kitu akusema. Labda kama wewe ni mtoto wa Macca sintakuwa na la kusema maana hao kwa kumsingizia Yesu wamezoea:D

Ubarikiwe Mkuu.
 
Jibu kwa wote mnaosema Yesu au Mungu hataki makelele, Yesu mwenyewe ktk kutenda miujiza yake ALIPAAZA sauti ilipobidi, kuna nguvu inayotoka unapotoa amri kwa nguvu nyingine, pili waliokuwa wanaomba pia walipaaza sauti ili wasikiwe, wajibiwe:
Luka 17:12-3 ...walipokuwa wakienda walikutana na kundi la watu kumi wenye ukoma, wakapaaza sauti, Yesu uturehemu!
Luka 9:38 .........mtu mmoja ktk kundi alipaaza sauti akasema naomba umwangalie mwanangu...
Mungu Baba pia ktk Agano la Kale anatuambia Niite! (Call me!) nami nitakuitikia, nitakuonyesha mambo magumu makubwa usiyoyajua Yeremia 33:3
Marko 15:34 na saa tisa Yesu alipaaza sauti yake kwa nguvu, Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha.....

Maombi ya usiku
Luka 6:12 ...akakesha usiku kucha akiomba
Luka 22: 39...(usiku) akaenda mlima wa mizeituni kama ilivyokuwa desturi yake,..akawaambia ombeni msiingie majaribuni...

Kumsifu Mungu:
Zaburi:116: 12-4 nitamsifu Mungu ktkt ya watu (wasikie ili wamjue, kutokana na matendo makuu aliyonitendea)
Zaburi: 117: Mataifa yote msifu Bwana

Kuomba kwa Roho:
Yohana 4: 23-24 saa inakuja nayo ipo... watu watamwabudu ktk Roho na kweli, Mungu ni Roho nasi imetupasa kumwabudu ktk Roho na kweli
Rumi 8: 26.-27..hatujui jinsi ya kuomba lakin i Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.....huwaombea watakatifu kama apendavyo Mungu
Efeso 6:11-18 Vaeni silaha zote za Mungu...kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati ktk Roho, Mkikesha kwa jambo hilo ....

Mwisho, Ninamwomba Mungu Baba awafunulie zaidi na zaidi mpate kumjua Mungu wa kweli na kupokea wokovu ktk Kristo Yesu.
Mbarikiwe sana na Yesu.
 
Yaaah its a "chicken and egg" story. Who came fisrt?
Lakini ni kweli huwa wanakera, siku hizi wana-masupika makubwa basi usiku kucha mtu hupati usingizi - hata kama wanaeneza neno la Mungu, nikiudhika namna hiyo je watanipata?
 
Wasipokupata jiandae kwenda motoni aka jehanam
 
Kaazi kwelikweli..hivi sheria za nchi zinasemaje? Maana nimesikia wenzetu Kenya soon wataanza kutumia sheria za kudhibiti kelele kwa umbali usiopungua mita 30..hapa kwetu sheria zikoje?

Kwa wenzetu wa kenya mahubiri yanayolete makelele yamewekwa katika sheria ya udhibiti wa uchafuzi wa mazingira.

Hivyo na sisi tunatakiwa tuwe na sheria inayowakataza wahubiri wetu kutokuwa "Public Nuisance" wakati wa mahubiri yao bali wawe na utaratibu wa kufikisha ujumbe kwa wale walengwa bila kusumbua watu wengine hasa wakati wa usiku
 
Issue ni kuwa na kiasi, tusali bila kuwakwaza wenzetu, human beings tunapenda kuweka matakwa na matarajio yetu mbele ya Gods plan that is why makwazo yanatokea, inakua instead ya kuwavuta watu kwa Bwana Yesu we are just pushing them away. We need Holy Spirit to lead us. Be Blessed Everyone In Jesus Precious Name, Amen
 
Back
Top Bottom