Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

CCM wasijue publicity wanayopata Ukawa ni nusu ya kampeni.
Watu hawana haja ya kushinda kwenye mikutano tena, wanapata live streaming.
Hakuna haja ya kuangalia mafuriko ya Ukawa kupitia TBC kuna mitandao ya kijamii inakupa habari ndani ya muda mfupi.
 
Nimeangalia uchambuzi wa magazeti asubuhi hii kutoka TBC, ukweli sijawahi kuona ujinga wa kiwango hichi kwa Television ya Taifa,

Jionee mwenyewe.
[video]https://video-lhr3-1.xx.fbcdn.net/hvideo-xfp1/v/t42.1790-2/11893406_733818840078563_80482 4990_n.mp4?efg=eyJybHIiOjMwMCw icmxhIjo5NDYsInZlbmNvZGVfdGFnI joicWZfNDI2d19jcmZfMjNfbWFpbl8 zLjBfcDFoY19zZCJ9&rl=300&vabr= 146&oh=0e90ae99366789b65feb829 309008946&oe=55CEF963[/video]
 
Me namwaka kwanza sitaki kuisikia tbc1 au tv yao mana niuhaloz mtupu
 
et inaitwa n tv ya taifa, Tv gan haina quality?
mipangiiio mibovu, mm huu n mwaka wa3 cjawah kuiangalia..
ingekuwa inafaa ku-delete ungekuta nmeshaifutia mbal..
 
Umeona kumbe wanachagua vichwa hbr yaani kama unasikiliza redio unakuwa umeibiwa kimachamacho
 
mimi nina miaka mitatu sijaangalia TBC.mimi naangalia ITV pekeee ndio television yetu
 
Tulitangaza Kususia Kuangalia Tbc Sasa Wewe Unaonekana Ni Msaliti
 
ukileta habar za tbc kwa mara nyingine humu ndan tutagombana, acha kufuatilia habari za ccm!
 
Back
Top Bottom