utashangaa kipindi cha magazetini wanaweka vita vya idd amin ili kututishaKesho asubuh hawatasoma habari za magazeti
TBC huwa naangalia orijino komedi tu.
Yaani naiblock kabisa.Hakina kitu kabisa hiki kituo.
Tuna Broadcast Ccm(TBC)..hili ndo jina lao jipya huku mtaani kwetu.
TBC ilikuwepo enzi za TIDO MHANDO.sasa ni ya ovyo ovyo sana.nikikumbuka tbc ya Tido na vipindi murua vya uchaguzi majimboni it was excellent.sasa hivi sijui ni viandishi na vikurugenzi uchwara !?nashindwa kuelewa.[/QUOTazam tNdio maana husikii mtangazaji wa tbc kuhamia tv station nyingine,ukimuondoa Jane shirima aliyekwenda azam tv
hicho si chombo cha Umma tena bali kimekuwa ni sehemu ya CCM kupelekea matangazo yake ninacho washangaa hawa jamaa hawasomi upepo unanenda wapi mkurugenzi wake sasa atakuwa na kibarua kigumu sana endapo Wana mapinduzi tutakapochukua nchi inabidi wabadilike mana hawako pale kwa hela za CCM bali ni kodi za wananchi ambao ndio tunahitaji kupata taarifa.
tbc ni vyombo vya habar vya umma ambavyo vinatakiwa kuripot na kuhabarisha habar zote za nchi hii pasipo upendeleo wa aina yoyote, <sababu wafanyakazi wanalipwa mishahara na pesa za kuendeshea vipindi ambazo ni kodi za wananchi>
ITV ni chombo cha habar cha mtu binafsi ambaye kwa gharama zake ndiye anayelipa mishahara na gharama za kuendeshea vipind, hivyo hafungwi {does not tied to} na jamii nzima ya watanzania,yuko huru ktk habar zake (i.e kuegemea kwa mtu\kund flan au vyovyote vile)
Hii kauli huwa inanishangaza....KWANI WENYEWE KATIKA HIYO MISHAHARA HAWALIPI KODI?
Kwani wanapewa bure bila kuifanyia kazi hiyo mishahara?
Punguzeni lugha/maneno ya kujifariji...huna chako!!
Mwenyew hapo ushauzwa!
Mimi kinachoniuma si habari zao,ila kodi yangu inayoungua kuendesha hili li tv
hivi wanavyominya habari za ukawa namna hii, wanakatisha maneno ili habari za ukawa zisisikike, ukawa wakichukua nchi si itakuwa bora mkurugenzi wao afukuzwe kabisa na hao vibaraka wake waende kwenye tv ya ccm?
hivi hawajui kama hiyo ni tv ya watz wote wa ccm, ukawa na act?, sasa mbona wanakuwa na akili za kijinga sana? huo ndio utoaji habari? hawaoni kama wanajiaibisha? hawajui kuwa watz siku hizi wana akili sana, wenzao itv wanatoa habari kama zilivyo mtaani, ziwe za ccm au ukawa wanazitoa kama zilivyo, wao akili zao zote ni za kijani....mmelaaniwa kama walivyolaaniwa wakuu wenu wa ccm. na mwaka huu mtakoma, tv yenu itakuwa haiangaliwi na yeyote, andaeni habari mzitangaze na mzisikilize ninyi wenyewe.
ni wiki mbili sana sijawahi kutune kwenye tbc, leo nikasema kwasababu kuan tukio kubwa la lowasa ngona niwajaribu nione wataonyesha au la, wemekuja kuonyesha mwishonii na maneno ya JUMA Duni wakayaminya kw akuedit sana....dawa yenu ipo jikoni.